Re: Msaada: Uandishi wa project proposal
mh! ni wazo zuri ila naona kama ni ka eneo kadogo...kuwapata investors kwa eneo dogo kiasi hicho ni ngumu kdogo...au unaamnisha proposal ya kupata loan? kwanza eneo lenyewe unalimiliki kisheria? yaani una hati?

By
MAKOLE
Naombeni msaada tafadhali.
Nimenunua eneo la shamba la ekari 4 ambalo nahitaji kulipanda miti ya mbao lote. Naomba kufahamishwa hatua za kuandika proposal kwa aina hii ya mradi na nielekezwe mashirika ambayo naweza kuipeleka ili niwezeshwe kufanikisha huo mradi.Natarajia kufanya shughuli hiyo kuanzia mwezi Nov mwaka huu ili kuwahi mvua za mwakani.
Nitawashukuru sana wana JF ambao watanisaidia kwa ushauri na kunipa changamoto za mradi huo.
Wasalaam!
Ncha ya mkuki haipigwi ngumi, na kina cha maji hakipimwi kwa kutia miguu yote kwenye maji!!!
Follow Us Here