Naombeni msaada wenu wana jf, post za ualimu sekondari ni lini maana nimesikia tu jama naibu waziri kazungumza ila sijajua ni lini amesema atatoa post hizo.
Naombeni msaada wenu wana jf, post za ualimu sekondari ni lini maana nimesikia tu jama naibu waziri kazungumza ila sijajua ni lini amesema atatoa post hizo.
Hadi sasa hicho ni kitendawili kigumu kuteguliwa, naona wamezidi kusema mambo kwenye mchakatato hivi karibuni tutatoa, ndo basi tena
mwezi wa pili kaka wait utapangwa
Kitendawili? Tega? Ajira za walimu serikalin lini? Hakuna anayejua, tumpe mji Mulugo, ili atoe jibu.
Huna ujanja msomi, ajira yako ipo mikononi kwa mwanasiasa,tulia hapo hapo!
mwisho wa cku itajulikana tu.![]()
Mi naona kama tuendelee kusubiri inaonekana chungu kipo jikoni muda wote kitaipuliwa maana hata Website yao iko so bussy!
January si ndo imeisha,,,au wanasubiri sasa july
Sasa tusubiri kwanza iundwe tume maalumu ya kufuatilia suala hili kwa umakini zaidi, Du!....
Sina mpango tena ngoja nikomae tu na Private school. ubabaishaji tu serikalini.
Hadi website yao wameamua tusi itembelee kabisa sijui ndo wamefulia "Suspended Domain" kila siku kesho nitawaibukia hukohuko wizarani nitakinukisha mpaka wanipe majibu alafu nitawaletea humu watu washavurugwa still wao wanendekeza politics bhana jinga sana!
Ndiyo Tanzania hiyo.
Taarifa ziczo rasm mpaka bunge liishe ndo watapost af wa2 weng wamepangwa kulingana na anwan zao. Km anwani yako ni loliondo umepangwa loliondo.
mmhhhhhh!!!!
yani hadi nahis kuizalilisha digrii yangu ya elimu mtaani coz miez 8 sasa no tamko loloteee
Follow Us Here