JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Msaada wa mawazo pleaseee

  Report Post
  Results 1 to 5 of 5
  1. raysonkalugendo's Avatar
   Member Array
   Join Date : 15th April 2013
   Posts : 12
   Rep Power : 439
   Likes Received
   2
   Likes Given
   1

   Default Msaada wa mawazo pleaseee

   Mimi nimemaliza chuo kikuu cha dodoma(UDOM) degree ya computer science nimetafuta kazi mpaka nimekata tamaa kwani sasa ni mwaka unaisha sijapata ajira, nimesambaza aplication zangu kwenye makampuni bila mafanikio na ninaendelea kufanya applicatiion online kwani sijui siku yangu ya kufanikiwa ni lini.naombeni msaada wenu wana JF.Ninaishi Mwanza kwa yoyote mwenye msaada anijuze kwani niko vizuri kwenye software & hardware Instalatiion,Network configuration,computer maintanance,website designing,logos,banners,flyers ,bronchure.
   Last edited by raysonkalugendo; 29th April 2013 at 15:15. Reason: mispelling


  2. raysonkalugendo's Avatar
   Member Array
   Join Date : 15th April 2013
   Posts : 12
   Rep Power : 439
   Likes Received
   2
   Likes Given
   1

   Default Re: KAZI ZA IT JAMANI

   Mimi nimemaliza chuo kikuu cha dodoma(UDOM) degree ya computer science nimetafuta kazi mpaka nimekata tamaa kwani sasa ni mwaka unaisha sijapata ajira, nimesambaza aplication zangu kwenye makampuni bila mafanikio na ninaendelea kufanya applicatiion online kwani sijui siku yangu ya kufanikiwa ni lini.naombeni msaada wenu wana JF.Ninaishi Mwanza kwa yoyote mwenye msaada anijuze kwani niko vizuri kwenye software & hardware Instalatiion,Network configuration,computer maintanance,website designing,logos,banners,flyers ,bronchure

  3. Wonder's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 20th April 2013
   Posts : 119
   Rep Power : 459
   Likes Received
   11
   Likes Given
   5

   Default

   Quote By raysonkalugendo View Post
   Mimi nimemaliza chuo kikuu cha dodoma(UDOM) degree ya computer science nimetafuta kazi mpaka nimekata tamaa kwani sasa ni mwaka unaisha sijapata ajira, nimesambaza aplication zangu kwenye makampuni bila mafanikio na ninaendelea kufanya applicatiion online kwani sijui siku yangu ya kufanikiwa ni lini.naombeni msaada wenu wana JF.Ninaishi Mwanza kwa yoyote mwenye msaada anijuze kwani niko vizuri kwenye software & hardware Instalatiion,Network configuration,computer maintanance,website designing,logos,banners,flyers ,bronchure
   pole sn kuwa na iman utafanikiwa endelea ku2ma appl na kumwomba Mungu.,ucjione upo peke yako c wengne n miaka ishapita ha2na ht kibarua,hal tyt!.

  4. Wonder's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 20th April 2013
   Posts : 119
   Rep Power : 459
   Likes Received
   11
   Likes Given
   5

   Default Re: Msaada wa mawazo pleaseee

   Kw ushauri mwngne tafuta mtaj then anzisha ofis yako kutoa services hzo kw wa2 huku ukisubiria hiyo ajira inalipa kuliko kukaa bure ama tafuta ht volunteer mahal il kuweza kuboresha taaluma yako,pole sn!.

  5. raysonkalugendo's Avatar
   Member Array
   Join Date : 15th April 2013
   Posts : 12
   Rep Power : 439
   Likes Received
   2
   Likes Given
   1

   Default Re: Msaada wa mawazo pleaseee

   Nashukuru kwa mawazo yako,Ni kweli swala la kujiajili uwa nalifikilia sana na napenda lakini uwa nawaza mtaji huo wa kuanzisha ofisi nautoa wapi akati hali yangu kifedha hairuhusu.  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...