JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Walimu wa Ajira mpya 2014: List ya waliokubaliwa kubadilishiwa vituo!

  Report Post
  Results 1 to 6 of 6
  1. JamiiForums's Avatar
   Official Robot Array
   Join Date : 9th November 2006
   Location : Home of Great Thinkers
   Posts : 39,335
   Rep Power : 32401744
   Likes Received
   1076
   Likes Given
   47

   Lightbulb Walimu wa Ajira mpya 2014: List ya waliokubaliwa kubadilishiwa vituo!

   JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

   OFISI YA WAZIRI MKUU, TAWALA ZA MIKOA NA

   SERIKALI ZA MITAA

   WALIMU WA AJIRA MPYA 2014 WALIOKUBALIWA KUBADILISHIWA VITUO

   Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa imefanya mabadiliko ya vituo vya kazi kwa walimu Ajira mpya mwaka 2014 baada ya kupokea na kuchambua maombi mbalimbali kutoka kwa walimu walioomba kubadilishiwa vituo.

   Hivyo walimu wote walioomba kubadilishiwa vituo lakini majina yao hayapo katika orodha hii kwa ngazi zote watambue kuwa maombi yao hayakukubaliwa na hivyo wanatakiwa kwenda kuripoti katika vituo walivyopangiwa kwa mujibu wa tangazo la tarehe 15/03/2014.

   Inasisitizwa kuwa tarehe ya mwisho ya kuripoti ni 10/04/2014 na ambaye

   hataripoti mpaka tarehe hiyo atakuwa amepoteza nafasi ya ajira.

   Hakutakuwa na mabadiliko mengine tena.
   Tunawatakia kila la kheri.


   Walimu wa Cheti (Daraja IIIA) Kwa Ajili Ya Shule Za Msingi(Bofya hapa)

   Walimu wa Stashahada Kwa Ajili Ya Shule za Sekondari(Bofya hapa)

   Walimu wa Shahada Kwa Ajili Ya Shule Za Sekondari(Bofya hapa)


  2. sawa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd November 2010
   Posts : 2,416
   Rep Power : 83684338
   Likes Received
   462
   Likes Given
   262

   Default Majina ya Walimu wa ajira mpya 2014 waliokubaliwa kubadilisha vituo http://dlvr.it/5H92NF


  3. sawa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd November 2010
   Posts : 2,416
   Rep Power : 83684338
   Likes Received
   462
   Likes Given
   262

   Default Re: Majina ya Walimu wa ajira mpya 2014 waliokubaliwa kubadilisha vituo http://dlvr.it/5H92NF


  4. g click's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th December 2012
   Location : majarubani
   Posts : 2,269
   Rep Power : 908
   Likes Received
   425
   Likes Given
   48

   Default Re: Majina ya Walimu wa ajira mpya 2014 waliokubaliwa kubadilisha vituo http://dlvr.it/5H92NF

   kuna mkuu mwgine alishaleta hii link kwenye jukwaa la elimu kule tayari
   OMBA KAZI USIOMBE HELA!

  5. sawa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd November 2010
   Posts : 2,416
   Rep Power : 83684338
   Likes Received
   462
   Likes Given
   262

   Default Re: Majina ya Walimu wa ajira mpya 2014 waliokubaliwa kubadilisha vituo http://dlvr.it/5H92NF

   nashukuru kwa taarifa mkuu tupo pamoja kwen ye ujenzi wa taifa


  6. sawa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd November 2010
   Posts : 2,416
   Rep Power : 83684338
   Likes Received
   462
   Likes Given
   262

   Default Re: Majina ya Walimu wa ajira mpya 2014 waliokubaliwa kubadilisha vituo http://dlvr.it/5H92NF

   g click msalimie EDO KUMWEMBE


  Similar Topics

  1. Kubadilishana Kituo cha Kazi Ualimu Ajira Mpya 2014
   By mapengo junior in forum Nafasi za Kazi na Tenda
   Replies: 11
   Last Post: 7th June 2014, 00:31
  2. ajira mpya za walimu 2013-2014
   By allan clement in forum Nafasi za Kazi na Tenda
   Replies: 59
   Last Post: 12th March 2014, 07:52
  3. Walimu wanaoripoti ajira mpya hakuna pesa.
   By Ziltan in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
   Replies: 34
   Last Post: 3rd February 2012, 21:52

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...