JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Tamko toka Tanzania International University kuhusu ajira walizotangaza

  Report Post
  Page 1 of 3 123 LastLast
  Results 1 to 20 of 49
  1. Kamwexh's Avatar
   Member Array
   Join Date : 19th February 2013
   Posts : 29
   Rep Power : 451
   Likes Received
   8
   Likes Given
   2

   Default Tamko toka Tanzania International University kuhusu ajira walizotangaza

   Jamani wadau wa JF nimefuatilia kwa makini mjadala wenu kuhusu hiki chuo chetu kipya cha Tanzania International University(TIU). Nataka kuwahakikishia na kuwaondoa wasiwasi kuwa hiki chuo kipo na Mipango ya kukianzisha ilianza toka 2010 kwa ku-prepare curriculum, kujenga majengo nakufanya vitu vingine ambavyo vitafaa kwa chuo kuweza kukubalika na TCU lakini pia kuwezesha kutoa elimu bora ya chuo kikuu pindi TCU watakopo ruhusu chuo kianze ku-enrol wanachuo. Kwahiyo basi naomba kuwahakikishia wanaJF na watanzania kiujumla kuwa chuo kipo Kimara Mwisho njia ya kwenda Bonyokwa nafasi za kazi zilizotangazwa ni za Kweli hakuna utapeli wowote mtu anayejiona anafit kwenye post yeyote kati ya zile zilizotangazwa atume maombi yake; kwani chuo kinahitaji wahadhiri wa ngazi zote toka ma-professor hadi ma-tutorial ili kiwe na uwezo wa ku-enrol student mwaka huu. Ndugu za wanaJF na watanzania wote tuachane na maneno mbovumbovu yasiyokitakia chuo hiki kimpya TIU maendeleo. Mwisho kabisa nawaweke link ya TCU inayoonyesha chuo hiki kimesajiliwa kwa REG No CR1/028 ila kinasubiri kuanza ku-enrol wanafunzi baada ya kuajili wa2 wenye sifa nzuri kama nyie http://www.tcu.go.tz/images/pdf/Reco...es_Centres.pdf baada yakufunguka angalia no 20. WanaJF jitokezeni ombeni kazi kwani hizi kazi pia zimetangazwa katika mitandao ifuatayo http://www.brightermonday.com/jobs/default.asp?bmed=tz na http://www.zoomtanzania.com/sectionoverview?ParentSectionI D=8&CurrentPage=3&SortBy=MostR ecent waweza zi-copy link hizi na kuzi-paste kwenye browser bar. Kuhusu website yetu ambayo ni main page iko katika kutengenezwa baada ya mwezi mmoja kila kitu kuhusu chuo chetu hiki kipya TIU kitakuwa pia kinapatikana humo. Niwatakieni WanaJF wote kazi njema.

   "We Build the Kingdom"
   Huu ndo msemo wa wana-Tanzania International University (TIU)
   KARIBUNI SANA

  2. prakatatumba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th October 2011
   Posts : 1,328
   Rep Power : 781
   Likes Received
   172
   Likes Given
   9

   Default Re: Tamko toka Tanzania International University kuhusu ajira walizotangaza

   Tatizo siyo uwepo au kusajiliwa kwa chuo, tatizo ni kwanini mtoze watu hela ya kutuma maombi kwa ajili ya interview panel?ina maana hamjajipanga. M naomba mtoe hizo costs ili watu watume kwa moyo mkunjufu maana wengi wamelizwa.

  3. Teresia Mahimbi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd April 2012
   Location : DAR
   Posts : 270
   Rep Power : 546
   Likes Received
   83
   Likes Given
   241

   Default Re: Tamko toka Tanzania International University kuhusu ajira walizotangaza

   Je una majibu gani kuhusiana na zile email za kutaka watu watume elfu ishirin kwa kupitia akaunt ya CRDB kwa ajili ya interview??? Na mbona haya majibu yamechelewa kutolewa?huoni kama "Image" ya chuo imeshaharibika? Nawasilisha..nategemea kupata majibu ya uhakia not jazba

  4. Obama wa Bongo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th May 2012
   Location : mbagala
   Posts : 3,824
   Rep Power : 163307440
   Likes Received
   322
   Likes Given
   303

   Default Re: Tamko toka Tanzania International University kuhusu ajira walizotangaza

   jamani kama kuna mtu aliangalia ISIDINGO jana naomba atusimulie kidogo umeme kwetu ulikatika!

  5. mustafa ommy's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 8th February 2013
   Location : Kilwa
   Posts : 220
   Rep Power : 491
   Likes Received
   124
   Likes Given
   227

   Default Re: Tamko toka Tanzania International University kuhusu ajira walizotangaza

   Kwanini mnacharge watu kufanyiwa interview?,

  6. #6
   KVM's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th February 2011
   Posts : 1,259
   Rep Power : 802
   Likes Received
   511
   Likes Given
   205

   Default Re: Tamko toka Tanzania International University kuhusu ajira walizotangaza

   Quote By Kamwexh View Post
   Jamani wadau wa JF nimefuatilia kwa makini mjadala wenu kuhusu hiki chuo chetu kipya cha Tanzania International University(TIU). Nataka kuwahakikishia na kuwaondoa wasiwasi kuwa hiki chuo kipo na Mipango ya kukianzisha ilianza toka 2010 kwa ku-prepare curriculum, kujenga majengo nakufanya vitu vingine ambavyo vitafaa kwa chuo kuweza kukubalika na TCU lakini pia kuwezesha kutoa elimu bora ya chuo kikuu pindi TCU watakopo ruhusu chuo kianze ku-enrol wanachuo. Kwahiyo basi naomba kuwahakikishia wanaJF na watanzania kiujumla kuwa chuo kipo Kimara Mwisho njia ya kwenda Bonyokwa nafasi za kazi zilizotangazwa ni za Kweli hakuna utapeli wowote mtu anayejiona anafit kwenye post yeyote kati ya zile zilizotangazwa atume maombi yake; kwani chuo kinahitaji wahadhiri wa ngazi zote toka ma-professor hadi ma-tutorial ili kiwe na uwezo wa ku-enrol student mwaka huu. Ndugu za wanaJF na watanzania wote tuachane na maneno mbovumbovu yasiyokitakia chuo hiki kimpya TIU maendeleo. Mwisho kabisa nawaweke link ya TCU inayoonyesha chuo hiki kimesajiliwa kwa REG No CR1/028 ila kinasubiri kuanza ku-enrol wanafunzi baada ya kuajili wa2 wenye sifa nzuri kama nyie http://www.tcu.go.tz/images/pdf/Reco...es_Centres.pdf baada yakufunguka angalia no 20. WanaJF jitokezeni ombeni kazi kwani hizi kazi pia zimetangazwa katika mitandao ifuatayo http://www.brightermonday.com/jobs/default.asp?bmed=tz na http://www.zoomtanzania.com/sectionoverview?ParentSectionI D=8&CurrentPage=3&SortBy=MostR ecent waweza zi-copy link hizi na kuzi-paste kwenye browser bar. Kuhusu website yetu ambayo ni main page iko katika kutengenezwa baada ya mwezi mmoja kila kitu kuhusu chuo chetu hiki kipya TIU kitakuwa pia kinapatikana humo. Niwatakieni WanaJF wote kazi njema.

   "We Build the Kingdom"
   Huu ndo msemo wa wana-Tanzania International University (TIU)
   KARIBUNI SANA

   What you have is anything but a university. This is clear from the way you explain what the university is. Your command of language is next to zero - you are mixing Kiswahili and Kiingereza. Imagine what you have just said was a press release from a reputable University like the University of Dar es Salaam. I picked the problem from your Vacancy announcements as well. You consistently referred to Lecturers as Lectures.

  7. #7
   Polisi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd November 2010
   Posts : 2,069
   Rep Power : 976
   Likes Received
   573
   Likes Given
   285

   Default Re: Tamko toka Tanzania International University kuhusu ajira walizotangaza

   Mimi nadhani ni suala la UTAMADUNI tu ambao tumeuzoea ila nina imani hii ya kutoza coin kwa ajili ya interview ni nzuri whether ilikuwepo au haikuwahi kutokea hapa tanzania. Mimi nawaunga mkono na naomba mashirika mengine yaige na baada ya muda watu watazoea kama walivyozoea kulipia huduma za afya n.k. Mbona tunapoomba nafasi za masomo tunalipa non - refundable application fee? Hii itasaidia sana kupata waombaji wenye sifa na walio serious maana wakati mwwingine mtu anajiandikia tu bila kupima requirements za position zinataka sifa gani. Maombi yanakuwa mengi, badala ya zoezi la kushortlist kutumia sikumoja au mbili watu wamatumia zaidi ya wiki mbili au tatu
   ''Taabu Huisha Bali Ujinga Hudumu''

  8. #8
   Shark's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th January 2010
   Posts : 13,276
   Rep Power : 252220252
   Likes Received
   4241
   Likes Given
   1372

   Default Re: Tamko toka Tanzania International University kuhusu ajira walizotangaza

   Hivi Arsenal kama EPL hatumo, FA hatumo, UEFA tumefungwa nyumbani kwanini tusimfukuze Arsene Wenger??
   Yaani huu sasa mwaka karibia wa nane vikombe tunafanya kuvisikia tu kwa wenzetu, huu ni ujinga huu!!!
   Heri ufe ukiwa umesimama, kuliko kuishi ukiwa umepiga magoti!!

  9. #9
   MBOOYA's Avatar
   Banned Array
   Join Date : 11th July 2012
   Posts : 290
   Rep Power : 0
   Likes Received
   34
   Likes Given
   13

   Default Re: Tamko toka Tanzania International University kuhusu ajira walizotangaza

   Tupige stori za maana zenye mantiki.
   Ivi leo umekunya ?

  10. Izaack's Avatar
   Member Array
   Join Date : 4th January 2013
   Posts : 45
   Rep Power : 461
   Likes Received
   3
   Likes Given
   0

   Default Re: Tamko toka Tanzania International University kuhusu ajira walizotangaza

   Quote By Vampire Vegetarian View Post
   jamani kama kuna mtu aliangalia ISIDINGO jana naomba atusimulie kidogo umeme kwetu ulikatika!
   we akili yako sio nzuri/sio mzima. hivi umeona thread hapo juuu inazungumzia nini.... yaani wewe unachowaza ndio hichi ulicho kisema hapo juu bila kujali ni sehem yake au laaaa.....

  11. Radash's Avatar
   Member Array
   Join Date : 12th December 2012
   Posts : 35
   Rep Power : 462
   Likes Received
   7
   Likes Given
   42

   Default Re: Tamko toka Tanzania International University kuhusu ajira walizotangaza

   Quote By Shark View Post
   Hivi Arsenal kama EPL hatumo, FA hatumo, UEFA tumefungwa nyumbani kwanini tusimfukuze Arsene Wenger??
   Yaani huu sasa mwaka karibia wa nane vikombe tunafanya kuvisikia tu kwa wenzetu, huu ni ujinga huu!!!
   Mkuu acha woga wale mbona tutawapiga kwao pia kama walivofanya wao..Afu unaonaje game ya leo vp Barca atachomoka san siro.??

  12. ladybutterfly's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 18th February 2013
   Posts : 186
   Rep Power : 483
   Likes Received
   39
   Likes Given
   581

   Default

   Quote By KVM View Post
   What you have is anything but a university. This is clear from the way you explain what the university is. Your command of language is next to zero - you are mixing Kiswahili and Kiingereza. Imagine what you have just said was a press release from a reputable University like the University of Dar es Salaam. I picked the problem from your Vacancy announcements as well. You consistently referred to Lecturers as Lectures.
   U r very ryt

  13. #13
   Shark's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th January 2010
   Posts : 13,276
   Rep Power : 252220252
   Likes Received
   4241
   Likes Given
   1372

   Default Re: Tamko toka Tanzania International University kuhusu ajira walizotangaza

   Quote By Radash View Post
   Mkuu acha woga wale mbona tutawapiga kwao pia kama walivofanya wao..Afu unaonaje game ya leo vp Barca atachomoka san siro.??
   Mi nakuambia kwao pale Munich hatutoki. We sema nani hakuwepo jana ambae labda atakuja kutuokoa kule??
   Barca hua anachomoka popote hapa duniani mkuu. Hata AC wangekua na Baloteli bado barca wngetamba tu!!
   Heri ufe ukiwa umesimama, kuliko kuishi ukiwa umepiga magoti!!

  14. KANCHI's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd September 2011
   Posts : 1,425
   Rep Power : 807
   Likes Received
   161
   Likes Given
   29

   Default

   Quote By Kamwexh View Post
   Jamani wadau wa JF nimefuatilia kwa makini mjadala wenu kuhusu hiki chuo chetu kipya cha Tanzania International University(TIU). Nataka kuwahakikishia na kuwaondoa wasiwasi kuwa hiki chuo kipo na Mipango ya kukianzisha ilianza toka 2010 kwa ku-prepare curriculum, kujenga majengo nakufanya vitu vingine ambavyo vitafaa kwa chuo kuweza kukubalika na TCU lakini pia kuwezesha kutoa elimu bora ya chuo kikuu pindi TCU watakopo ruhusu chuo kianze ku-enrol wanachuo. Kwahiyo basi naomba kuwahakikishia wanaJF na watanzania kiujumla kuwa chuo kipo Kimara Mwisho njia ya kwenda Bonyokwa nafasi za kazi zilizotangazwa ni za Kweli hakuna utapeli wowote mtu anayejiona anafit kwenye post yeyote kati ya zile zilizotangazwa atume maombi yake; kwani chuo kinahitaji wahadhiri wa ngazi zote toka ma-professor hadi ma-tutorial ili kiwe na uwezo wa ku-enrol student mwaka huu. Ndugu za wanaJF na watanzania wote tuachane na maneno mbovumbovu yasiyokitakia chuo hiki kimpya TIU maendeleo. Mwisho kabisa nawaweke link ya TCU inayoonyesha chuo hiki kimesajiliwa kwa REG No CR1/028 ila kinasubiri kuanza ku-enrol wanafunzi baada ya kuajili wa2 wenye sifa nzuri kama nyie http://www.tcu.go.tz/images/pdf/Reco...es_Centres.pdf baada yakufunguka angalia no 20. WanaJF jitokezeni ombeni kazi kwani hizi kazi pia zimetangazwa katika mitandao ifuatayo http://www.brightermonday.com/jobs/default.asp?bmed=tz na http://www.zoomtanzania.com/sectionoverview?ParentSectionI D=8&CurrentPage=3&SortBy=MostR ecent waweza zi-copy link hizi na kuzi-paste kwenye browser bar. Kuhusu website yetu ambayo ni main page iko katika kutengenezwa baada ya mwezi mmoja kila kitu kuhusu chuo chetu hiki kipya TIU kitakuwa pia kinapatikana humo. Niwatakieni WanaJF wote kazi njema.

   "We Build the Kingdom"
   Huu ndo msemo wa wana-Tanzania International University (TIU)
   KARIBUNI SANA
   M2 wang me nime2ma aisee nasubiria 2.

  15. Kamwexh's Avatar
   Member Array
   Join Date : 19th February 2013
   Posts : 29
   Rep Power : 451
   Likes Received
   8
   Likes Given
   2

   Default Re: Tamko toka Tanzania International University kuhusu ajira walizotangaza

   Nikweli hiyo 20,000 ipo atatakiwa kutoa mtu yule tu atakayeitwa kwenye interview na huo ni msimo wa chuo na hautabadilika. Labda niwape mfano mmoja mtu analipia form fulani kwaajili ya kujiunga na chuo au shule anafanya mtihani akifeli hela huwa anarudishiwa? kiukweli huwa harudishiwi na hivyohivyo pia kwenye vyeo vya kisiasa kama uraisi,ubunge n.k utaratibu huu upo.

  16. Teresia Mahimbi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd April 2012
   Location : DAR
   Posts : 270
   Rep Power : 546
   Likes Received
   83
   Likes Given
   241

   Default Re: Tamko toka Tanzania International University kuhusu ajira walizotangaza

   Quote By Kamwexh View Post
   Nikweli hiyo 20,000 ipo atatakiwa kutoa mtu yule tu atakayeitwa kwenye interview na huo ni msimo wa chuo na hautabadilika. Labda niwape mfano mmoja mtu analipia form fulani kwaajili ya kujiunga na chuo au shule anafanya mtihani akifeli hela huwa anarudishiwa? kiukweli huwa harudishiwi na hivyohivyo pia kwenye vyeo vya kisiasa kama uraisi,ubunge n.k utaratibu huu upo.
   OK tapeli la chuo kanjanja TIU..we shall see hao mtakaowaita na kuwa charge...ndo utajua kwamba kila kitu kina utaratibu,ingekuwa nchi inaendeshwa utakavyo cjui kama tungekuwa hapa.na ww JF wakucharge kwa kuleta tangazo lako mbofu mbofu,who are you kutoa tamko lisiolo hata na cheo cha mtoa tamko,msonyooooooooooooo

  17. ndiyomkuusana's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd August 2012
   Posts : 537
   Rep Power : 581
   Likes Received
   224
   Likes Given
   246

   Default Re: Tamko toka Tanzania International University kuhusu ajira walizotangaza

   Quote By Teresia Mahimbi View Post
   OK tapeli la chuo kanjanja TIU..we shall see hao mtakaowaita na kuwa charge...ndo utajua kwamba kila kitu kina utaratibu,ingekuwa nchi inaendeshwa utakavyo cjui kama tungekuwa hapa.na ww JF wakucharge kwa kuleta tangazo lako mbofu mbofu,who are you kutoa tamko lisiolo hata na cheo cha mtoa tamko,msonyooooooooooooo
   chuo hata kama ni kipya huwa zinakuwepom ofisi zao atleast kuratibu shughuli za offisi sasa , wao ofisi zao za muda zipo wapi tukawaone.

  18. Kamwexh's Avatar
   Member Array
   Join Date : 19th February 2013
   Posts : 29
   Rep Power : 451
   Likes Received
   8
   Likes Given
   2

   Default Re: Tamko toka Tanzania International University kuhusu ajira walizotangaza

   haya wewe muingereza hongera lakini kaa ukijua hata vitabu kibao vya waingereza tukiwa tunavisoma tunakuta makosa kibao, michapio kibao kiswahili chenyewe mdau huwa tunakose sana ndiyo ije kingereza na pia jua lugha hii hatujazaliwa nayo kilichofanyika hapo ilikuwa ni kufikisha ujumbe kwa wanaJF na watanzania kiujumla kwamba chuo kipo na kimesajiliwa TCU. Kama kuchanganya kiswahili na kingereza baadhi ya sehemu basi samehe siku nyingine haitatokea.

  19. platozoom's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th January 2012
   Posts : 5,647
   Rep Power : 172710455
   Likes Received
   4063
   Likes Given
   6372

   Default Re: Tamko toka Tanzania International University kuhusu ajira walizotangaza

   Quote By Kamwexh View Post
   Jamani wadau wa JF nimefuatilia kwa makini mjadala wenu kuhusu hiki chuo chetu kipya cha Tanzania International University(TIU). Nataka kuwahakikishia na kuwaondoa wasiwasi kuwa hiki chuo kipo na Mipango ya kukianzisha ilianza toka 2010 kwa ku-prepare curriculum, kujenga majengo nakufanya vitu vingine ambavyo vitafaa kwa chuo kuweza kukubalika na TCU lakini pia kuwezesha kutoa elimu bora ya chuo kikuu pindi TCU watakopo ruhusu chuo kianze ku-enrol wanachuo. Kwahiyo basi naomba kuwahakikishia wanaJF na watanzania kiujumla kuwa chuo kipo Kimara Mwisho njia ya kwenda Bonyokwa nafasi za kazi zilizotangazwa ni za Kweli hakuna utapeli wowote mtu anayejiona anafit kwenye post yeyote kati ya zile zilizotangazwa atume maombi yake; kwani chuo kinahitaji wahadhiri wa ngazi zote toka ma-professor hadi ma-tutorial ili kiwe na uwezo wa ku-enrol student mwaka huu. Ndugu za wanaJF na watanzania wote tuachane na maneno mbovumbovu yasiyokitakia chuo hiki kimpya TIU maendeleo. Mwisho kabisa nawaweke link ya TCU inayoonyesha chuo hiki kimesajiliwa kwa REG No CR1/028 ila kinasubiri kuanza ku-enrol wanafunzi baada ya kuajili wa2 wenye sifa nzuri kama nyie http://www.tcu.go.tz/images/pdf/Reco...es_Centres.pdf baada yakufunguka angalia no 20. WanaJF jitokezeni ombeni kazi kwani hizi kazi pia zimetangazwa katika mitandao ifuatayo http://www.brightermonday.com/jobs/default.asp?bmed=tz na http://www.zoomtanzania.com/sectionoverview?ParentSectionI D=8&CurrentPage=3&SortBy=MostR ecent waweza zi-copy link hizi na kuzi-paste kwenye browser bar. Kuhusu website yetu ambayo ni main page iko katika kutengenezwa baada ya mwezi mmoja kila kitu kuhusu chuo chetu hiki kipya TIU kitakuwa pia kinapatikana humo. Niwatakieni WanaJF wote kazi njema.

   "We Build the Kingdom"
   Huu ndo msemo wa wana-Tanzania International University (TIU)
   KARIBUNI SANA
   1. Kwanza hujaweka Paragraph kwenye maandishi yako (Kosa la kwanza)
   2. Kuchanganya lugha pasipo sababu
   3. Ubovu kwenye sarufi na matumizi yake
   4. Mpangilio mbovu wa sentensi

   Mwisho umethibitisha kuwa ninyi ni wababaishaji na wauaji wa elimu.
   "Education is something that remain in your head after forgeting what you learn't at school"

  20. #20
   kholo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st July 2011
   Posts : 381
   Rep Power : 607
   Likes Received
   50
   Likes Given
   49

   Default Re: Tamko toka Tanzania International University kuhusu ajira walizotangaza

   Quote By KVM View Post
   What you have is anything but a university. This is clear from the way you explain what the university is. Your command of language is next to zero - you are mixing Kiswahili and Kiingereza. Imagine what you have just said was a press release from a reputable University like the University of Dar es Salaam. I picked the problem from your Vacancy announcements as well. You consistently referred to Lecturers as Lectures.
   Jaman, tufike mahali tuelewe kuwa wakati mwingine huwa kuna typing err
   Whatever you are, be a good one.

  Page 1 of 3 123 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...