JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Kujiunga na JWTZ kwa proffessionals

  Report Post
  Page 1 of 3 123 LastLast
  Results 1 to 20 of 48
  1. DAMAS AMEDEUS's Avatar
   Member Array
   Join Date : 27th May 2013
   Posts : 17
   Rep Power : 434
   Likes Received
   1
   Likes Given
   8

   Default Kujiunga na JWTZ kwa proffessionals

   jaman lini nafasi zinatoka? au yeyote mwenye mawazo yeyote atuhabirishe please!....

  2. msweken's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 8th November 2011
   Location : Swekeni
   Posts : 153
   Rep Power : 542
   Likes Received
   90
   Likes Given
   5

   Default Re: kujiunga na Jwtz,proffessionals

   Nafasi hizo siku hizi hazipo...subiria mwezi wa 9 kuna nafasi za jkt wa kujitolea zitatoka, ingilia huko!! tofauti na hapo utasubiria saaaanaaaa!!!!!

  3. Sonso21's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 22nd December 2010
   Posts : 1
   Rep Power : 0
   Likes Received
   2
   Likes Given
   0

   Default Re: kujiunga na Jwtz,proffessionals

   Nafasi za professionals zipo but mtatangaziwa too late coz wakubwa wana watu wao wengi mno, so utaweza ukaisikia leo then baada ya siku 2 au moja ndo mwisho, kwenye pitapita zangu nilisikia mwezi wa 7 wanaweza wakahitaji vijana professionals

  4. Askari wa miguu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th December 2011
   Posts : 334
   Rep Power : 573
   Likes Received
   108
   Likes Given
   19

   Default

   Haipo hiyo usiudanganye Uma, jkt ndio the only way in... Kwa taarifa tu hadi madaktari wapo Jkt sa hv, wapo kama 6 hv wenye M.D pamoja na kozi nyingine kibao za kipaumbele jeshini, na jeshini madokta ndio hot cake lakini still hawaendi moja kwa 1 TMA.
   Lonja zilizopo ni mwezi wa 10 kwa professional waliopo JKT, na kiukweli wapo wengi tu hadi master's zipo, my take...fanya ufanyavyo upate nafasi ya JKT otherwise Yesu atarudi atakukuta bado unasubiri nafac za TMA from uraiani!
   Quote By Sonso21 View Post
   Nafasi za professionals zipo but mtatangaziwa too late coz wakubwa wana watu wao wengi mno, so utaweza ukaisikia leo then baada ya siku 2 au moja ndo mwisho, kwenye pitapita zangu nilisikia mwezi wa 7 wanaweza wakahitaji vijana professionals

  5. lazima ukae's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th May 2013
   Posts : 608
   Rep Power : 554
   Likes Received
   120
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By DAMAS AMEDEUS View Post
   jaman lini nafasi zinatoka? au yeyote mwenye mawazo yeyote atuhabirishe please!....
   Subiri form 6 warudi toka depo....ila nackia chance ni mpaka mwezi disemba

  6. rolla's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th April 2013
   Posts : 1,020
   Rep Power : 640
   Likes Received
   151
   Likes Given
   2

   Default Re: kujiunga na Jwtz,proffessionals

   hadi website ya jeshi imeandika. jkt kwanza. usipende urahisi. kuna watu wana 2 kimbiji jkt wana phd zao.

  7. Sirpartsons's Avatar
   Member Array
   Join Date : 9th July 2013
   Posts : 25
   Rep Power : 430
   Likes Received
   5
   Likes Given
   1

   Default Re: kujiunga na Jwtz,proffessionals

   MIMI NI MWALIMU BED ARTS ENGLISH Natafuta kazi jamani tushituane wakenya wametunyang'anya nchi,0788845822

  8. DAMAS AMEDEUS's Avatar
   Member Array
   Join Date : 27th May 2013
   Posts : 17
   Rep Power : 434
   Likes Received
   1
   Likes Given
   8

   Default Re: kujiunga na Jwtz,proffessionals

   ASANTE SANA NA JE HUKO JKT KUNA TARATIBU ZA KUJIUNGA NA JW??  9. DAMAS AMEDEUS's Avatar
   Member Array
   Join Date : 27th May 2013
   Posts : 17
   Rep Power : 434
   Likes Received
   1
   Likes Given
   8

   Default Re: kujiunga na Jwtz,proffessionals

   OK, naomba tuzidi kupeana taarifa jaman

  10. Mti Mtu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th October 2011
   Location : iringa or mbeya or dar es laam
   Posts : 916
   Rep Power : 697
   Likes Received
   105
   Likes Given
   66

   Default

   nenda kweeeenuuuuuuuuuu

  11. Otorong'ong'o's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th August 2011
   Location : Uvunguni
   Posts : 20,084
   Rep Power : 241984751
   Likes Received
   4856
   Likes Given
   2380

   Default

   Quote By Denis kajo View Post
   nenda kweeeenuuuuuuuuuu
   Nani...?

  12. Askari wa miguu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th December 2011
   Posts : 334
   Rep Power : 573
   Likes Received
   108
   Likes Given
   19

   Default

   Baada ya kozi ya miezi 6 ya JKT kwa kujitolea, TPDF pamoja na taasisi nyingine za ulinzi na usalama hupita vikosini kuwafanyia usaili vijana wahitimu au servicemen, kwahyo ukitaka JW utafanya usaili wa JW, ukitaka polisi, magereza au TANAPA hali kadhalika, na usaili hasahasa unahusisha tu uhakiki wa vyeti vyako tu na hamna complications zozote, kupimwa damu na 'king'amuzi' ni utapimwa ukienda kuanza kozi ya JW kama ukipita kwny usaili, so kama wewe ni good material utachukuliwa tu maana ni ngumu sana kukosa ajira kupitia JKT ingawa mara nyingine huwa inatokea kutokana na kigezo cha umri na elimu
   Quote By DAMAS AMEDEUS View Post
   ASANTE SANA NA JE HUKO JKT KUNA TARATIBU ZA KUJIUNGA NA JW??  13. Remote's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th May 2011
   Posts : 12,559
   Rep Power : 75965470
   Likes Received
   3532
   Likes Given
   1916

   Default

   Quote By Askari wa miguu View Post
   Haipo hiyo usiudanganye Uma, jkt ndio the only way in... Kwa taarifa tu hadi madaktari wapo Jkt sa hv, wapo kama 6 hv wenye M.D pamoja na kozi nyingine kibao za kipaumbele jeshini, na jeshini madokta ndio hot cake lakini still hawaendi moja kwa 1 TMA.
   Lonja zilizopo ni mwezi wa 10 kwa professional waliopo JKT, na kiukweli wapo wengi tu hadi master's zipo, my take...fanya ufanyavyo upate nafasi ya JKT otherwise Yesu atarudi atakukuta bado unasubiri nafac za TMA from uraiani!
   Sure mkuu hata mimi nimeelezwa hivyo na afisa aliyeko jikoni soo mwezi 9 naingia jkt.

   Tatzo watu wanadanganyana sana na stori za vijiweni

  14. Remote's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th May 2011
   Posts : 12,559
   Rep Power : 75965470
   Likes Received
   3532
   Likes Given
   1916

   Default

   Quote By Sirpartsons View Post
   MIMI NI MWALIMU BED ARTS ENGLISH Natafuta kazi jamani tushituane wakenya wametunyang'anya nchi,0788845822
   Ajira za serikali zilivyotoka haukupangwa

  15. hidekel's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 7th April 2012
   Posts : 140
   Rep Power : 518
   Likes Received
   34
   Likes Given
   12

   Default Re: kujiunga na Jwtz,proffessionals

   hivi mtu ukija na gamba lako la ufundi wa ndege watakuzingua? au engineer wa madaraja? nahisi watakubambeleza, au dactari bingwa wa mifupa.

  16. Askari wa miguu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th December 2011
   Posts : 334
   Rep Power : 573
   Likes Received
   108
   Likes Given
   19

   Default

   Nimeshaeleza kila kitu hapo juu! JKT ni lazima hata uwe na degree gani!!!
   Ifike mahala uwe unaelewa kiswahili!
   Quote By hidekel View Post
   hivi mtu ukija na gamba lako la ufundi wa ndege watakuzingua? au engineer wa madaraja? nahisi watakubambeleza, au dactari bingwa wa mifupa.

  17. Remote's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th May 2011
   Posts : 12,559
   Rep Power : 75965470
   Likes Received
   3532
   Likes Given
   1916

   Default

   Quote By hidekel View Post
   hivi mtu ukija na gamba lako la ufundi wa ndege watakuzingua? au engineer wa madaraja? nahisi watakubambeleza, au dactari bingwa wa mifupa.
   Nn degree ww dogo watu wana masters ya hizo vitu na wapo jkt. Acheni stori za kwenye vijiwe

  18. TRAPATTONI's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 8th July 2013
   Posts : 9
   Rep Power : 426
   Likes Received
   2
   Likes Given
   25

   Default Re: kujiunga na Jwtz,proffessionals

   Nilishafanya jitihada sana za kujiunga na hiko chombo bila mafanikio, tokea 2010 mwezi wa 7 hadi mwanzoni mwa 2012,

   Napenda sana kuwa M'jeshi hasa kuvaa zile gwanda (JWTZ) ila kwa sasa nimeshachelewa.
   bIG UP sana kwa Wanajeshi wote hasa wenye mapenzi mema na nchi yetu.

  19. Fagason's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 14th June 2013
   Posts : 175
   Rep Power : 464
   Likes Received
   18
   Likes Given
   27

   Default Re: kujiunga na Jwtz,proffessionals

   swaini

  20. chief_mtemi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd June 2013
   Posts : 529
   Rep Power : 532
   Likes Received
   113
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Askari wa miguu View Post
   Baada ya kozi ya miezi 6 ya JKT kwa kujitolea, TPDF pamoja na taasisi nyingine za ulinzi na usalama hupita vikosini kuwafanyia usaili vijana wahitimu au servicemen, kwahyo ukitaka JW utafanya usaili wa JW, ukitaka polisi, magereza au TANAPA hali kadhalika, na usaili hasahasa unahusisha tu uhakiki wa vyeti vyako tu na hamna complications zozote, kupimwa damu na 'king'amuzi' ni utapimwa ukienda kuanza kozi ya JW kama ukipita kwny usaili, so kama wewe ni good material utachukuliwa tu maana ni ngumu sana kukosa ajira kupitia JKT ingawa mara nyingine huwa inatokea kutokana na kigezo cha umri na elimu
   kwan mkuu umri ni average ya miaka mingapi isizid

  Page 1 of 3 123 LastLast

  Similar Topics

  1. Wanaopenda kujua kuhusu Kujiunga na JWTZ na Vikosi Vingine vya Usalama
   By C programming in forum Nafasi za Kazi na Tenda
   Replies: 80
   Last Post: 26th August 2015, 10:35
  2. Ni jinsi gani ya kujiunga na JWTZ kwa graduate
   By J O in forum Nafasi za Kazi na Tenda
   Replies: 30
   Last Post: 10th July 2015, 14:29
  3. Kwa wale degree holders mnaotaka kujiunga na JWTZ
   By aka2030 in forum Nafasi za Kazi na Tenda
   Replies: 30
   Last Post: 18th February 2014, 22:58
  4. Kazi ja jwtz lini kwa proffessionals zinatoka lini????
   By georgei in forum Nafasi za Kazi na Tenda
   Replies: 44
   Last Post: 8th September 2012, 13:40

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...