Jamani wana jf majina ya walimu wapya yametoka mtandaoni?
Jamani wana jf majina ya walimu wapya yametoka mtandaoni?
Hata Mimi Sijui!
Heading nazo muwe mnaziweka kwa mtindo wa maswali maana watu wengine wanasoma headings tu na wanaamini kila wanachokiona JF
Aksante isaack na hongera kwa kulijua hilo, issue c kuangalia kwenye mtandao tu kuna watu wa info kuliko unavyodhani! nikupe pole kwa kudhani kila kitu kinapatikana kwenye mtandao, kinapofika kwenye mtandao wenzio tayari wanjua kila kitu.
Majina hayo bado hadi Jan. 19
Nashukuru saana Fay
Bado haijatangazwa
Got it!
leo tar 31!!!!!!!!!!!!!!!!!!
itachukua mda xana,,kumbuka kuna siasa
Follow Us Here