Search results

  1. S

    Ninakwenda mafunzo ya JKT...

    napinga mtanzania yeyote kwenda jkt na much more kwa mbunge! kwa mazingira ya tanzania na ya dunia ya sasa kupeleka watu jkt ni kuchanganyikiwa,ufisadi na zaidi ni kale ka mchezo ka mbuni kuficha kichwa mchangani ukijidai umejificha.tatizo tunalijua wote na sio watu kutokwenda jkt! lakini kwa...
  2. S

    Old Bagamoyo Road yabatizwa 'Mwai Kibaki Road'

    napinga barabara ya tanzania kuitwa mwai kibaka,who is he so far? si bora hata waite Steven kanumba au sharo milionea!
  3. S

    Watanzania tahadharini kwani tunapotoshwa na M4C

    mkuu umenikumbusha mbali Sana,enzi hizo tulikuwa tukitunga sententi kama hizi Chachacha za Chacha zimechanika. Machacha ya Chacha yamechana chachacha zake.
  4. S

    Uchaguzi wa CHADEMA 2013, Naanza mwaka mpya kwa kutofautiana kidogo na bosi wangu Mbowe

    sijawahi kuwa na mashaka na Freeman A.K.A kamanda wa anga au kupungukiwa na imani juu yake hata kwa chembe ndogo kama ya haradali!
  5. S

    Nape Nnauye na John Mnyika yupi mwanasisa bora kwa 2012?

    kama kuna siku jf imedhalilisha watu leo imetia fora! Kamanda Mnyika na ndugu Nape kwa niaba ya muanzisha uzi na mods naomba samahani kwa niaba yao! NB: Sijapiga kura na sipigi!
  6. S

    Kwa watu wa mkoa wa Mara

    ni kweli tata makao makuu yanatakiwa kuwa mugumu . by all standards mie sio mbaguzi na Mungu apishie mbali nisiwe mbaguzi lakini kiukweli roho huwa inaniuma sana ninapoona wanaofaidika na mbuga ya serengeti sio wazawa wa serengeti na mkoa wa mara kwa ujumla! anyway the end is near, I can not see...
  7. S

    Malumbano ya hoja leo ITV: Nafasi ya Vijana katika siasa za Tanzania

    asante poti! mimi kwa maoni yangu kuwa vijana inabidi watumike kama madaraja na vyama ili kufanikisha malengo ya vyama vyao! katika "kutumika" yaani kutekeleza kwa mstari wa mbele mambo yanayohusu vyama vyao ndio watapata nafasi nzuri ya kufundwa,kulelewa,kujifunza,kuzoea,kuelewa mambo ya chama...
  8. S

    Mwenyekiti Mbowe, tazama vijana wa chama na upuuzi wao

    sasa mura utani wangu uko wap hapo? we unaona omoto ono yuko siras kweli poti? tata au nawe una tatizo la UVIDA?
  9. S

    Mwenyekiti Mbowe, tazama vijana wa chama na upuuzi wao

    mbona mbishi poti nimekupa ushauri wa bure unapuuza, si unaona sasa hata hueleweki! haya usije ukasema sikukwambia!
  10. S

    Mwenyekiti Mbowe, tazama vijana wa chama na upuuzi wao

    Nyakarungu asiwapeni taabu sana ana tatizo dogo sana kuliko mnavyofikiri! tatizo lake ni kwamba siku nyingi sana hajala vimolo! unajua kwetu usipopata vimolo angalau mara moja kwa miezi sita watu wanaweza wakawa hawakuelewielewi! hili tatizo kwetu huwa linajulikana kama UPUNGUFU WA VIMOLO DAMUNI...
  11. S

    Kamati Kuu CHADEMA yawavua Uanachama Madiwani 2 Jiji la Mwanza

    nakubaliana na wewe kwamba vijana wanatakiwa kulelewa ikiwa ni pamoja na kusamehewa lakini pale tu watambuapo makosa yao na kutubu kwa maana ya kuyaacha!hata hivyo chama kina jukumu la kulinda hii taasisi kwa gharama yeyote hasa wakati huu ambao chama tawala kinatumia kila mbinu kuhakikisha...
Back
Top Bottom