Search results

  1. Deus manugulilo

    Mawaziri vivuli wa CHADEMA wana uwezo mdogo!

    Kuna Wanaojitoa ufahamu nchi hii kama vijana wa pale Lumumba. Fikirieni kabla ya kuandika humu. Tizama hoja nyepesi mnazoweka mezani sasa. Hii ni sawa na kusema kwamba Bunge lisitunge sheria kwa sababu wabunge sio wasomi wa sheria...
  2. Deus manugulilo

    Polisi Kagera wamzuia James Mbatia kutembelea maeneo yaliyoathirika na kugawa misaada

    Time will tell. Hays yote yana ukomo wake. Mateso ya watu huletwa na watu na hutatuliwa na watu hao hao.
  3. Deus manugulilo

    The House of Kikwete: What went wrong?

    Yule wa Chato ni kawaida yake. Barabara ilipindishwa badala ya kupita Bmulo mjini ikapita chato ikaenda BK
  4. Deus manugulilo

    Tanzania: Nini tatizo letu kama Taifa? Tunajikwamuaje?

    Kwa fikira zangu binafsi naona ni UNAFIKI na UOGA. UNAFIKI Kama watanzania tutaacha unafiki wa kufumbia vile tunavyoona havifai katika jamii yetu ni wazi kwamba hakuna siku wala sehemu tutasonga mbele. Unafiki mkubwa unachangiwa na ubinafsi wa watu kujijali wao ama na kakikundi kadogo kanako...
  5. Deus manugulilo

    Rais Magufuli na Mh. Mbowe uso kwa uso leo

    Nina mashaka kama Rais ataenda kwenye mkutano huo maana..... 17328560, member: 24815"]Rais John Pombe Magufuli na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mh. Freeman Mbowe, leo wanatarijia kukutana na viongozi mbalimbali wa dini katika hatua ya kutafuta mwafaka kuhusu matamshi...
Back
Top Bottom