JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: KASHFA WIZARA YA AFYA: Yaajiri zaidi ya 'Madaktari' 80 wasiokuwa na sifa

  Report Post
  Page 2 of 2 FirstFirst 12
  Results 21 to 40 of 40
  1. Concrete's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th March 2011
   Posts : 3,609
   Rep Power : 0
   Likes Received
   492
   Likes Given
   0

   Default KASHFA WIZARA YA AFYA: Yaajiri zaidi ya 'Madaktari' 80 wasiokuwa na sifa

   Wiki moja iliyopita wizara ya Afya na Ustawi wa jamii ilitoa orodha ya majina na vituo vya kazi kwa waajiriwa wapya wa kada ya Afya kwa mwaka 2012/13 wakiwemo madaktari(Medical Doctors) 260. Zaidi ya wadaktari 500 wenye sifa stahiki walioomba ajira hizo wakiachwa kwa kukosa nafasi.

   Lakini cha kuchangaza katika orodha hiyo hiyo kumegundulika zaidi ya majina 80 ya watu waliochaguliwa kwenda kufanya kazi za kidaktari(Medical Doctor) wakiwa hawana sifa kabisa yaani hawakuwahi 'kitaaluma' kufuzu kuwa madaktari wa kuweza kutibu watu hapa Tanzania.

   Sifa kuu zilizokuwa zinahitajika ili kuweza kuajiriwa, mbali na sifa za msingi za kawaida(Uraia wa Tanzania, usiwe umestaafu nk) ni:

   1/Shahada ya kwanza ya Utabibu(1st Degree of Doctor of Medicine)

   2/Cheti cha kumaliza mafunzo kwa vitendo na kufaulu(Internship certificate)

   3/Leseni 'hai' ya kufanyakazi za Kitabibu nchini Tanzania(Medical Practice Lecence(Active) From Medical Council of Tanganyika).

   Hatua hii tayari imezaa kelele na manung'uniko mengi kutoka kwa baadhi ya madaktari waliokosa nafasi hizo za ajira na wakati huo huo imezaa woga kwa wagonjwa kuhusu ni kwa vipi watahudumiwa na madaktari hao 'vihiyo'.

   SOURCE: Ofisi ya Msajiri wa Madaktari(Medical Council of Tanganyika)


  2. tofali's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th March 2013
   Location : DSM
   Posts : 2,489
   Rep Power : 125635
   Likes Received
   1074
   Likes Given
   471

   Default Re: KASHFA WIZARA YA AFYA: Yaajiri zaidi ya 'Madaktari' 80 wasiokuwa na sifa

   Quote By njiwa View Post
   imefika JF aim sure watarekebisha...
   Warudie upya..wana haraka gani

  3. njiwa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th April 2009
   Location : ax^2+bx+c=0
   Posts : 8,339
   Rep Power : 11772146
   Likes Received
   2133
   Likes Given
   249

   Default Re: KASHFA WIZARA YA AFYA: Yaajiri zaidi ya 'Madaktari' 80 wasiokuwa na sifa

   Quote By tofali View Post
   Warudie upya..wana haraka gani
   1st july .. yaani jumatatu mchakato wa kuandikisha interns wapya unaanza .. mambo ni mengi watajirekebisha
   Pure Matrimony >> Purity starts here (Quran 24:26)
   My loyalty is to reason,and as a reasonable person I reserve the right to change my mind when presented with new information that alters my perspective" Njiwa"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯

  4. tofali's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th March 2013
   Location : DSM
   Posts : 2,489
   Rep Power : 125635
   Likes Received
   1074
   Likes Given
   471

   Default Re: KASHFA WIZARA YA AFYA: Yaajiri zaidi ya 'Madaktari' 80 wasiokuwa na sifa

   Quote By njiwa View Post
   1st july .. yaani jumatatu mchakato wa kuandikisha interns wapya unaanza .. mambo ni mengi watajirekebisha
   So unataka niambie sababu ni hiyo ndo maana wameharakisha..mbona siku za nyuma walikua wanatoa ht September or November. ...

  5. Sizinga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th October 2007
   Location : Mars
   Posts : 7,444
   Rep Power : 3673115
   Likes Received
   2957
   Likes Given
   3437

   Default

   Quote By Heaven on earth View Post
   mie mwenyewe kuna mtu namjua yuko pale sehemu eti ni daktari
   wakati alisoma degree ya Sociologia sasa sijui kama siku hizi
   mwana Sociology anaweza kuwa daktari
   Hiyo inaitwa janja janja. Lol

  6. Tetty's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th January 2012
   Location : Dodoma
   Posts : 9,455
   Rep Power : 429498823
   Likes Received
   3610
   Likes Given
   1582

   Default Re: KASHFA WIZARA YA AFYA: Yaajiri zaidi ya 'Madaktari' 80 wasiokuwa na sifa

   Quote By mugayasida View Post
   Hao watakuwa ni Waunguja na Pemba maana huko huitwa waganga wa Miti Shamba na Qur'an tukufu aka kutibu kwa albadili..Hamtaki mnaacha
   Hii ndugu siyo nzuri unahitaji kuwaomba radhi wahusika.


  7. Tetty's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th January 2012
   Location : Dodoma
   Posts : 9,455
   Rep Power : 429498823
   Likes Received
   3610
   Likes Given
   1582

   Default Re: KASHFA WIZARA YA AFYA: Yaajiri zaidi ya 'Madaktari' 80 wasiokuwa na sifa

   Wanashida gani wakati wao (viongozi) ,familia zao na hata marafiki wao wanaenda kutibiwa India/nje?

  8. Heaven on Earth's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st March 2013
   Location : Heaven on earth
   Posts : 34,628
   Rep Power : 429503794
   Likes Received
   20069
   Likes Given
   12687

   Default Re: KASHFA WIZARA YA AFYA: Yaajiri zaidi ya 'Madaktari' 80 wasiokuwa na sifa

   Quote By Sizinga View Post
   Hiyo inaitwa janja janja. Lol
   Sizinga yaani ni zaidi ya janja janja!!!!!

  9. CHITEMBEJA's Avatar
   Member Array
   Join Date : 18th April 2011
   Posts : 46
   Rep Power : 550
   Likes Received
   18
   Likes Given
   3

   Default Re: KASHFA WIZARA YA AFYA: Yaajiri zaidi ya 'Madaktari' 80 wasiokuwa na sifa

   Tatizo hili siyo kwa madaktari tu pamoja na kada zingine kama ya mifupa kati ya wanafunzi 20 tu waliyohitimu mwaka juzi ni wawili tu wamepata ajira katika nafasi nyingi za fani hiyo zilizotolewa, mbaya zaidi wawili hao wamepangwa katika utatibu wa macho.

   Wataalam hawa wanajiuliza hao wengine wapatao karibu 30 wamewapata wapi na wamepataje hizo nafasi, wenyewe wakifuatilia hapo wizara hakuna kauli ya maana wanayoambiwa zaidi ya kuambiwa wasubiri wajadiliane majibu yanayotia hofu kubwa kuwa kuna mchezo umefanywa kuajiri wengi kutoka vyuo vya nje ambao pengine hawafikii sifa hizo.

   Ni vema hili likachunguzwa na chombo kingine badala ya wizara yenyewe.

  10. Mangi merry's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 1st February 2013
   Posts : 222
   Rep Power : 491
   Likes Received
   39
   Likes Given
   3

   Default Re: KASHFA WIZARA YA AFYA: Yaajiri zaidi ya 'Madaktari' 80 wasiokuwa na sifa

   Kuna mtu kaandikwa halmashuuri ya wilaya ya.....wakaishia hapo,mwingine kapangiwa halmashauri tatu...mwingine ni medical doctor kapangiwa tabibu wa meno.....walisema walio inservice wasiapply but kuna watu wameapply na wamepata...mmh kweli majanga.

  11. tofali's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th March 2013
   Location : DSM
   Posts : 2,489
   Rep Power : 125635
   Likes Received
   1074
   Likes Given
   471

   Default Re: KASHFA WIZARA YA AFYA: Yaajiri zaidi ya 'Madaktari' 80 wasiokuwa na sifa

   Yani madudu matupu..jana limetoka tangazo kuwa wanaomba radhi..na wanafanya marekebisho kwa interns.sasa je na wale waliopangiwa halmshauri tatu....wakaripotI kote

  12. Jackbauer's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th October 2010
   Location : EAST LONDON
   Posts : 5,868
   Rep Power : 31966
   Likes Received
   1837
   Likes Given
   350

   Default Re: KASHFA WIZARA YA AFYA: Yaajiri zaidi ya 'Madaktari' 80 wasiokuwa na sifa

   kuna jamaa alishapangiwa kituo mwaka juzi,naona mwaka huu tena ametokea.
   Haya ndio matunda ya perdiems za kukaa morogoro?

  13. ankol's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd August 2012
   Location : Dar es Salaam
   Posts : 914
   Rep Power : 653
   Likes Received
   287
   Likes Given
   186

   Default Re: KASHFA WIZARA YA AFYA: Yaajiri zaidi ya 'Madaktari' 80 wasiokuwa na sifa

   Quote By Heaven on earth View Post
   mie mwenyewe kuna mtu namjua yuko pale sehemu eti ni daktari
   wakati alisoma degree ya Sociologia sasa sijui kama siku hizi
   mwana Sociology anaweza kuwa daktari
   Mhh jamani mi napinga hii. kuna profesheni za ku forge lakini sio udaktari.

  14. kfatherd's Avatar
   Member Array
   Join Date : 11th December 2012
   Posts : 74
   Rep Power : 469
   Likes Received
   19
   Likes Given
   30

   Default Re: KASHFA WIZARA YA AFYA:Yaajiri zaidi ya 'Madaktari' 80 wasiokuwa na sifa.

   Quote By Safari_ni_Safari View Post
   Mmewasiliana na Medical Council of Zanzibar & Pemba?......mjue Waziri nae ni wa hukohuko!
   Je swala la afya ni la muungano? nielimisheni

  15. moes's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th October 2012
   Posts : 833
   Rep Power : 711
   Likes Received
   155
   Likes Given
   284

   Default Re: KASHFA WIZARA YA AFYA: Yaajiri zaidi ya 'Madaktari' 80 wasiokuwa na sifa

   Quote By tofali View Post
   yani madudu matupu..jana limetoka tangazo kuwa wanaomba radhi..na wanafanya marekebisho kwa interns.sasa je na wale waliopangiwa halmshauri tatu....wakaripoti kote
   hii wizara upendeleo na rushwa imekithiri,watoto wa vigogo na watoa rushwa wanapata vyeo na sehemu za kazi wanazotaka, mtoto wa mkulima ata ajira hiyo haipati
   ata nafasi za kwenda kusoma postgraduate zinatoka kwa upendeleo au rushwa,enyi watumishi wizara ya afya badilikeni.

  16. MzalendoHalisi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th June 2007
   Posts : 4,260
   Rep Power : 1592
   Likes Received
   222
   Likes Given
   536

   Default Re: KASHFA WIZARA YA AFYA: Yaajiri zaidi ya 'Madaktari' 80 wasiokuwa na sifa

   Taabu ya kumpa Mbunge Mzanzibari Wizara isyokuwa ya Muungano kwa ajili tu ya iswahiba na upendeleo!

   Ona sasa inamshinda!
   Uadilifu Kiwe Kigezo Muhimu Zaidi Kuwa Kiongozi Tanzania Kwa Sasa!

  17. tofali's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th March 2013
   Location : DSM
   Posts : 2,489
   Rep Power : 125635
   Likes Received
   1074
   Likes Given
   471

   Default Re: KASHFA WIZARA YA AFYA: Yaajiri zaidi ya 'Madaktari' 80 wasiokuwa na sifa

   Quote By Jackbauer View Post
   kuna jamaa alishapangiwa kituo mwaka juzi,naona mwaka huu tena ametokea.
   Haya ndio matunda ya perdiems za kukaa morogoro?
   Haswaaa..eti walienda morogoro kupanga post .huko ni kupoteza tu kodi zetu..kwan kupangia ofisini wangeshindwa nini..ona sasa wamepewa nafasi ya utulivu kufanya kazi huko moro matokeo yake WAMEVURUNDA....aibu kwa wizara..cha ajabu hakuna mtoto wa mkubwa ht mmoja aliyepangwa kijijini..ni wizarani na hospitali za wilaya tena za DAR...ilI siku mbili wakawe waganga wakuu...IPO Siku tu..tena zimebaki chache

  18. moes's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th October 2012
   Posts : 833
   Rep Power : 711
   Likes Received
   155
   Likes Given
   284

   Default Re: KASHFA WIZARA YA AFYA: Yaajiri zaidi ya 'Madaktari' 80 wasiokuwa na sifa

   Quote By tofali View Post
   haswaaa..eti walienda morogoro kupanga post .huko ni kupoteza tu kodi zetu..kwan kupangia ofisini wangeshindwa nini..ona sasa wamepewa nafasi ya utulivu kufanya kazi huko moro matokeo yake wamevurunda....aibu kwa wizara..cha ajabu hakuna mtoto wa mkubwa ht mmoja aliyepangwa kijijini..ni wizarani na hospitali za wilaya tena za dar...ili siku mbili wakawe waganga wakuu...ipo siku tu..tena zimebaki chache

   yaani hii wizara ni uozo mtupu,ukipitia iyo orodha yao watoto wavigogo wote wamepangiwa wilaya za mjini wengi wao dar,yaani tena wengine wanatuambia kabisa na vitengo wamechaandaliwa.
   Kuna aja ya kuitisha maandamo ya amani kulaani uchafu unaondelea w/afya( hasa rushwa na kupeana vyeo vikubwa).

  19. Rehema Athmani's Avatar
   Member Array
   Join Date : 29th August 2012
   Posts : 14
   Rep Power : 472
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: KASHFA WIZARA YA AFYA: Yaajiri zaidi ya 'Madaktari' 80 wasiokuwa na sifa

   umeona eeeeee................ kama hujui kaa kimya, sio lazma uchangie mambo ya visiwan yameingiaje hapo?

  20. msafi's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 10th April 2011
   Posts : 191
   Rep Power : 580
   Likes Received
   52
   Likes Given
   17

   Default Re: KASHFA WIZARA YA AFYA: Yaajiri zaidi ya 'Madaktari' 80 wasiokuwa na sifa

   Tatizo hili limetokea kwa kada zote, na watu wa utumishi hawakushirikisha mabaraza yote, hata chief pharmacist, chief medical officer, na chief nursing officer hawakushirikishwa. walichokifanya hawa jamaa ni kuchukua walioomba bila kuzingatia kuwa wengine ni interns na hawakupaswa kupangwa. Baadhi ya mabaraza wameorozesha idadi ya hao interns waliopangwa na kupeleka orodha utumishi. Ila ni ukweli usiopingika kuwa wengine wamepachikwa makusudi kabisa wakati hawana sifa na hao jamaa wa utumishi.

  21. optimist's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 13th September 2009
   Location : Aichi prefecture Nagoya
   Posts : 117
   Rep Power : 647
   Likes Received
   14
   Likes Given
   14

   Default Re: KASHFA WIZARA YA AFYA: Yaajiri zaidi ya 'Madaktari' 80 wasiokuwa na sifa


   jamani haya ni matunda ya kukosa kitu kinachoitwa uzalendo maana kwa sasa mtu akishika post anaitumia kweli maana anjua tu at any time t hakutakuwa na kitu , jamani kwa factor ya uzalendo hata nani akapewa chance si rahisi kutenda haki kama hana uzalendo
   tukijadili xana tunaongeza machungu


  Page 2 of 2 FirstFirst 12

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...