wadau week iliyoisha nhif walimaliza interview kwa wanaotafuta ajira pale kwa nafasi tofauti tofauti, je? walitangaza watatoa majibu lini? mana wengine tumezoea interview za majibu hapo hapo kwa mashirika haya ya umma mfano TRA,TANAPA N.K! sasa kwa nhif inakuwaje? au ndo wanasahihisha kwa umakini wa hali ya juu. kwa anayefahamu anisaidie kujua hili