Kuna million 1 kwa atakae fanikisha nipate post pale udom, kazi ninayo ila nataka sana hizo post ni PM kwa mawasiliano zaidi.
NB:- Naomba usichangie kama huna cha msingi cha kuongea
Kuna million 1 kwa atakae fanikisha nipate post pale udom, kazi ninayo ila nataka sana hizo post ni PM kwa mawasiliano zaidi.
NB:- Naomba usichangie kama huna cha msingi cha kuongea
Ni kama namuelewa Spike, yeye katangaza dau na inawezekana watu wanaendelea kum'pm, lakini mwingine anategemea ndugu yake mwenye 'nafasi' udom ampigie pande wakati kuna mwingine ye anasubiria tarehe ya kuanza kazi tu kaishaambiwa awasubirie kidogo wafate taratibu za serikali kutangaza kazi, usaili n.k....yote kwa yote mzalendo endelea kutuma maombi usikate tamaa wanaopata kazi kwa haki na kwa upendeleo wote wapo.
ndugu yangu we ni wa kike au wa kiume??
kwa hiyo milioni moja kazi udom unapata mimi na ushahidi zaidi ya watu 3 wazazi wao walitoa milioni na kazi wakapata
unaish TZ au dunia gani wewe?
kibongo bongo siku hizi kupata kazi utasanda kama huna reffa, godfather au ndio vile wakati mwingine unaambiwa live "nyoosha mkono" ili upate kazi!
na sio kwamba watu wana vyeti vibovu au vipi system ndio imeshaharibika so inabidi na wewe uendane nayo hivyohivyo ili na wewe ufit nayo!
na bora huyo anayetoa mlungula ili apate kazi kuliko yule anayekwenda kwa sangoma apate ajira!
ndio wabongo tumefikia hapa? Elimu yetu inataka "total overhauled"
Better to have a Good Dictatorship than Bad Democracy !!!!
Nina wasiwasi na weredi wa muanzisha thread hii, yamkini ni walewale digrii za chup...! Anzisha kibanda cha mama Ntilie, au la kama we' Gamba kampigie magoti rais mzembe na dhaifu
in life you can not understand a certain situation until you come across it in a life time,
the same situation ever happened to me, i performed well the interview but was called in a chamber and some one told me if i want a job i must give something!
after struggling hard looking for a job , what would you do if were you?
Follow Us Here