JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Storeman position in a warehouse

  Report Post
  Page 2 of 2 FirstFirst 12
  Results 21 to 37 of 37
  1. jashmoe32's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th December 2012
   Posts : 779
   Rep Power : 611
   Likes Received
   159
   Likes Given
   313

   Default Storeman position in a warehouse

   Habari za siku wajumbe,kuna nafasi za kazi zimetokea huku katika mgodi wa Bulyanhulu na ni nafasi 5 za Storeman katika warehouse.Nimeambatanisha na Tangazo.

   Nawasilisha

  2. jashmoe32's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th December 2012
   Posts : 779
   Rep Power : 611
   Likes Received
   159
   Likes Given
   313

   Default Re: Storeman position in a warehouse

   Ahsante kaka
   Last edited by jashmoe32; 13th August 2013 at 04:59.

  3. jashmoe32's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th December 2012
   Posts : 779
   Rep Power : 611
   Likes Received
   159
   Likes Given
   313

   Default Re: Storeman position in a warehouse

   Kaka hata mimi nipo camp
   Last edited by jashmoe32; 13th August 2013 at 04:59.

  4. NEW NOEL's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st May 2011
   Posts : 723
   Rep Power : 681
   Likes Received
   237
   Likes Given
   183

   Default Re: Storeman position in a warehouse

   Nashukuru kwa taarifa

  5. Mildred's Avatar
   Member Array
   Join Date : 28th November 2012
   Posts : 92
   Rep Power : 475
   Likes Received
   13
   Likes Given
   0

   Default Re: Storeman position in a warehouse

   Acha walizwe kwanza ndo akili itakaa sawa. hakuna nafasi iliyotangazwa.

  6. mfaume kidagaa's Avatar
   Member Array
   Join Date : 11th August 2013
   Posts : 35
   Rep Power : 428
   Likes Received
   4
   Likes Given
   2

   Default Re: Storeman position in a warehouse

   Ngoja tujaribu kutuma labda mungu atajalia

  7. okwili's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 5th January 2013
   Posts : 150
   Rep Power : 482
   Likes Received
   16
   Likes Given
   22

   Default Re: Storeman position in a warehouse

   Quote By Crucial Man View Post
   Acha uongo wewe tapeli..nipo hapa buly,hakuna kitu kama watu kufukuzwa watu kwa ajili ya wizi...kinacho endelea sasa buly ni retreachment na wameanza na plant na earth work..mimi nipo buly tena admin acha uongo wewe.
   safi sana kwa kumchana live me mwenyewe nilitaka niwapigie simu watu hapo dar office niwaulize kama kuna kitu mama hiko.

  8. Imany John's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th July 2011
   Posts : 2,489
   Rep Power : 3212
   Likes Received
   654
   Likes Given
   8

   Default

   Quote By jashmoe32 View Post
   Kaka hata mimi nipo camp ya bulyanhulu na sifany kama administrator coz nna elimu na Buly nimeajiriwa na sio kuletwa na waulize ma HR abt dat posn na muulize Mary Lupamba alielitoa hilo tangazo
   Niwejaribu kufwatilia na nimegundua kuwa,ndugu mtoa mada hajalidanganya jukwaa,na hata watu anaowataja nikweli wanahusika na mambo haya ya mawasiliano pale buly.

   Wanaoleta chuki wanamatatizo,pia ni kuvunjiana heshima.

  9. jashmoe32's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th December 2012
   Posts : 779
   Rep Power : 611
   Likes Received
   159
   Likes Given
   313

   Default Re: Storeman position in a warehouse

   Ahsante
   Last edited by jashmoe32; 13th August 2013 at 04:59.

  10. Crucial Man's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th January 2011
   Posts : 2,712
   Rep Power : 1097
   Likes Received
   698
   Likes Given
   232

   Default

   Quote By jashmoe32 View Post
   nashukuru kwa kauli yako ila najua wewe hukuajiriwa coz of profession zaid ya wale wa kuletwa na kama unabisha naomba mimi na wewe tuweke CV zetu na ID zetu tunazozitumia Buly.Mimi ni direct toka COET - UDSM
   stop braging young man...wewe umeweka tangazo..mimi nimesema ni fake..sasa basi tuwaachie wadau waombe kazi then atakaye fanikiwa atarudi hapa kutuamua...why yapping na hako ka elimu kako nyanya dogo.in mining sector we dont consider the nomber of certificates you posses,what matters ni production kwenda mpele..wanachojali ni mainjinia wachache na cheap laborers wengi.thats why unakuta mining captain darasa la saba anavuta mkwanja zaidi ya mtu wa Hr au geo..sasa wewe kalia nimeletwa mara udsm mara abcd wakati wenzako wanapeta na darasa lao la saba...alafu ndugu nani kakudanganya access ya mtandao wa barrick ni strict.eboo admit kwamba tangazo lako la kazi lina kasoro,by the way nakushauri uache kutaja taja majina ya watu humu ndani.its an offence to to intrude to someones privacy eti alimwaga wino kwa kosa la wizi..grow up dogo.

  11. Blac kid's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st April 2012
   Posts : 3,267
   Rep Power : 1145
   Likes Received
   774
   Likes Given
   339

   Default

   Quote By Crucial Man View Post
   Jamani ee nipo bulyanhulu tena nipo camp,huyo ni muongo tena muongo mkubwa.
   Jamaa yupo sawa mie nipo capital project upande wa underground niliiona na nime2ma maombi, sijui ni kwanini zilibanduliwa fasta pale notice body/mine dry but zilikuwepo kweli!!

  12. jashmoe32's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th December 2012
   Posts : 779
   Rep Power : 611
   Likes Received
   159
   Likes Given
   313

   Default Re: Storeman position in a warehouse

   I lyk ur words bro but some r kinda stupid n if u dont trust me then ask Blac Kid coz nae aliona tangazo,smtymz ukiwa mkimya inasaidia watu wajue hw gd u r ila ukitaka kuongea sana na watu wakakuona ndo itafanya watu wajue how stupid or fool u r na nimetoa zile post kwa kusikiliza na kuheshimu ushaur wako about majina ya watu ila dont say nytn bila kua na proof kaka mana ni kama unaleta upumbav katika kitu ambacho hauna uhakika nacho mana mimi nimeona tangazo na thnk God nae Blac Kid ameona tangazo af unaanza kuniita tapel na sijui nataka kudhulumu watu.Kaka criasly i hate dat statement kua mimi ni tapel yl nliona watu weng in jamii forum can fit in that position, ila thanx n da last post nloweka ni ya Quantity surveyor na ctoweka tena mana ushasema nataka kula hela ya watu ila kamwe cwez kula hela ya mtu mana da one nnachokipata kinantosha alot kaka,trust me kwa hilo.

   Stop t kaka n next tym usiongee kitu kama una uhakika mana ztatokea posn nyngne na mtu ataona bora akae kimya,plz

  13. jashmoe32's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th December 2012
   Posts : 779
   Rep Power : 611
   Likes Received
   159
   Likes Given
   313

   Default Re: Storeman position in a warehouse

   Quote By Blac kid View Post
   Jamaa yupo sawa mie nipo capital project upande wa underground niliiona na nime2ma maombi, sijui ni kwanini zilibanduliwa fasta pale notice body/mine dry but zilikuwepo kweli!!
   Thanx kwa kumuonysha jamaa asiwe anakurupuka katika post bila kua na uhakika,

   Think b4 u act kaka

  14. Crucial Man's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th January 2011
   Posts : 2,712
   Rep Power : 1097
   Likes Received
   698
   Likes Given
   232

   Default

   Quote By jashmoe32 View Post
   I lyk ur words bro but some r kinda stupid n if u dont trust me then ask Blac Kid coz nae aliona tangazo,smtymz ukiwa mkimya inasaidia watu wajue hw gd u r ila ukitaka kuongea sana na watu wakakuona ndo itafanya watu wajue how stupid or fool u r na nimetoa zile post kwa kusikiliza na kuheshimu ushaur wako about majina ya watu ila dont say nytn bila kua na proof kaka mana ni kama unaleta upumbav katika kitu ambacho hauna uhakika nacho mana mimi nimeona tangazo na thnk God nae Blac Kid ameona tangazo af unaanza kuniita tapel na sijui nataka kudhulumu watu.Kaka criasly i hate dat statement kua mimi ni tapel yl nliona watu weng in jamii forum can fit in that position, ila thanx n da last post nloweka ni ya Quantity surveyor na ctoweka tena mana ushasema nataka kula hela ya watu ila kamwe cwez kula hela ya mtu mana da one nnachokipata kinantosha alot kaka,trust me kwa hilo.

   Stop t kaka n next tym usiongee kitu kama una uhakika mana ztatokea posn nyngne na mtu ataona bora akae kimya,plz
   kama kuna nafasi weka,usitake kutoa lame excuse za ajabu,another think name calling is not a abig deal,you claim to be smart,while you behave foolishly...ukiona tangazo la kazi,au ukiforwadiwa kwenye e mail yako weka hapa jamvini watu wajaribishe bahati zao..,lastly calling me nasty names to show me how you are disappointed with me sio poa kabisa..huwa napenda sana kuomba msamaa kama nimemkwaza mtu..lakin kwa hili tangazo lako naomba nisiombe msamaa coz linakasoro kibao,alafu halipo tu...cha msingi nawashauri wanabodi waombe atakaefanikiwa au kutapeliwa atarudi humu kuelezea...wajanja ni wengi na wako smart vibaya sana,be carefull guys.

  15. Mildred's Avatar
   Member Array
   Join Date : 28th November 2012
   Posts : 92
   Rep Power : 475
   Likes Received
   13
   Likes Given
   0

   Default Re: Storeman position in a warehouse

   Crucial man, dont bother your self kubishana na hawa watu, hawa ni matapeli wanadanganya watu halafu wanaomba hela kupitia M-pesa. nacho omba tu ni kwamba make sure unakuwa mbali na issue za Barrick halafu tena usije uka post kitu chochote inayohusu barrick humu ndani. hao wote unaobishana nao nimatepeli sio wafanya kazi you will end up in trouble my brother. i have a reason why ninakwambia hivyo please do'nt post anything regarding Barrick and make sure you don't reply this thread again funga mdomo.

  16. jashmoe32's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th December 2012
   Posts : 779
   Rep Power : 611
   Likes Received
   159
   Likes Given
   313

   Default Re: Storeman position in a warehouse

   Kaka kwa hili tangazo kuna mtu alini pm kua nimsaidie na nkamtel mm sina power yoyote,samahan kwa maneno nlosema ila ask huyo Balc Kid anaesema yupo capital project,au utasema nimekula nae dili?kaka kama kuna mtu yoyote amnae nimemuomba hela thn ajitokeze na kukiri

  17. jashmoe32's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th December 2012
   Posts : 779
   Rep Power : 611
   Likes Received
   159
   Likes Given
   313

   Default Re: Storeman position in a warehouse

   Ha ha ha u have a reason bt sio kila sabab ni ya ukwel au ya kipuuzi,siwez kumuomba mtu hela dada mana mshahara wangu unatosha labda wewe ndio uombe hela mana baada ya kuondoka Dennis Hoof madada weng mnaonekana mmechoka

  18. Crucial Man's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th January 2011
   Posts : 2,712
   Rep Power : 1097
   Likes Received
   698
   Likes Given
   232

   Default

   Quote By sugar mummy View Post
   Crucial man, dont bother your self kubishana na hawa watu, hawa ni matapeli wanadanganya watu halafu wanaomba hela kupitia M-pesa. nacho omba tu ni kwamba make sure unakuwa mbali na issue za Barrick halafu tena usije uka post kitu chochote inayohusu barrick humu ndani. hao wote unaobishana nao nimatepeli sio wafanya kazi you will end up in trouble my brother. i have a reason why ninakwambia hivyo please do'nt post anything regarding Barrick and make sure you don't reply this thread again funga mdomo.
   thanks mumy,coppied.

  Page 2 of 2 FirstFirst 12

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...