Mimi ni mmoja kati ya walifanya interview ya utumishi mwenz januari lakin mpaka leo hii hawajatoa majina ya kuita watu kazini.Naomba kuuliza kwa yeyote yule mwenye kujua ni muda gani wanachukua mpaka kuita kazini watu.Sababu kwenye website yao wameandika kuanzia siku saba hadi 21 lakin niki hesabu sas zimefika siku zaidi ya 21