Show/Hide This

  Topic: Ajira Idara ya Uhamiaji Tanzania...

  Report Post
  Page 1 of 2 12 LastLast
  Results 1 to 20 of 23
  1. NONIYANG'WAKA's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 22nd September 2013
   Posts : 133
   Rep Power : 474
   Likes Received
   9
   Likes Given
   13

   Default Ajira Idara ya Uhamiaji Tanzania...

   Amani na salaama wanajamvi.

   Pole na mgomo wa EFD na mihangaiko ya hapa na pale.

   Nauliza je nina sifa za kujiunga na immigration? Namalizia BAED ya UDSM..

   Nawasilisha.


  2. Mbishi 4 real's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th January 2014
   Posts : 351
   Rep Power : 429
   Likes Received
   87
   Likes Given
   0

   Default re: Ajira Idara ya Uhamiaji Tanzania...

   Uhamiaji wanachukuaga mwisho form six...BAED yako tupa kule

  3. patrickcharles's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd May 2013
   Posts : 308
   Rep Power : 454
   Likes Received
   80
   Likes Given
   22

   Default

   Quote By NONIYANG'WAKA View Post
   amani na salaama wanajamvi....pole na mgomo wa EFD na mihangaiko ya hapa na pale.

   nauliza je nina sifa za kujiunga na immigration.... namalizia BAED ya UDSM..
   Nawasilisha.
   Hauna sifa kabisa, wewe ni Mwalimu tu. Over.
   bane likes this.

  4. #4
   kobilo's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 5th January 2014
   Location : musoma
   Posts : 115
   Rep Power : 383
   Likes Received
   17
   Likes Given
   34

   Default re: Ajira Idara ya Uhamiaji Tanzania...

   wewe subiri ukafundishe KIGURUNYEMBE SECONDARY achana na maswala ya UHAMIAJI! "Ni hayo tu"

  5. Mtumbwi uliozama's Avatar
   Member Array
   Join Date : 5th January 2014
   Posts : 27
   Rep Power : 365
   Likes Received
   4
   Likes Given
   49

   Default re: Ajira Idara ya Uhamiaji Tanzania...

   Mbona mnamkatisha tamaa huyu jamaaa???? Wewe omba kwa kutumia cheti cha form six then ukishapata kazi unawasilisha nondo zako


  6. Mti Mtu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th October 2011
   Location : iringa or mbeya or dar es laam
   Posts : 645
   Rep Power : 604
   Likes Received
   80
   Likes Given
   38

   Default re: Ajira Idara ya Uhamiaji Tanzania...

   Usiwasikilize wanaokukatisha tamaa, baed dili sana wewe nenda tu, maana kwenye benki hao baed ndo wanaohitajika

  7. #7
   Remote's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th May 2011
   Posts : 11,630
   Rep Power : 118916054
   Likes Received
   3189
   Likes Given
   1888

   Default

   Quote By Mti Mtu View Post
   Usiwasikilize wanaokukatisha tamaa, baed dili sana wewe nenda tu, maana kwenye benki hao baed ndo wanaohitajika
   acha kumdanganya mwezako

  8. #8
   ofisa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th May 2011
   Posts : 626
   Rep Power : 623
   Likes Received
   83
   Likes Given
   0

   Default re: Ajira Idara ya Uhamiaji Tanzania...

   Unasifa ila inajua lugha ngapi hapa tanzania
   ?

  9. Mti Mtu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th October 2011
   Location : iringa or mbeya or dar es laam
   Posts : 645
   Rep Power : 604
   Likes Received
   80
   Likes Given
   38

   Default

   Quote By remote View Post
   acha kumdanganya mwezako
   unawivu wewe!

  10. Remote's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th May 2011
   Posts : 11,630
   Rep Power : 118916054
   Likes Received
   3189
   Likes Given
   1888

   Default

   Quote By Mti Mtu View Post
   unawivu wewe!
   wivu kukwambia ukweli!!???
   BAED anaeingia ni mchongo tu... mie mwenyewe ni mwana BAED.. Na nipo sector nyngne i know th situatio dude... tusidanganyane kwa njia halali hupati kazi huko kwengine.

  11. NONIYANG'WAKA's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 22nd September 2013
   Posts : 133
   Rep Power : 474
   Likes Received
   9
   Likes Given
   13

   Default

   ok...mkuu...nalifanyia kazi.

  12. NONIYANG'WAKA's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 22nd September 2013
   Posts : 133
   Rep Power : 474
   Likes Received
   9
   Likes Given
   13

   Default

   najuo kuongea na kuandika kwa ufasaha kiswahili na kingereza. pia kisukuma na kinyamwezi....nikifanya nikiishi na makabila ya kibantu huwa naanza kuwaelewa ndani ya siku3 kama wanakiongea muda wote... nimefanya hvo kwa wahaya, waha, wajita.

   am i qualified?

  13. Mti Mtu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th October 2011
   Location : iringa or mbeya or dar es laam
   Posts : 645
   Rep Power : 604
   Likes Received
   80
   Likes Given
   38

   Default

   Quote By remote View Post
   wivu kukwambia ukweli!!???
   Baed anaeingia ni mchongo tu... Mie mwenyewe ni mwana baed.. Na nipo sector nyngne i know th situatio dude... Tusidanganyane kwa njia halali hupati kazi huko kwengine.
   baed unafit kila idara ww

  14. Peter jaluo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th November 2013
   Posts : 1,744
   Rep Power : 716
   Likes Received
   229
   Likes Given
   1

   Default re: Ajira Idara ya Uhamiaji Tanzania...

   Wewe kweli mtzania?

  15. mzee Chibai's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd September 2013
   Location : Dar es salaam
   Posts : 857
   Rep Power : 546
   Likes Received
   198
   Likes Given
   50

   Default re: Ajira Idara ya Uhamiaji Tanzania...

   Mkuu tulia wewe nenda kafundishe uinue elimu ya Tanzania... Kila la kheri ticha

   Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

  16. #16
   peri's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd March 2011
   Posts : 2,413
   Rep Power : 110853
   Likes Received
   1006
   Likes Given
   213

   Default re: Ajira Idara ya Uhamiaji Tanzania...

   uhamiaji nafasi zao huwa hawabagui wenye shahada but wanachukua watu wachache sana. Mfn mwaka juzi wamechukua watu 50 tu na wanapelekwa kwanza ccp wanapiga depo na mapolisi then ndo unaanza kazi

  17. KIDUDU's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th September 2012
   Posts : 444
   Rep Power : 516
   Likes Received
   88
   Likes Given
   260

   Default

   Quote By Mti Mtu View Post
   Usiwasikilize wanaokukatisha tamaa, baed dili sana wewe nenda tu, maana kwenye benki hao baed ndo wanaohitajika
   teh teh, labda benki yako mkuu, vinginevyo umedanganya kwa 100000000%

  18. #18
   Perry's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th February 2011
   Posts : 8,825
   Rep Power : 2416
   Likes Received
   600
   Likes Given
   19

   Default

   Quote By Mti Mtu View Post
   Usiwasikilize wanaokukatisha tamaa, baed dili sana wewe nenda tu, maana kwenye benki hao baed ndo wanaohitajika
   bank gani inahtaji walimu?ebu kafundisheni bwana.

  19. Remote's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th May 2011
   Posts : 11,630
   Rep Power : 118916054
   Likes Received
   3189
   Likes Given
   1888

   Default re: Ajira Idara ya Uhamiaji Tanzania...

   Quote By Mti Mtu View Post
   baed unafit kila idara ww
   hayo maneno ya kufit kila idara ni ya kujipa moyo wakati ukiwa chuo.. kwenye reality hakuna kitu kama hicho
   "JF ni kama nyumbani,JF ni kama darasa kwangu- Regia Estelatus Mtema "

  20. BURUDIKA's Avatar
   Member Array
   Join Date : 30th December 2013
   Posts : 93
   Rep Power : 379
   Likes Received
   7
   Likes Given
   2

   Default

   Jamani ndio mana kuna fani za kusomea mavyuoni kwahiyo fiti kwenye fani yako. SAWA?.
   Quote By Remote View Post
   hayo maneno ya kufit kila idara ni ya kujipa moyo wakati ukiwa chuo.. kwenye reality hakuna kitu kama hicho


  Page 1 of 2 12 LastLast

  Similar Topics

  1. Idara ya uhamiaji na tatizo la ajira Tanzania
   By jamii01 in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 6
   Last Post: 26th November 2012, 13:11
  2. Idara ya Uhamiaji inaidharirisha Tanzania
   By Tuko in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 5
   Last Post: 16th August 2012, 15:15
  3. Idara ya Uhamiaji wavamia LOLIONDO kukagua nyaraka za wageni
   By MaxShimba in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 1
   Last Post: 7th April 2011, 00:51
  4. Ufisadi wa kutisha idara ya uhamiaji
   By rungulugujo in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 5
   Last Post: 3rd January 2011, 04:46
  5. Idara ya uhamiaji Tanzania!
   By Akili Unazo! in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 35
   Last Post: 21st December 2010, 14:42

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...