JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Jeshi la polisi

  Report Post
  Results 1 to 7 of 7
  1. Yusuph Issa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th June 2013
   Posts : 526
   Rep Power : 533
   Likes Received
   80
   Likes Given
   0

   Default Jeshi la polisi

   habari zenu wakuu tafadhali wana jf yeyote mwenye info kuhusu nafasi za ajira kwa jeshi la polisi kwa wahitimu wa form form kwa mwaka 2014!


  2. Mad Max's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st October 2010
   Location : Washington DC
   Posts : 3,104
   Rep Power : 1187
   Likes Received
   757
   Likes Given
   1363

   Default Re: Jeshi la polisi

   unamaanisha Form four au? Kama ni form four, iko hivi:
   Form four wanahitimu November 2014, matokeo yao yanatoka Feb/March 2015. Vyeti (Result Slip) vinaweza kutoka June 2015.
   Kwahiyo wewe (Form four sasa hivi), kupata ajira ya Police, maybe July 2015 na kurndelea.
   Tena mwaka 2015 serikali itahitaji askar wengi sana kwaajili ya uchaguzi. Jipe Moyo.

   P.S: Ukifeli tu, huna chako. Police mwisho division IV.

  3. Trouble shooter's Avatar
   Member Array
   Join Date : 18th January 2014
   Posts : 79
   Rep Power : 413
   Likes Received
   12
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Secret Service View Post
   unamaanisha Form four au? Kama ni form four, iko hivi:
   Form four wanahitimu November 2014, matokeo yao yanatoka Feb/March 2015. Vyeti (Result Slip) vinaweza kutoka June 2015.
   Kwahiyo wewe (Form four sasa hivi), kupata ajira ya Police, maybe July 2015 na kurndelea.
   Tena mwaka 2015 serikali itahitaji askar wengi sana kwaajili ya uchaguzi. Jipe Moyo.

   P.S: Ukifeli tu, huna chako. Police mwisho division IV.
   magereza wao wana ajiri lini?

  4. Mad Max's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st October 2010
   Location : Washington DC
   Posts : 3,104
   Rep Power : 1187
   Likes Received
   757
   Likes Given
   1363

   Default Re: Jeshi la polisi

   Quote By Alpha Cleverly View Post
   magereza wao wana ajiri lini?
   Mwaka 2011: Walichukua June/July
   Mwaka 2012: Ilikua April
   Mwaka 2013: ****

   Muda wowote kaka, stay tunned, haina kipind maalumu.   Inakuaga June/July. Sijui mwaka huu.
   Ali said Even the Greatest gotta Suffer sometimes..

  5. Yusuph Issa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th June 2013
   Posts : 526
   Rep Power : 533
   Likes Received
   80
   Likes Given
   0

   Default Re: Jeshi la polisi

   asante secret services kwa info ngoja tuandae vyeti mkuu!!


  6. prakatatumba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th October 2011
   Posts : 1,328
   Rep Power : 781
   Likes Received
   172
   Likes Given
   9

   Default

   Quote By Alpha Cleverly View Post
   magereza wao wana ajiri lini?
   Magereza wanachukua JKT na kwa taarifa niliyonayo kuanzia wiki ijayo wanaanza kufanya usaili katika makambi ya JKT

  7. prakatatumba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th October 2011
   Posts : 1,328
   Rep Power : 781
   Likes Received
   172
   Likes Given
   9

   Default

   Quote By Secret Service View Post
   Mwaka 2011: Walichukua June/July
   Mwaka 2012: Ilikua April
   Mwaka 2013: ****

   Muda wowote kaka, stay tunned, haina kipind maalumu.   Inakuaga June/July. Sijui mwaka huu.
   2013 Magereza hawakuchukua ila wiki ijayo wanaanza kufanya usaili kwenye makambi ya JKT


  Similar Topics

  1. Tume, Jeshi la Polisi na Mahakama
   By Mr. Politician in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 1
   Last Post: 26th June 2008, 12:31
  2. Jeshi la Polisi na mabadiliko yanayohitajika
   By Mzee Mwanakijiji in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 15
   Last Post: 20th March 2008, 03:22
  3. Wasemaji Jeshi La Polisi
   By Shy in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 1
   Last Post: 21st November 2007, 10:09
  4. Jeshi La Polisi Liwajibike
   By Shy in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 3
   Last Post: 2nd August 2007, 06:32

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...