Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

  • Sticky
Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje... ============== July 2014...
115 Reactions
2K Replies
1M Views
  • Sticky
Salaam! Ni muda sasa humu Jukwaani kumekuwa na mabandiko ya watu mbalimbali wakiomba kazi, zile za ujuzi mahususi na zile za jumla. Baadhi ya wanaoandika wamekuwa wakitaja sifa zao, wengine...
86 Reactions
208 Replies
147K Views
  • Sticky
Wewe ni mfanyakazi wa Serikali, Kada ya Kilimo (Afisa Mifugo, Afisa Kilimo, Bwana Nyuki n.k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi? Kutokana na wengi kuweka maombi ya watu wa...
3 Reactions
144 Replies
94K Views
  • Sticky
Habari zenu wana-JF? Naomba msaada wa jinsi ya kuandaa CV yangu.. Mie ni mwanafunzi wa mwaka wa mwisho Computer science, nataka kuandaa CV yangu vizuri. Shukrani! Namna ya kuandika CV...
40 Reactions
296 Replies
251K Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
40 Reactions
49K Replies
3M Views
Wakuu habari, naomba kuuliza je usaili wa kujiunga jeshi la magereza na uhamiaji 2024 tayari au kuna ambayo wameshaanza kuitwa?
3 Reactions
429 Replies
32K Views
Habari wakuu, nauliza kama kuna mtu yeyote ambae amewahi kutumia platform ya Linkedin kupata kazi. Nauliza kwa sababu ni app ambayo ndiyo hasa inabeba jukumu la kutangaza na kutafutia kazi. Watu...
5 Reactions
119 Replies
12K Views
Habari za muda huu wakuu? Samahani bwana, hivi Kuna mtu yeyote anaufahamu mradi unaohusika na maswala ya Ukimwi unaosimamiwa na Sonnabend NGO? .. Wamemwaga ajira nyingi sana zenye mshahara mnono...
1 Reactions
8 Replies
907 Views
Nimepitia mitaani, vijana ni wengi sana hawana ajira. Mmoja nimekutana naye ameniuliza Hilo swali hapo juu. Mwenye majibu tafadhali
2 Reactions
8 Replies
380 Views
Habari za leo. Natafuta binti smart, mchangamfu, asizidi 27 kwa ajili ya kuuza liquor store mitaa ya mbezi beach. Awe na nida pamoja na wadhamin wawili. Nichek PM
3 Reactions
23 Replies
663 Views
Wakuu naombeni msaada natufa kazi napatikana dar es saalaam
0 Reactions
1 Replies
90 Views
Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake 1. TPDC 2. TCRA 4. Ngorongoro 3. Ewura 4. WCF 5. TBS 5. TANAPA 5. Tume ya madini 6...
88 Reactions
2K Replies
497K Views
Habari za kazi wakuu, poleni na hongereni kwa majukumu ! Ninatafuta kijana wa kiume anayeweza kuchoma kuku mida ya jioni, malipo ni Tsh 5000 kwa siku kwa kuanzia it means inaweza kuongezeka...
3 Reactions
11 Replies
261 Views
Habarini ndugu zangu Wana Jamii Forums .Mimi ni kijana wa Miaka 26.Natafuta kazi ya Dental Therapist (Daktari wa Meno Ngazi ya Diploma ).Leseni ya kufanya kazi ninayo tayari. Kwa sasa Nipo...
0 Reactions
1 Replies
48 Views
Habari wanandugu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 niko kwenu hapa kutafuta kazi yoyote ile Kwa mkoa wa Dar es salaam au Kahama.. Uzoefu nlionao driving. Kulinda. Kufuga. Na kazi yoyote ile...
2 Reactions
3 Replies
123 Views
Jaman habari Wana Jamii, Kwakweli naombeni msaada wenu nimesoma Procurement and Logistics management nilimalza tangu mwaka 2020 sasa Kila nikiomba kazi sipati kabisa wala hata kuitwa kwenye...
2 Reactions
7 Replies
183 Views
Amani kwenu wakuu nahitaji msaada mliowahi kuhudhuria interview ya afisa kilimo mwenye shahada utumishi maswali huwa yanakujaje wakuu.
1 Reactions
6 Replies
381 Views
Samahani wakuu Nimeitwa interview mkwawa leaf tobacco kama store clerk naombeni sample ya maswali nayoweza kutana nayo?
0 Reactions
5 Replies
271 Views
Wakuu! Huwa wanasema sharing is caring. Ngonja ni wape Tips wapamabanaji wenzangu na watu wote ambao bado wanatafuta nafasi za kazi na pia kwa wanafunzi ambao bado wapo chuo. Hii trick...
70 Reactions
57 Replies
11K Views
Je wewe ni kijana mwenye kipaji na uwezo wa kutengeneza systems mbalimbali za kielektroniki kwa ubora wa hali ya juu? Karibu ujiunge nasi GSTAR SERVICES ili tuweze kuunganisha mawazo na...
1 Reactions
1 Replies
112 Views
Mimi ni mwanafunzi mwaka wa tatu na wa mwisho chuo kikuu cha Dodoma BSC IN HEALTH INFORMATION SYSTEMS vp kuna mtu ana uzoefu huko na namna ya kuomba na kupata skills system and network...
0 Reactions
8 Replies
301 Views
Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu. NB: Depo ya...
6 Reactions
238 Replies
26K Views
Job Description: Cashier Position: Cashier If you're interested, send your CV & portrait photo to the following email address: kanya@saintparts.co.jp Job Summary: As a Cashier, you will play a...
0 Reactions
6 Replies
739 Views
Ukiulizwa swali tukulipe Mshahara kiasi gani kwenye Interview unatakiwa kujibuje?
1 Reactions
22 Replies
743 Views
Back
Top Bottom