JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Ambao hawakuitwa usaili pccb

  Report Post
  Page 1 of 2 12 LastLast
  Results 1 to 20 of 23
  1. Tmajuto's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 28th June 2012
   Posts : 128
   Rep Power : 420
   Likes Received
   24
   Likes Given
   1

   Default Ambao hawakuitwa usaili pccb

   tuendelee kusubiri,kumbukeni sio mwisho wa maisha
   Last edited by Tmajuto; 13th January 2014 at 17:36.

  2. BIMBILISAMAJI's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th December 2013
   Location : Hapa Nilipo
   Posts : 288
   Rep Power : 376
   Likes Received
   52
   Likes Given
   4

   Default Re: Ambao hawakuitwa usaili pccb

   Quote By Tmajuto View Post
   tuendelee kusubiri,kumbukeni sio mwisho wa maisha
   Ahhhhhh maneno ya mkosaji, kijana wamekupiga chini sasa ndo ujifunze wote tungekuwa PCCB basi kusingekuwa na konda..Ushauri..Gundua kipaji chako afu kitumie usisubiri kuajiliwa....Waambie na wenzako kila cku mliokuwa mnapost PCCB mara hivi mara vile aya sasa...

  3. King Kong III's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 15th October 2010
   Location : Enaboishu-Umenyeni
   Posts : 17,206
   Rep Power : 3877135
   Likes Received
   5349
   Likes Given
   3535

   Default Re: Ambao hawakuitwa usaili pccb

   Interview lini kaka? Nipo shortlisted.

  4. KANCHI's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd September 2011
   Posts : 1,372
   Rep Power : 712
   Likes Received
   146
   Likes Given
   25

   Default Re: Ambao hawakuitwa usaili pccb

   Kweli bana

  5. Prince Akeem's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th May 2013
   Posts : 354
   Rep Power : 545
   Likes Received
   66
   Likes Given
   24

   Default

   Quote By BIMBILISAMAVI View Post
   Ahhhhhh maneno ya mkosaji, kijana wamekupiga chini sasa ndo ujifunze wote tungekuwa PCCB basi kusingekuwa na konda..Ushauri..Gundua kipaji chako afu kitumie usisubiri kuajiliwa....Waambie na wenzako kila cku mliokuwa mnapost PCCB mara hivi mara vile aya sasa...
   usimlazimishe mtu kujiari kama hayupo tayaru. wengi hawana mtaji na kila mtu alikuwa ana ulizia ili apate walau nafasi ya kuendeleza maisha. acha kuwa na roho ya ulimbukeni
   kivyako likes this.

  6. JF SMS Swahili

  7. KILLANEKELI's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 26th November 2013
   Posts : 110
   Rep Power : 343
   Likes Received
   20
   Likes Given
   2

   Default Re: Ambao hawakuitwa usaili pccb

   Pole mkuu, komaa tafuta kwingine siku moja utapata, uvumilivu na kuto kukata tamaa ni vitu muhimu sana, kuna jamaa yangu alimaliza chuo 2007 kazi amekuja kupata mwaka jana, alihangaika sana ila sema alikuwa mvumilivu.

  8. kobilo's Avatar
   Member Array
   Join Date : 5th January 2014
   Location : musoma
   Posts : 75
   Rep Power : 330
   Likes Received
   10
   Likes Given
   20

   Default Re: Ambao hawakuitwa usaili pccb

   Quote By BIMBILISAMAVI View Post
   Ahhhhhh maneno ya mkosaji, kijana wamekupiga chini sasa ndo ujifunze wote tungekuwa PCCB basi kusingekuwa na konda..Ushauri..Gundua kipaji chako afu kitumie usisubiri kuajiliwa....Waambie na wenzako kila cku mliokuwa mnapost PCCB mara hivi mara vile aya sasa...
   wewe umeshajiajiri tayar!? sasa kama kila mtu kama akiwa mfanyabiashara nani atanunua bidhaa za mwenzake..?? kama ww umeshajiajir inatosha,,

  9. BIMBILISAMAJI's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th December 2013
   Location : Hapa Nilipo
   Posts : 288
   Rep Power : 376
   Likes Received
   52
   Likes Given
   4

   Default Re: Ambao hawakuitwa usaili pccb

   Quote By Prince Akeem View Post
   usimlazimishe mtu kujiari kama hayupo tayaru. wengi hawana mtaji na kila mtu alikuwa ana ulizia ili apate walau nafasi ya kuendeleza maisha. acha kuwa na roho ya ulimbukeni
   Acha ufala wewe huo ushauri tu kama utaki upotezeee, mtaji ni akili yako sio pesa kama unavyofikiri...

  10. BIMBILISAMAJI's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th December 2013
   Location : Hapa Nilipo
   Posts : 288
   Rep Power : 376
   Likes Received
   52
   Likes Given
   4

   Default Re: Ambao hawakuitwa usaili pccb

   Quote By kobilo View Post
   wewe umeshajiajiri tayar!? sasa kama kila mtu kama akiwa mfanyabiashara nani atanunua bidhaa za mwenzake..?? kama ww umeshajiajir inatosha,,
   Umenifurahisha sana kijana kila mtu kama akiwa mfanyabiashara nani atanunua bidhaa za mwenzake...hauko mbali na mimi kila mtu akiwa PCCB......kwahiyo tufanye ushauri sasa Gundua kipaji chako halafu ukitumie..ukisubili kuajiriwa utasubiri sana!
   kobilo likes this.

  11. andrew kisanga's Avatar
   Member Array
   Join Date : 27th April 2013
   Location : Old Moshi,mahoma
   Posts : 29
   Rep Power : 357
   Likes Received
   0
   Likes Given
   232

   Default Re: Ambao hawakuitwa usaili pccb

   Tunatakiwa tuwa na amani kuwapongeza wote waliopata nafasi hii ila jua kuwa kuna maisha hata badaa ya kukosa hii kazi mungu ni mwema tumpe utukufu kuwa anaweza tu na hashindwi na kitu...!hongeren sana wote mlio shortlisted.

  12. simplemind's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th April 2009
   Posts : 4,226
   Rep Power : 1479
   Likes Received
   814
   Likes Given
   0

   Default Re: Ambao hawakuitwa usaili pccb

   Nilidhani UDSM inayo department of urban planning ambayo kwa vyovote vile itakuwa na waatalam wa fani hii.

  13. MKANKULE's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 8th December 2011
   Posts : 196
   Rep Power : 763
   Likes Received
   26
   Likes Given
   32

   Default Re: Ambao hawakuitwa usaili pccb

   Quote By King Kong III View Post
   Interview lini kaka? Nipo shortlisted.
   unafaa kuwa watchman, lazima wakuchukue

  14. MKANKULE's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 8th December 2011
   Posts : 196
   Rep Power : 763
   Likes Received
   26
   Likes Given
   32

   Default Re: Ambao hawakuitwa usaili pccb

   Quote By andrew kisanga View Post
   Tunatakiwa tuwa na amani kuwapongeza wote waliopata nafasi hii ila jua kuwa kuna maisha hata badaa ya kukosa hii kazi mungu ni mwema tumpe utukufu kuwa anaweza tu na hashindwi na kitu...!hongeren sana wote mlio shortlisted.
   mim nitawapa hongera wale watakaopata kazi maana shortlis sio kupata kazi

  15. Franklin johnson's Avatar
   Member Array
   Join Date : 14th January 2014
   Posts : 41
   Rep Power : 322
   Likes Received
   4
   Likes Given
   3

   Default Re: Ambao hawakuitwa usaili pccb

   Pia mnatakiwa kufahamu kuwa wale ambao majina yao hayakuwepo haimaanishi kwamba hawakuwa na vigezo sababu wale waliopo ktk shortlist sifa zao vinafanana na wale ambao hawapo ktk shortlist, naamini hata ufahamu wao wa ICT ni magumashi, endapo watapewa mtihani wa masuala ya ICT kuna watu wataaga mashindano pale. Tusubiri majeruhi wajao. Mliokosa nafasi ya kuitwa ktk usaili msivunjike moyo

  16. Prince Akeem's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th May 2013
   Posts : 354
   Rep Power : 545
   Likes Received
   66
   Likes Given
   24

   Default Re: Ambao hawakuitwa usaili pccb

   wewe unatabia za kike sana. ungetoa ushauri kistaarabu ungeeleweka. jifunze lugha nzuri ww mchelemchele

  17. Lameck Dunia's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 24th April 2013
   Posts : 178
   Rep Power : 387
   Likes Received
   12
   Likes Given
   0

   Default Re: Ambao hawakuitwa usaili pccb

   jamani kwani ukiitwa kene enterview ndo ushapata ajira co mchujo kule km kawa so tmwmbe mungu mlikoxa kuitwa pia mumushukuru mungu huwez jua kapangaje juuyako mucrumbane wandugu zangu mubaya kikwete anaowapa nchi wachna na wamarekani wanauza mahndi wengne wachna mafnga stand

  18. BIMBILISAMAJI's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th December 2013
   Location : Hapa Nilipo
   Posts : 288
   Rep Power : 376
   Likes Received
   52
   Likes Given
   4

   Default Re: Ambao hawakuitwa usaili pccb

   Quote By Prince Akeem View Post
   wewe unatabia za kike sana. ungetoa ushauri kistaarabu ungeeleweka. jifunze lugha nzuri ww mchelemchele
   Wewe nazan wenzako wanakupumulia..maisha c o lelemama unatakiwa ukomae kichwani c o kufuga nywele tu unatakiwa utumie ubongo wako wewe bongolala...

  19. asporo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd December 2012
   Location : JUPITER
   Posts : 293
   Rep Power : 461856
   Likes Received
   93
   Likes Given
   1041

   Default Re: Ambao hawakuitwa usaili pccb

   Quote By BIMBILISAMAVI View Post
   Ahhhhhh maneno ya mkosaji, kijana wamekupiga chini sasa ndo ujifunze wote tungekuwa PCCB basi kusingekuwa na konda..Ushauri..Gundua kipaji chako afu kitumie usisubiri kuajiliwa....Waambie na wenzako kila cku mliokuwa mnapost PCCB mara hivi mara vile aya sasa...
   Wewe ni wa ajabu sana.Sasa kakosea nn mwenzio kuwapa moyo waliokosa?Maisha hayako hivyo kijana!Leo unakosa kesho unapata.Bado hujakuwa wewe MAisha huyajui..
   Sent from iPhone 4s

  20. Secret Service's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st October 2010
   Location : Washington DC
   Posts : 2,052
   Rep Power : 893
   Likes Received
   440
   Likes Given
   985

   Default Re: Ambao hawakuitwa usaili pccb

   Taratibu vijana... Ugomvi wa nini? Ebu tuwaombee walioitwa kihalali sio waliotengenezewa njia, wapite..

  21. BIMBILISAMAJI's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th December 2013
   Location : Hapa Nilipo
   Posts : 288
   Rep Power : 376
   Likes Received
   52
   Likes Given
   4

   Default Re: Ambao hawakuitwa usaili pccb

   Quote By asporo View Post
   Wewe ni wa ajabu sana.Sasa kakosea nn mwenzio kuwapa moyo waliokosa?Maisha hayako hivyo kijana!Leo unakosa kesho unapata.Bado hujakuwa wewe MAisha huyajui..
   We kilaza unatakiwa utoe ushauri what next.., wewe ndo maisha huyajui...

  22. JF SMS Swahili

  Page 1 of 2 12 LastLast

  Similar Topics

  1. PCCB, media to discuss change of new graft law
   By BAK in forum Jukwaa la Sheria (The Law Forum)
   Replies: 5
   Last Post: 27th January 2014, 21:27
  2. walioitwa kwenye usaili pccb (takukuru)
   By illegal migrant in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 37
   Last Post: 21st January 2014, 13:58
  3. Kuitwa kwenye usaili PCCB
   By matatiz in forum Nafasi za Kazi na Tenda
   Replies: 16
   Last Post: 19th November 2013, 15:02
  4. Usaili (Accreditation) wa stashahada/shahada za nje ya Tanzania!!
   By Morani75 in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 9
   Last Post: 28th February 2008, 14:32
  5. EDITORIAL: PCCB Act marks the end of investigative journalism?
   By BAK in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 0
   Last Post: 13th August 2007, 14:36

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...