JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Nafasi za kazi Egotel nafasi 617

  Report Post
  Page 1 of 3 123 LastLast
  Results 1 to 20 of 48
  1. Majs's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 21st December 2012
   Posts : 101
   Rep Power : 543
   Likes Received
   91
   Likes Given
   21

   Default Nafasi za kazi Egotel nafasi 617

   Habari wanajamii,

   Kuna tangazo la kazi nimepokea kuhusu kampuni tajwa, nimejaribu ku-google iko registered na TCRA muda mrefu lakini inasuasua kwenye kuanza kwake. Kwenye form kuna physical address ya kampuni, according to the sender Deadline 30/06/2014.

   ALL THE BEST
   Attached Files

  2. Obama wa Bongo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th May 2012
   Location : mbagala
   Posts : 3,821
   Rep Power : 163307440
   Likes Received
   321
   Likes Given
   303

   Default re: Nafasi za kazi Egotel nafasi 617

   kila la heri! isije ikawa kama habari ya HITS kampuni ya simu iliyokuja kwa mbwembwe nyingi,watu wakaacha kazi wanaenda new telecom company! ikafa baada ya miezi miwili,kwenye gazeti la leo naona liquidator(mfilisi) wake ameshajitangaza ernest& young ndio wasimamizi wa show nzima ya HITS!!!!!!!!!!

  3. cholloh1's Avatar
   Member Array
   Join Date : 26th August 2013
   Location : Tanzania
   Posts : 53
   Rep Power : 428
   Likes Received
   5
   Likes Given
   0

   Default re: Nafasi za kazi Egotel nafasi 617

   Asante mdau..kwa alert.!

  4. chitalula's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd November 2010
   Location : NearYou
   Posts : 1,276
   Rep Power : 37552606
   Likes Received
   369
   Likes Given
   131

   Default re: Nafasi za kazi Egotel nafasi 617

   Quote By Majs View Post
   Habari wanajamii,

   Kuna tangazo la kazi nimepokea kuhusu kampuni tajwa, nimejaribu ku-google iko registered na TCRA muda mrefu lakini inasuasua kwenye kuanza kwake. Kwenye form kuna physical address ya kampuni, according to the sender Deadline 30/06/2014.

   ALL THE BEST
   mkuu hawajaweka hata sanduku la posta, maana tuna vi-certificate vyetu tunataka tutupie
   ULIPO TUPO,,,,,,,IN LOWASA WE TRUST

  5. babo's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 9th April 2014
   Posts : 195
   Rep Power : 425
   Likes Received
   15
   Likes Given
   16

   Default re: Nafasi za kazi Egotel nafasi 617

   vp anwani mkuu ya kampun hiyo tutaipateje

  6. Replies's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st February 2014
   Location : Dar es salaam
   Posts : 1,490
   Rep Power : 694
   Likes Received
   422
   Likes Given
   1607

   Default re: Nafasi za kazi Egotel nafasi 617

   Thanks
   I have decided to stick to love coz hate is too heavy a burden to bear

  7. BURUDIKA's Avatar
   Member Array
   Join Date : 30th December 2013
   Posts : 93
   Rep Power : 419
   Likes Received
   7
   Likes Given
   2

   Default re: Nafasi za kazi Egotel nafasi 617

   Tupe anwani mkuu ili tutupie cv zetu wakiacha kusuasua watazikutamo.

  8. Kigogo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th December 2007
   Location : Calabash
   Posts : 19,230
   Rep Power : 0
   Likes Received
   4293
   Likes Given
   2238

   Default re: Nafasi za kazi Egotel nafasi 617

   Egotel imeingia ubia na vtel ya vietnamni bonge la kampuniiiii...vodacom na aitel wajiangalie sana
   ______________________________ _
   Niko tayari kufa huku nimesimama kuliko kuishi huku nimepiga magoti....

  9. Chwaka's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 18th January 2014
   Posts : 185
   Rep Power : 435
   Likes Received
   33
   Likes Given
   6

   Default re: Nafasi za kazi Egotel nafasi 617

   Quote By BURUDIKA View Post
   Tupe anwani mkuu ili tutupie cv zetu wakiacha kusuasua watazikutamo.
   Physical address ipo mkuu, kene ile application form yao

  10. Chwaka's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 18th January 2014
   Posts : 185
   Rep Power : 435
   Likes Received
   33
   Likes Given
   6

   Default re: Nafasi za kazi Egotel nafasi 617

   Quote By chitalula View Post
   mkuu hawajaweka hata sanduku la posta, maana tuna vi-certificate vyetu tunataka tutupie
   download na hiyo Application form mkuu ina hicho unachokihitaji bhana

  11. TEMBO WANGU's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st February 2014
   Posts : 279
   Rep Power : 448
   Likes Received
   75
   Likes Given
   0

   Default re: Nafasi za kazi Egotel nafasi 617

   wakuu mwenye uwezo watuekee hapa janvin kwa kuwasaidia wenye simu za mchina

  12. Likwanda's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th June 2011
   Location : Dar Es Salaam
   Posts : 3,821
   Rep Power : 1297
   Likes Received
   929
   Likes Given
   97

   Default

   Quote By TEMBO WANGU View Post
   wakuu mwenye uwezo watuekee hapa janvin kwa kuwasaidia wenye simu za mchina
   Tumia ujanja uattach hizi attachment ktk gmail account kisha preview zitafunguka tena hata ktk mchina wa 15000.

  13. steve lee's Avatar
   Member Array
   Join Date : 21st March 2013
   Posts : 68
   Rep Power : 454
   Likes Received
   5
   Likes Given
   2

   Default re: Nafasi za kazi Egotel nafasi 617

   Quote By Majs View Post
   Habari wanajamii,

   Kuna tangazo la kazi nimepokea kuhusu kampuni tajwa, nimejaribu ku-google iko registered na TCRA muda mrefu lakini inasuasua kwenye kuanza kwake. Kwenye form kuna physical address ya kampuni, according to the sender Deadline 30/06/2014.

   ALL THE BEST
   Inatumwa kwenda address ipi??

  14. Watu8's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th February 2010
   Location : Juu ya Tukutuku
   Posts : 45,652
   Rep Power : 429506161
   Likes Received
   27728
   Likes Given
   29103

   Default re: Nafasi za kazi Egotel nafasi 617

   "Ingawa tunatumia AVATARS na USERNAMES ambazo ni FAKE, bado haibadilishi uhalisia wa MIOYO YETU"  15. Majs's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 21st December 2012
   Posts : 101
   Rep Power : 543
   Likes Received
   91
   Likes Given
   21

  16. ankol's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd August 2012
   Location : Dar es Salaam
   Posts : 915
   Rep Power : 654
   Likes Received
   287
   Likes Given
   186

   Default re: Nafasi za kazi Egotel nafasi 617

   Mh! tusijeacha huku tuliko tukapambana na yale mambo ya traiteli

  17. Majs's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 21st December 2012
   Posts : 101
   Rep Power : 543
   Likes Received
   91
   Likes Given
   21

   Default re: Nafasi za kazi Egotel nafasi 617

   Nimefanikiwa kuongea nao, tangazo liko real lakini instead of email unatumia box lililopo kwenye form...

  18. babo's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 9th April 2014
   Posts : 195
   Rep Power : 425
   Likes Received
   15
   Likes Given
   16

   Default re: Nafasi za kazi Egotel nafasi 617

   tunashuhuru kwa maelezo mazuri ulio toa

  19. Domenia's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th May 2009
   Location : Juu sana hapa-Afrika
   Posts : 444
   Rep Power : 728
   Likes Received
   21
   Likes Given
   13

   Default Re: Nafasi za kazi Egotel nafasi 617

   Wengine tupo porini inakuaje?-posta tena..

  20. tycoonff's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 29th December 2013
   Posts : 222
   Rep Power : 445
   Likes Received
   45
   Likes Given
   12

   Default Re: Nafasi za kazi Egotel nafasi 617

   Quote By matatiz View Post
   Mh! tusijeacha huku tuliko tukapambana na yale mambo ya traiteli
   Kwann uache uliko? Kwan kutuma application ndo guarantee kuwa umepata kazi?

  Page 1 of 3 123 LastLast

  Similar Topics

  1. Nafasi za kazi jaribu nafasi yako
   By Shy in forum Nafasi za Kazi na Tenda
   Replies: 5
   Last Post: 29th March 2010, 18:07

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...