JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Nafasi mpya za kazi tanzania international universty

  Report Post
  Page 4 of 4 FirstFirst ... 234
  Results 61 to 62 of 62
  1. Obama wa Bongo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th May 2012
   Location : mbagala
   Posts : 3,821
   Rep Power : 163307440
   Likes Received
   321
   Likes Given
   303

   Default Nafasi mpya za kazi tanzania international universty

   TANGAZO LA KAZI CHUO KIKUU KIPYA CHA KIMATAIFA CHA TANZANIA (TANZANIA INTERNATIONAL UNIVERSITY) VACANCIES 1. SENIOR LECTURES (16) – Professor, Associate Professor or PhD holders. 2. LECTURES ( 30 ) – PhD or experienced Masters Degree holders (GPA 4.0 and Above) 3. ASSISTANT LECTURERS ( 36 ) – Masters Degree or Experienced bachelor with GPA 3.7 and above 4. TUTORIAL ASSISTANT (20 ) – Bachelor Degree Holder with GPA 3.5 and Above DEPARTMENTS 1. SOCIAL SCIENCES DEPARTMENT 2. BUSSNESS ADMINISTRATION 3. EDUCATION 4. DEPARTMENT OF LAW 5. COMPUTER STUDIES HUMAN RESOURCE DEPARTMENT -ADMINISTRATION SUPPORTING STAFFS 1. ADMISSION OFFICERS ( 2 ) 2. HUMAN RESOURCE MANAGER ( 2 ) 3. ACCOUNTANTS ( 2 ) 4. PROCUREMENT OFFICERS ( 2 ) 5. LIBRARIAN ( 2 ) 6. ASSISTANT LIBRARIAN ( 2 ) 7. REGISTRY ( 1 ) 8. DEAN OF STUDENTS ( 1 ) 9. ASSISTANT DEAN ( 1 ) 10 DRIVERS ( 2 ) 11 OFFICE ATTENDANT ( 2 ) If you’re interested and meet the mentioned qualification for the mentioned post, forward your CV, Cover letter and academic certificates at [email protected] also you must send the same copy to Vice Chancellor at [email protected] not later than 02nd March 2013 OR Post directly to the address below but also your allowed bring your application physically, Women are encouraged to apply. TANZANIA INTERNATIONAL UNIVERSITY KIMARA MWISHO – ALONG BONYOKWA ROAD P.O.BO.X 9858 DAR ES SALAAM – TANZANIA

  2. Kamwexh's Avatar
   Member Array
   Join Date : 19th February 2013
   Posts : 29
   Rep Power : 450
   Likes Received
   8
   Likes Given
   2

   Default Re: Nafasi mpya za kazi tanzania international universty

   Jamani wadau wa JF nimefuatilia kwa makini mjadala wenu kuhusu hiki chuo chetu kipya cha Tanzania International University(TIU). Nataka kuwahakikishia na kuwaondoa wasiwasi kuwa hiki chuo kipo na Mipango ya kukianzisha ilianza toka 2010 kwa ku-prepare curriculum, kujenga majengo nakufanya vitu vingine ambavyo vitafaa kwa chuo kuweza kukubalika na TCU lakini pia kuwezesha kutoa elimu bora ya chuo kikuu pindi TCU watakopo ruhusu chuo kianze ku-enrol wanachuo. Kwahiyo basi naomba kuwahakikishia wanaJF na watanzania kiujumla kuwa chuo kipo Kimara Mwisho njia ya kwenda Bonyokwa nafasi za kazi zilizotangazwa ni za Kweli hakuna utapeli wowote mtu anayejiona anafit kwenye post yeyote kati ya zile zilizotangazwa atume maombi yake; kwani chuo kinahitaji wahadhiri wa ngazi zote toka ma-professor hadi ma-tutorial ili kiwe na uwezo wa ku-enrol student mwaka huu. Ndugu za wanaJF na watanzania wote tuachane na maneno mbovumbovu yasiyokitakia chuo hiki kimpya TIU maendeleo. Mwisho kabisa nawaweke link ya TCU inayoonyesha chuo hiki kimesajiliwa kwa REG No CR1/028 ila kinasubiri kuanza ku-enrol wanafunzi baada ya kuajili wa2 wenye sifa nzuri kama nyie http://www.tcu.go.tz/images/pdf/Reco...es_Centres.pdf baada yakufunguka angalia no 20. WanaJF jitokezeni ombeni kazi kwani hizi kazi pia zimetangazwa katika mitandao ifuatayo http://www.brightermonday.com/jobs/default.asp?bmed=tz na http://www.zoomtanzania.com/sectionoverview?ParentSectionI D=8&CurrentPage=3&SortBy=MostR ecent waweza zi-copy link hizi na kuzi-paste kwenye browser bar.

  3. prakatatumba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th October 2011
   Posts : 1,328
   Rep Power : 780
   Likes Received
   172
   Likes Given
   9

   Default

   Tatizo siyo uwepo wa chuo bali ni kwanini hamna hela za kulipa interview panel hadi muwatoze applicant wawasaidie kulipa?toeni hizo tozo zenu ili watu watume maombi
   Quote By Kamwexh View Post
   Jamani wadau wa JF nimefuatilia kwa makini mjadala wenu kuhusu hiki chuo chetu kipya cha Tanzania International University(TIU). Nataka kuwahakikishia na kuwaondoa wasiwasi kuwa hiki chuo kipo na Mipango ya kukianzisha ilianza toka 2010 kwa ku-prepare curriculum, kujenga majengo nakufanya vitu vingine ambavyo vitafaa kwa chuo kuweza kukubalika na TCU lakini pia kuwezesha kutoa elimu bora ya chuo kikuu pindi TCU watakopo ruhusu chuo kianze ku-enrol wanachuo. Kwahiyo basi naomba kuwahakikishia wanaJF na watanzania kiujumla kuwa chuo kipo Kimara Mwisho njia ya kwenda Bonyokwa nafasi za kazi zilizotangazwa ni za Kweli hakuna utapeli wowote mtu anayejiona anafit kwenye post yeyote kati ya zile zilizotangazwa atume maombi yake; kwani chuo kinahitaji wahadhiri wa ngazi zote toka ma-professor hadi ma-tutorial ili kiwe na uwezo wa ku-enrol student mwaka huu. Ndugu za wanaJF na watanzania wote tuachane na maneno mbovumbovu yasiyokitakia chuo hiki kimpya TIU maendeleo. Mwisho kabisa nawaweke link ya TCU inayoonyesha chuo hiki kimesajiliwa kwa REG No CR1/028 ila kinasubiri kuanza ku-enrol wanafunzi baada ya kuajili wa2 wenye sifa nzuri kama nyie http://www.tcu.go.tz/images/pdf/Reco...es_Centres.pdf baada yakufunguka angalia no 20. WanaJF jitokezeni ombeni kazi kwani hizi kazi pia zimetangazwa katika mitandao ifuatayo http://www.brightermonday.com/jobs/default.asp?bmed=tz na http://www.zoomtanzania.com/sectionoverview?ParentSectionI D=8&CurrentPage=3&SortBy=MostR ecent waweza zi-copy link hizi na kuzi-paste kwenye browser bar.

  Page 4 of 4 FirstFirst ... 234

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...