Namaliza mngwe yangu ya kuisaka kwa udi na uvumba diploma ya civil engineering mwezi wa nane
wana jamii ,
nawaomba kama kuna company ina hitaji technician anipe taarifa ili ni aply