Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

  • Sticky
Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje... ============== July 2014...
115 Reactions
2K Replies
1M Views
  • Sticky
Salaam! Ni muda sasa humu Jukwaani kumekuwa na mabandiko ya watu mbalimbali wakiomba kazi, zile za ujuzi mahususi na zile za jumla. Baadhi ya wanaoandika wamekuwa wakitaja sifa zao, wengine...
87 Reactions
210 Replies
147K Views
  • Sticky
Wewe ni mfanyakazi wa Serikali, Kada ya Kilimo (Afisa Mifugo, Afisa Kilimo, Bwana Nyuki n.k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi? Kutokana na wengi kuweka maombi ya watu wa...
3 Reactions
145 Replies
95K Views
  • Sticky
Habari zenu wana-JF? Naomba msaada wa jinsi ya kuandaa CV yangu.. Mie ni mwanafunzi wa mwaka wa mwisho Computer science, nataka kuandaa CV yangu vizuri. Shukrani! Namna ya kuandika CV...
41 Reactions
296 Replies
253K Views
Children Hope Organization ni shirika lisilo la kiserikali, limeundwa na bodi ya Wakurugenzi 5 wenye Nia ya kulisaidia Taifa katika kuleta maendeleo katika jamii kupitia ufadhili wa mtoto, hivyo...
1 Reactions
4 Replies
68 Views
Habari ndugu zangu, Nina shida na namba ya ison bpo ltd toka BRELA, ISON ilikuwa inafanya kazi na Tigo miaka ya nyuma, ni kwa ajili ya madai ya PSSSF. Nawasilisha wakuu.
0 Reactions
0 Replies
19 Views
Habari zenu jobless kwa graduates, waajiri kwa wakurugenzi n.k . Niende direct kwenye mada Kutokana na watu wengi kuhangaika kutafuta ajira na wengine kutafuta waajiriwa humu nimeamua kuja na huu...
76 Reactions
917 Replies
70K Views
Naomba kuuliza juu ya Tangazo hili kama ni la kweli, maana linasambaa sana. [emoji120]
8 Reactions
78 Replies
5K Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
40 Reactions
50K Replies
3M Views
Habari zenu wakuu, Mimi ni kijana wa kitanzania ,mwenye nia ya kufanya mabadiliko kwa kuleta chachu ya maendeleo kwa kushiriki kulipa kodi na kufanya majukumu mengine kama raia Changamoto...
2 Reactions
6 Replies
76 Views
Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake 1. TPDC 2. TCRA 4. Ngorongoro 3. Ewura 4. WCF 5. TBS 5. TANAPA 5. Tume ya madini 6...
90 Reactions
2K Replies
518K Views
Habarii wanaJF Nilikuwa naomba msaada kwa yeyote ambaye alishawahii kufanya practical interview utumishi, wanaletaga practical ya namna gani maake sijawahii kufanya interview yeyote utumishi ndio...
0 Reactions
4 Replies
202 Views
Habari za Jumapili, Kwa yoyote anayehitaji chef tuwasiliane 0744054228/0657642225
4 Reactions
26 Replies
337 Views
Wakuu habari, naomba kuuliza je usaili wa kujiunga jeshi la magereza na uhamiaji 2024 tayari au kuna ambayo wameshaanza kuitwa?
3 Reactions
457 Replies
37K Views
Hello wakuu. Hii naomba kujuzwa Kwa anayefahamu in-details hii organization inayoitwa IPA, anipe information zake. Maana ni organization ambayo inatangaza nafasi nyingi mno za ajira karibu Dunia...
1 Reactions
16 Replies
340 Views
Wakubwa Habari za wakati huu, Poleni na majukumu ya kujenga taifa Napenda kushare mawazo na vijana wenzangu wanaojishughulisha na kazi za security (ulinzi) tujadili nini changamoto za kazi hii...
2 Reactions
51 Replies
9K Views
Wakuu ni NGO's zipi hapa nchini zinaongoza kwa kulipa mishahara minono zaidi,marupurupu na posho kubwa zaidi kwa Tanzania?
3 Reactions
15 Replies
999 Views
Please wana JF kama nilivyosema kwenye kichwa hapo juu. Natafuta kazi yeyote ile ila isiwe ulinzi nipo Dar es Salaam Kama kuna mwenye connection please naomba anisaidie na mimi niweze kujikwamua...
5 Reactions
50 Replies
4K Views
Habarii wanaJF Nilikuwa naomba msaada kwa yeyote ambaye alishawahii kufanya practical interview utumishi ya VOCATIONAL TEACHER II -ICT wanaletaga practical ya namna gani maake sijawahii kufanya...
0 Reactions
0 Replies
37 Views
Naomba kujua hapo juu maisha yakoje ukiwa na Ajira ya uhakika na msharaha mzuri kwa vijana wenzangu? Wengine tumejiajiri si ni yes no yes no. I wish to feel the experience of that place even...
0 Reactions
6 Replies
256 Views
African Union Vacancy – English Interpreter/Translator African Union Vacancy – English Interpreter/Translator African Union (AU) Arusha Location: Tanzania Organization: African Union AU...
0 Reactions
0 Replies
59 Views
About Announcement Number: DaresSalaam-2024-023 Hiring Agency: Embassy Dar Es Salaam Position Title: Maintenance Mechanic – Plumbing (Internal Candidates Only) Open Period: 04/23/2024 – 05/07/2024...
0 Reactions
0 Replies
34 Views
Relationship Manager; Mass Liabilities (1 Position(s)) Job Location : Head Office, Hq Job Purpose: To Manage the end-to-end relationships of key stakeholders in the liability segment for the...
0 Reactions
0 Replies
36 Views
The Danish Refugee Council assists refugees and internally displaced persons across the globe: we provide emergency aid, fight for their rights, and strengthen their opportunity for a brighter...
0 Reactions
0 Replies
34 Views
Back
Top Bottom