Hellow GTs,.naweza kupata muongozo wa ngazi mpya za mishahara kwa mwaka huu? Tafadhali,nahistaji msaada wadau!! Nahitaji kweli kweli!!! AHSANTENI
Hellow GTs,.naweza kupata muongozo wa ngazi mpya za mishahara kwa mwaka huu? Tafadhali,nahistaji msaada wadau!! Nahitaji kweli kweli!!! AHSANTENI
tafuta hii post humu ina kila kitu 'MISHAHALA YA SERIKALI 2012-2013'
tafuta hii post humu ina kila kitu 'MISHAHARA YA SERIKALI 2012-2013'
mi simo
sio GTs...sema TGTS .
Napita tu jaman, sijui chochote, ntarudi bdae kuangalia majibu
Follow Us Here