Wadau mimi ni mvulana jamani nimehitimu masomo yangu ya Secretarial and Computer naomba kazi. Nina Level II ya miaka miwili na Pia nina NABE Stage III, ninauwezo na uzoefu mzuri katika kazi ya Secretarial au utunzaji kumbukumbu, nisaidieni kazi hizo.