Wana JF naomba kujuzwa kuhusu Graduate Recruitment Program ya Mgodi wa Geita kama wamekwisha toa shortlist. Kama bado wakisha wezesha hilo kwa wale wenye taarifa naomba tusaidiane katika kufahamishana.
Natanguliza Shukrani.

still bado kuna long list bro
Hi, wanajamii foru hamujambo mm nawapeni hi tu wadau,
na mnasikia sikiaje kuhusu salary na incentives zao jamani?
Vuta subira ndugu yangu, nadhani bado wanalifanyia kazi
vp jaman? Hawajatoa?
mi nahitaj jua kama wamekwisha ita au la bhajameni.
mbona ha2juzan ukweli?
kama hukutoa laki 5 usitegemee jina litoke
utan pemben plz
yani hadi leo hawajaita tu jamani?
hivi kweli hawa geita wako serious kweli? Mbona no response mpaka sasa?
Follow Us Here