JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Tusaidiane kwenye CV na barua za kuomba kazi

  Report Post
  Page 3 of 4 FirstFirst 1234 LastLast
  Results 41 to 60 of 73
  1. Sipo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th July 2008
   Location : SIPAJUI
   Posts : 2,167
   Rep Power : 1082
   Likes Received
   17
   Likes Given
   0

   Default Tusaidiane kwenye CV na barua za kuomba kazi

   Ni kweli wadau wamekuwa wanaweka kazi mbalimbali hapa lakini mimi naamini kuna tatizo hili hapa
   1. Kutengeneza CV nzuri mbele ya macho ya mwajiri
   2. Kuandika barua nzuri mbele ya macho ya mwajiri

   NB: Tukumbushane mambo ya muhimu kwenye masuala hayo mawili hapo juu ili hizi kazi zipatikane kwa urahisi zaidi
   "Ficha Upumbavu wako, husifiche hekima yako'' Invisible


  2. Zion Daughter's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th July 2009
   Location : Mlimani
   Posts : 8,859
   Rep Power : 28554407
   Likes Received
   4081
   Likes Given
   2135

   Default Re: Tusaidiane kwenye CV na barua za kuomba kazi

   Mkishamaliza yote kuhusu CV na cover latter,msisahau jamani kujielezea wakati wa interview,watanzania wengi ni waoga sana na hatuwezi kuongea mbele za watu.ni bora kufanya mazoezi ili siku ikifika u defend vema cv yako.Na vile kiingreza hatujui ndio balaa kubwa.
   Blessed and highly favored

  3. #42
   Kweli's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th July 2007
   Location : Planet Earth
   Posts : 1,122
   Rep Power : 1337
   Likes Received
   172
   Likes Given
   377

   Default Re: Tusaidiane kwenye CV na barua za kuomba kazi

   Vitu vya msingi kukumbuka:
   • CV ni historia ya maisha yako zaidi ni historia ya mafanikio yako na ufanisi wako.

   • Lengo la Cv yako ni Kujinadi ili uitwe kwenye interview tofauti na wengi wafikiriavyo kwamba lengo lake ni kukupatia kazi. Kwa hio jinadi wewe ni nani na matunda gani utayaleta kwa muajiri,
   Mlazimishe muajiri aone tofauti na faida ya kukuajiri wewe kuliko waombaji wengine wote. Kumbuka muajiri kama mfanyabiashara yoyote anataka kubana matumizi, anataka wewe umuonyeshe kwamba ataondokana na gharama za kumfundisha mtu mpya kazi (training nk)

   • Waajiri wanapokea mamia ya cv na wana sekunde chache ama pengine dakika 1 kuangalia CV yako kabla ya kuitupa kwenye kapu la Yes , No ama Maybe. Kwa kuzingatia muda huu mchache hakikisha CV yako iishie kwenye kapu la Yes, kwa hivyo inakubidi uandike yale yaliyo muhimu kwenye ukurasa wa mbele (1.Heading ambayo ni jina,anuani,simu email. 2. personal profile, mchapakazi, mzoefu nk. 3. Mafanikio yako, nimefanikiwa kuongoza timu ya wafanyakazi, niliongeza ufanisi na kuboresha mapato nk. Weka kwenye bullet point ili isomeke kirahisi. 4. Historia yako kikazi na majukumu uliyokuwa nayo ukianzia na kazi ya karibuni na usiende mbali zaidi ya miaka 5 labda kama kazi uliyofanya huko kitambo ni relevant kwa muajiri mtarajiwa. 6. Historia ya Elimu na Shahada ukianza na ya karibuni kwenda chini. 7. Hobbies 8. References: andika available on request.)

   • CV yako isizidi kurasa mbili za A4 na Format iwe kama niliyoeleza hapo juu Epuka kutumia herufi kubwa ( = shouting) karatasi iwe nyeupe sio sijui kijani,pink manjano nk. maandishi nayo yawe meusi usitumie maandishi ya rangi.

   • Ficha mapungufu yako na weka mbele mafanikio yako.

   • Tumia zaidi Maneno ya mvuto katika kujinadi (action words) mfano achieved, managed,delegated,maintained, solved nk.

   Nikipata muda nitaweka sample CV na kuelezea zaidi kuhusu speculative na cover letters.

  4. LazyDog's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th April 2008
   Posts : 2,481
   Rep Power : 0
   Likes Received
   138
   Likes Given
   3182

   Default Re: Tusaidiane kwenye CV na barua za kuomba kazi

   A person who won't read has no advantage over one who can't read. -Mark Twain

  5. Kahise's Avatar
   Member Array
   Join Date : 25th July 2008
   Location : Kasulu, Kigoma
   Posts : 67
   Rep Power : 662
   Likes Received
   4
   Likes Given
   12

   Default Re: Tusaidiane kwenye CV na barua za kuomba kazi

   Zipo formats mbalimbali za kuandika CV (Curriculhum Vitae). Sasa inategemea, huyu unayemwomba kazi angependa kuona kitu gani cha kwanza cha kumvutia toka kwako; mara nyingi CV inayovutia ni ile inayoanza kukuelezea wewe ni nani na address yako, unaweza kufanya nini (key skills), elimu yako, uzoefu wako kazini na majukumu uliyopata kufanya. unaweza vilevile kuweka mambo unayoyapendelea na uwezo wako katika lugha. Mwisho utaweka marefa wako. Lakini kwenye professional CVs mtu akianza na ile ya kwanza, kinachofuata ni uzoefu wako na majukumu, elimu yako, stadi zingine katika kazi na mengine yanafuata mwisho.

  6. george haule's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 6th January 2010
   Posts : 1
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Tusaidiane kwenye CV na barua za kuomba kazi

   Asante sana kwa kunipa mawazo mazuri hasa ya kupata kazi. nawatakia heri na fanaka katika mwaka huu 2010.


  7. Kamilah's Avatar
   Member Array
   Join Date : 11th February 2009
   Posts : 24
   Rep Power : 624
   Likes Received
   2
   Likes Given
   46

  8. Mayolela's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st September 2009
   Posts : 385
   Rep Power : 666
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Tusaidiane kwenye CV na barua za kuomba kazi

   Nami pia email:[email protected] ,please naomba sana

  9. FirstLady1's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th July 2009
   Location : Mama Mwenye Nyumba
   Posts : 15,982
   Rep Power : 85937860
   Likes Received
   4286
   Likes Given
   7552

   Default Re: Tusaidiane kwenye CV na barua za kuomba kazi

   kweli weka basi hiyo sample CV tuangalizie
   No one is in charge of your happiness except you...
   God time is the best..
   Tupo wangapi?

  10. Teamo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th January 2009
   Location : KIJIWE SAMRI-BOM BOM
   Posts : 12,282
   Rep Power : 12018
   Likes Received
   902
   Likes Given
   678

   Default Re: Tusaidiane kwenye CV na barua za kuomba kazi

   Quote By FirstLady1 View Post
   kweli weka basi hiyo sample CV tuangalizie
   kwani na wewe unatafuta kazi....?
   '!....Ahadi za Kiongozi wako Zinatekelezekaa?..SASA NI WAKATI WA UWAJIBIKAJI....!'

  11. hilbajojo2009's Avatar
   Member Array
   Join Date : 25th May 2009
   Posts : 47
   Rep Power : 615
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

  12. #51
   Obi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th July 2009
   Location : Dar es Salaam
   Posts : 377
   Rep Power : 681
   Likes Received
   73
   Likes Given
   34

   Default Re: Tusaidiane kwenye CV na barua za kuomba kazi

   Quote By Sipo View Post
   Ni kweli wadau wamekuwa wanaweka kazi mbalimbali hapa lakini mimi naamini kuna tatizo hili hapa
   1. Kutengeneza CV nzuri mbele ya macho ya mwajiri
   2. Kuandika barua nzuri mbele ya macho ya mwajiri

   NB: Tukumbushane mambo ya muhimu kwenye masuala hayo mawili hapo juu ili hizi kazi zipatikane kwa urahisi zaidi
   Ndugu nakushauri sana utumie format ya Europas CV. Hawa jamaa wana online form ambazo zinakugaid katika uandaaji wa CV yako. Lik yao hii hapa chini
   http://http://europass.cedefop.europ...uropass+CV.csp
   "In the end, we will remember not the words of our enemies, but the silence of our friends". Martin Luther King Jr.

  13. Idimi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th March 2007
   Location : Ikwiriri
   Posts : 7,215
   Rep Power : 85915043
   Likes Received
   1897
   Likes Given
   960

   Default Re: Tusaidiane kweny CV na barua za kuomba kazi

   Quote By Julius View Post
   Mmmhh...labda wameanza siku hizi ila mimi sikumbuki kufundishwa jinsi ya kuandika resume nilipokuwa sekondari. Kuhusu barua, nakumbuka tulikuwa tunafundishwa jinsi ya kuandika barua mbalimbali lakini sidhani kama walikuwa wanaenda kiundani zaidi. Ilikuwa ni sort of the ABCs of letter writing.

   Pia sijui kama chuo kikuu wanafundisha lakini ingekuwa vizuri kama wangefundisha jinsi ya kuandika hivi vitu kwenye capstone classes...

   Somo hili ni la muda mrefu sana.
   Tulifundishwa hata namna ya kuandika barua za kirafiki, kikazi na kibiashara, pamoja na protocol za barua hizo (u.f.s...fulani) n.k. Ishu hapa ni usahaulifu wa tulio wengi!
   A successful man is one who makes more money than his wife can spend. A successful woman is one who can find such a man!
   [email protected]

  14. #53
   Sipo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th July 2008
   Location : SIPAJUI
   Posts : 2,167
   Rep Power : 1082
   Likes Received
   17
   Likes Given
   0

   Default Re: Tusaidiane kweny CV na barua za kuomba kazi

   Quote By Idimi View Post
   Somo hili ni la muda mrefu sana.
   Tulifundishwa hata namna ya kuandika barua za kirafiki, kikazi na kibiashara, pamoja na protocol za barua hizo (u.f.s...fulani) n.k. Ishu hapa ni usahaulifu wa tulio wengi!
   Mhe hii inategemea sana wewe ulisoma wapi. Binafsi sikatai kuwa hili somo halikufundishwa ila hata wafundishaji wenyewe walikuwa uncapable kufanya hivyo ila baada ya kuibuka shule za binafsi at least some have benefited but not the all
   "Ficha Upumbavu wako, husifiche hekima yako'' Invisible

  15. boma2000's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th October 2009
   Location : nyumbani
   Posts : 2,817
   Rep Power : 1148
   Likes Received
   120
   Likes Given
   66

   Default Re: Tusaidiane kweny CV na barua za kuomba kazi

   Quote By Sinyolita View Post
   Does Your CV Answer These Key Questions??</SPAN>
   Most people, no matter what job they seek or how long they've been part of the working world, make the same mistake when it comes to the résumé-writing process. They forget -- or simply don't know how -- to develop their résumé from the employer's point of view.
   "Employers want to know several things about you within seconds of glancing at your résumé. Your job, then, is to be hit-them-over-the-head obvious about who you are, what job you're seeking and what you have to offer them,"
   When sifting through résumés, most employers and recruiters know exactly what they're looking for. According to most recruitment managers, résumés that meet their expectations are ones that respond to all nine of the following questions:

   Who are you?
   To determine how well your résumé addresses this, it is suggested to have friends or colleagues read it. Within five seconds of them looking at the résumé, snatch it back from them and quiz them on what they know about you as a job seeker based on what they read. If they can't offer a quick answer that truly describes you, your résumé's summary needs some work.

   What can you do for me?
   The most effective way to show employers the value you offer is to show them how you've contributed to an employer's success elsewhere. Try to be truly compelling; these examples must be specific, measurable accomplishments that cite numbers and other details.

   Do you have the skills I'm looking for?
   Scan job ads and job descriptions to discover which skills are most relevant to the employers and recruiters receiving your résumé. Then strategically place them throughout your résumé to ensure it makes it past computer scans and into the hands of employers and recruiters.

   Where have you worked before?
   This one should be simple. Employers want to know where you worked, for how long and which job titles you've held that may indicate how prepared you are for a role at their organization.

   Is your experience relevant to my needs?
   Sometimes it's necessary to expand upon a job title or job description to truly demonstrate that you have experience that applies to the job you're seeking. Consider using bullets to present brief and interesting information that is relevant to the employer.

   Do you have the right education and credentials?
   If you have the education, credentials and training needed to qualify for the job, be sure to say so! Use commonly accepted terminology and keywords in this section to ensure your information isn't misinterpreted or overlooked by employers or résumé scanners

   What kind of person are you?
   Adding insightful information about what makes you special can be a definite plus on your résumé and help decision-makers discriminate between you and another candidate, even before you've met in person," It is suggested to include

   your contribution make a lot of sense to CV writers

  16. boma2000's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th October 2009
   Location : nyumbani
   Posts : 2,817
   Rep Power : 1148
   Likes Received
   120
   Likes Given
   66

   Default Re: Tusaidiane kwenye CV na barua za kuomba kazi

   Quote By Mayolela View Post
   Nami pia email:[email protected] ,please naomba sana

   Kama nia ni kusaidia weka hapa hiyo cv kila mtu wa kutaka kuiona pengine ataongeza skill kidogo ya namna ya uandikaji, unaweza kutoa jina lako au ukaweka jina la uongo.

  17. boma2000's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th October 2009
   Location : nyumbani
   Posts : 2,817
   Rep Power : 1148
   Likes Received
   120
   Likes Given
   66

   Default Re: Tusaidiane kwenye CV na barua za kuomba kazi


   ASANTE kwa website

  18. libby's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 18th January 2010
   Posts : 8
   Rep Power : 573
   Likes Received
   0
   Likes Given
   1

   Default Re: Tusaidiane kweny CV na barua za kuomba kazi

   wanafundisha kaka,lakini mwalimu wako kasoma 19 kweusi,kitabu kimeandikwa enzi za mawe....format hiyo itakusaidia nini mwaka huu 2010?
   jamani mnaojua mambo mapya mtu up to date basi.......plz

  19. #58
   Sipo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th July 2008
   Location : SIPAJUI
   Posts : 2,167
   Rep Power : 1082
   Likes Received
   17
   Likes Given
   0

   Default Re: Tusaidiane kweny CV na barua za kuomba kazi

   Quote By libby View Post
   jamani mnaojua mambo mapya mtu up to date basi.......plz
   Yah!! Unajua haya mambo yanabadilika mara kwa mara na kila mtu anapata kwa wakati tofauti kwahiyo ni vizuri updates zikawepo mara kwa mara. Kupeana information ni jambo la muhimu sana maishani
   "Ficha Upumbavu wako, husifiche hekima yako'' Invisible

  20. KunjyGroup's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th December 2009
   Posts : 352
   Rep Power : 648
   Likes Received
   24
   Likes Given
   0

   Default Re: Tusaidiane kwenye CV na barua za kuomba kazi

   Ignore:
   Kabila
   Date of birth
   Religion
   Place of birth
   Hawaviitaji wakati wana shortlist. They need a professional sio professional aliezaliwa Machame, mu kristo, mchagga etc. Mfano tu jamani.
   The after personal details, let the following follow:
   - accomplishments
   - job experience (startin wit the current/recent). Title, from when to when, company, duties
   - professional qualitfication (startin wit the current/recent). qualification, from when to when, course of study and name of institution
   - academic qualification (ila not so important kama wewe una experience yakutosha
   - skills
   - affiliations (kama mimi ni member wa American marketing association)
   - hobbies
   - refereee (3)
   Barua ya kazi.
   Kumbuka this will sell you way before they see yo CV na wewe mwenyewe. Explain how thwe qualification adversitised/au wanataka matches with your qualifications. Mfano,
   In the advertisement you mention that you need xxyy, I have been doing xxyy whiule working for zzzz company for sss years and i have a track record of success as i managed to xxxx.
   Una swali?

  21. #60
   Sipo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th July 2008
   Location : SIPAJUI
   Posts : 2,167
   Rep Power : 1082
   Likes Received
   17
   Likes Given
   0

   Default Re: Tusaidiane kwenye CV na barua za kuomba kazi

   Quote By kunjygroup View Post
   Ignore:
   Kabila
   Date of birth
   Religion
   Place of birth
   kwa uzoefu wangu ili hapa lina exceptional bra kutoka sehemu moja hadi nyingine, inabidi kulearn mazingira ya shirika husika
   "Ficha Upumbavu wako, husifiche hekima yako'' Invisible


  Page 3 of 4 FirstFirst 1234 LastLast

  Similar Topics

  1. Jinsi ya kuandika barua ya kuomba kazi!
   By Evmem in forum Jokes/Utani + Udaku/Gossips
   Replies: 18
   Last Post: 3rd October 2014, 16:42
  2. Barua ya kuomba kazi iliyovunja rekodi.
   By patience96 in forum Jokes/Utani + Udaku/Gossips
   Replies: 5
   Last Post: 4th October 2011, 13:02
  3. Naogopa kuomba kazi.
   By Tanganyika1 in forum Nafasi za Kazi na Tenda
   Replies: 14
   Last Post: 26th May 2011, 17:52
  4. Mtoto aandika barua kuomba hela kwa Mungu
   By SWADO in forum Jokes/Utani + Udaku/Gossips
   Replies: 4
   Last Post: 12th January 2011, 07:56
  5. Tusaidiane kwenye mikoa hii kabla ya uchaguzi.....
   By urasa in forum Tanzania 2010-2015
   Replies: 3
   Last Post: 24th October 2010, 19:32

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...