Salamu wana familia ya jamiiforum,naomba mnisaidie wadau,natafuta kazi tajwa hapo juu,nina bachelor ya Public Administration
Salamu wana familia ya jamiiforum,naomba mnisaidie wadau,natafuta kazi tajwa hapo juu,nina bachelor ya Public Administration
tuma maombi kwenye Tume ya utumishi wa UMMA wanaweza kukupa nafasi ya afisa utumishi kule tume ya utumishi wa walimu, ila rekebisha tittle yako wewe una Bachelor Degree huwezi kuwa Manager katika field hiyo utaanza kama officer mkuu.
They wiil disqualify you for the little weaknesses you have and they will never glorify you for the great strength you have shown, Phd- Houston Texas July 23, 2012
Mdau nashukuru sana kwa ushauri huo,nitjaribu kufanya hivyo,pamoja sana.
tuma maombi haraka east african community kuna kazi zinakufaa sana
hello,
kama watafuta kazi ya human resource office tumia hii link ya ictr imetangaza kazi International Criminal Tribunal for Rwanda - UNICTR > Home pale chini click ictr opportunities
Follow Us Here