JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Wizara ya maendeleo ya jamii,na Watoto

  Report Post
  Results 1 to 11 of 11
  1. Shy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd November 2006
   Posts : 4,896
   Rep Power : 0
   Likes Received
   120
   Likes Given
   0

   Default Wizara ya maendeleo ya jamii,na Watoto

   TANGAZO LA NAFASI YA KAZI
   Wizara ya maendeleo ya jamii,na Watoto inakaribisha maombi ya nafasi ya kazi zilizo orodheshwa hapo chini kutoka kwa Watanzania kwa kuzingatia mashartimuhimu yafuatayo:-

   (i). Maombi yaambatanishwe na nakala za Vyeti vya kuhitimu mafunzo na vya kidato cha IV na
   VI, pamoja na nakala mbili za picha za mwombaji kipimo cha “Passport”,
   (ii). Wawe wenye umri wa kuzaliwa usiozidi miaka 45 kwa wasio watumishi wa umma.
   (iii). Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 11 Desemba, 2009.

   1. AFISA UTUMISHI DARAJA II TGS.D (NAFASI 2)
   (a). Sifa: Kuajiriwa wenye shahada ya kwanza ya sayansi ya jamii au sanaa kutoka katika
   Vyuo.
   Vikuu vinavyotambuliwa na serikali ambao wamejiimarisha (major) katika mojawapo ya
   Zifuatazo :
   • Menejmenti ya Rasilimali watu (Human Resources Management)
   • Elimu ya jamii (Sociology)
   • Utawala na uongozi (Public Administration)
   • Mipango ya utumishi(Manpower Planning)
   Wawe na ujuzi wa kompyuta.

   2. MSAIDIZI WA OFISI (TGOS.A)NAFASI 13.
   Sifa:Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne waliofaulu vizuri katika masomo ya kingereza,
   Kiswahili na Hisabati.

   (c) KITUO CHA KAZI – VYUONI NA FDC.
   Mabughai,Malampaka,Mbiga ,Nandembo, Kiwanda, Msaginya , Mwanya, Handeni, Rubondo, Nzega, Mlale, Msingi, Sikonge, Muhukuru, Newala na Masasi.

   3. DEREVA DARAJA LA II (TGOS A) (NAFASI 6)
   Sifa: Kuhajiriwa wenye cheti cha mtihani wa kudato cha IV wenye leseni daraja “C” ya undeshaji pamoja na uzoefu wa kuendesha magari kwa muda usio pungua miaka mitatu bila kusababisha ajali wenye cheti cha majaribio ya ufundi daraja la II

   (c). KITUO CHA KAZI MAKAO MAKUU YA WIZARA NA CHUO CHA MWANHALA

   4. MHUDUMU WA JIKONI / MESS DARAJA II (TGOS. A) NAFASI 50
   Sifa: Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne wenye uzoefu wa kazi muda usio pungua miaka mitatu.

   KITUO CHA KAZI – VYOUNI – CDTI NA FDC
   Sikonge, Chilala, Sofi, Bariadi, Same, Sengerema, Kilwa Masoka, Njombe, Kihinga, Ngara, Nandembo, Chisalu, Nzovwe, Karumo, Newala, Munguri, Katumbi, Mlale, Kasulu, Msinga, Kibondo, Nzega, Rubondo, Mwanva, Msaginya, Kiwanda, Mbinga, Mabughai, Urambo.

   MLINZI DARAJA LA II – TGOS. A- (NAFASI26)
   Sifa: Kuhajiriwa wahitimu wa kidato cha IV waliofuzu masomo ya ulinzi wa Mgambo JKT, Polisi au zima moto inayo tambuliwa na Serikali.

   KITUO CHA KAZI – VYUONI – CDTI NA FDC
   Mwanhala, Nzega, Mabughai, Mbinga,Nandembo, Msaginya, Handeni, Msingi, Kasulu, Katumba, Sikonge, Muhukuru, Karumo, Urambo, Nzovwe, Uyole, Tango, Mtawanya, Ngara, Kisangwa, Munguri, na Bariadi.
   MCHAMBUZI MFUMO WA COMPYUTA II (Computer Systems Analyst II) DARAJA LA II – TGS.D (NAFASI I)
   Sifa: Awe na shahada / Stashahada ya juu katika masomo ya Sayansi ya Computer kutoka kwenye tasisi/ chuo kinacho tambuliwa na Serikali.

   AFISA MAENDELEO YA JAMII DARAJA LA II – TGS. D (NAFASI 30)
   Sifa:Kuajiriwa mwenye Shahada / Stashahada ya juu ya Maendeleo ya jamii kutoka vyou vinavyo tambulika na Serikali kayika fani zifuatazo:-

   KITUO CHA KAZI
   Ngara,Sikonge, Sofi, Muhukuru, Mbinga, Nandembo, Masasi, Chala, Mtawanya, Kilwa Masoka, Ilula, Njombe, Nzovwe, Msaginya, Chala, Urambo, Mwanhala, Nzega, Msingi, Singida, Mwanva, Kiwanda, Bariadi, Mlampaka, Malya, Tarime, Musoma, Kisangwa, Rubonda, Karumo,Kihinga,Kasuli na Kibondo.

   MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU – DARAJA LA II- TGS.B (NAFASI 12)
   Sifa: Walio hitimu kidato cha IV / VI wenye cheti cha utunzaji kumbukumbu katika mojawapo ya fani za Afya, Masjala, Mahakama na Ardhi.

   AFISA UGAVI MSAIDIZI – TGS B- (NAFASI 14)
   Sifa: Wenye cheti cha National Store Keeping Certificate, au Foundation Certificate” kitolewacho na boma ya Taifa ya usimamizi wa vifaa au wenye cheti kinacho tambuliwa na Bodi ya Taifa ya Usimamizi wa vifaa.
   Wenye Diploma la kawaida ‘’Ordinary Diploma in Materials Management” kutoka chuo kinacho tambuliwa na Bodi ya Taifa ya usimamizi wa vifaa.

   MSIMAMIZI WA MAKTABA (TGS. B) – (NAFASI 6)
   Wawe na cheti cha mtihani wa Taifa kidato cha IV na kufaulu mafunzo ya wasaidizi wa Maktaba (National Library Assistants Certificate) yanayotolewa na Bodi ya Huduma ya Maktaba Tanzania au wenye cheti kinacho lingana na hicho.

   MPISHIDARAJA LA II TGS.C (NAFASI 13)
   Sifa: Wenye kuhitimu kidato cha IV walio faulu mafunzo ya cheti yasio pungua mwaka mmoja katika fani ya “Food Production”yatolewayo.

   KATIBU MUHTASI DARAJA LA III (TGS. B) – NAFASI 10
   Sifa: Wawe na Cheti cha kuhitimu mtihani wa Taifa wa kidato cha nne (IV), Kuhudhuria mafunzo ya Uhadhiri na kufaulu mitihani ya hatua ya tatu. Wawe wamefaulu Hatimkato ya Kiswahili Kiingereza maneno 80 kwa dakika moja na wawe wamepata mafunzo Kompyuta kutoka chuo chochote kinacho tambuliwa na Serikali kupata cheti katika program za ‘’Windows, Microsoft Office, Internet, E-Mail” na “Pablissher”

   MCHUMI DARAJA II – TGS. D – (NAFASI YA 3)
   Sifa: Wawe na shahada ya kwanza, ambao wamejiimarisha (Major) katika mojawapo ya fani zifuzo:-
   (i) Uchumi (Economics)
   (ii) Takwimu (Statistics)
   (iii) Sayansi ya Uchumi, Kilimo (BSc. Agriculture Economics & Agribusneness) kutoka Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Chuo kikuu cha Sokoine au Chuo kingine chochote kinacho tambulika na Serikali na wenye ujuzi wa kutumia kompyuta.
   AFISA HABARI DARAJA LA II TGS. D – (NAFASI 2)
   Sifa: Awe na Shahada ya kwanza au Stashahada ya juu ua Uandishi wa Habari au sifa inayolingana nayo kutoka Vyuo Vikuu vinavyotambulika na Serikali.

   Maoni tote yatumwe kwa:
   KATIBU MKUU,
   WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII,
   JINSIA NA WATOTO, S.L.P3448,
   DAR ES SALAAM.


   Tembelea www.naombakazi.com Kwa nafasi zaidi za kazi


  2. petertu's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 27th October 2011
   Posts : 1
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Wizara ya maendeleo ya jamii,na Watoto

   matokeo

  3. Blessingme's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 10th April 2011
   Posts : 237
   Rep Power : 589
   Likes Received
   33
   Likes Given
   2

   Default Re: Wizara ya maendeleo ya jamii,na Watoto

   Da hii ya uchumi mbona ina segregation automatically wanataka watu wa udsm na sua basi

  4. soledad's Avatar
   Member Array
   Join Date : 17th September 2011
   Location : dodoma
   Posts : 73
   Rep Power : 533
   Likes Received
   21
   Likes Given
   1114

   Default Re: Wizara ya maendeleo ya jamii,na Watoto

   mmh! mbona deadline ni desemba 11 2009?

  5. Blessingme's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 10th April 2011
   Posts : 237
   Rep Power : 589
   Likes Received
   33
   Likes Given
   2

   Default Re: Wizara ya maendeleo ya jamii,na Watoto

   Za 2009 bana dah kwel kaz humu


  6. MBUFYA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th August 2011
   Posts : 446
   Rep Power : 613
   Likes Received
   67
   Likes Given
   29

   Default Re: Wizara ya maendeleo ya jamii,na Watoto

   Hebu tuoindolee huu uchafu humu.

  7. #7
   Perry's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th February 2011
   Posts : 9,193
   Rep Power : 2528
   Likes Received
   695
   Likes Given
   26

   Default Re: Wizara ya maendeleo ya jamii,na Watoto

   Duh!mkuu,umechanganya mafaili asee!

  8. linda87st's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 29th October 2011
   Posts : 7
   Rep Power : 514
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Wizara ya maendeleo ya jamii,na Watoto

   Da hii ya uchumi mbona ina segregation automatically wanataka watu wa udsm na sua basi  9. #9
   Perry's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th February 2011
   Posts : 9,193
   Rep Power : 2528
   Likes Received
   695
   Likes Given
   26

   Default Re: Wizara ya maendeleo ya jamii,na Watoto

   Hapo kwenye hyo position ya economist,ina maana udom sio chuo au?

  10. Perry's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th February 2011
   Posts : 9,193
   Rep Power : 2528
   Likes Received
   695
   Likes Given
   26

   Default Re: Wizara ya maendeleo ya jamii,na Watoto

   Jaman kwan hzo kazi zimelenga wanafunz wa chuo flan tu au?

  11. Agrodealer's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 19th March 2011
   Location : MTZ
   Posts : 108
   Rep Power : 566
   Likes Received
   10
   Likes Given
   23

   Post Re: Wizara ya maendeleo ya jamii,na Watoto

   Mweeeeeeeeeeeeee! kwa aliyesikia chochote kuhusu hapa tunaomba afafanue wadau mana nimepigiwa sim sa3 usiku nikaambiwa maendeleo ja jamii wametangaza kaz source jamii, nikaingia net fasta kuzichek 2009 sasaaaaaaaaaaaaaaaaaa! ni madesa au tunarushana Rohooooooooooo?


  Similar Topics

  1. Wizara ya Ustawi wa Jamii Ipo?
   By Dingswayo in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 2
   Last Post: 31st July 2011, 11:18
  2. Replies: 27
   Last Post: 23rd June 2011, 01:39
  3. Replies: 6
   Last Post: 29th May 2011, 20:11
  4. Wizara ya Kazi, Ajira na maendeleo ya vijana- Tovuti yenu inatia aibu
   By Sisimizi in forum Tech, Gadgets & Science Forum
   Replies: 1
   Last Post: 6th July 2010, 00:17
  5. Form VI Leavers na maendeleo ya Jamii
   By Quemu in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 21
   Last Post: 26th June 2008, 18:59

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...