mimi ni mwanachama mpyaaa wa JF
mimi ni mwanachama mpyaaa wa JF
Last edited by ajmallah; 6th August 2012 at 17:01.
karibuuuuu
Tukusaidie nini?
Karibu mkuu, ila kasome kwanza sheria za jf ili uishi vzr humu ndani.
Ukisha zisoma njoo sema unachotaka kusaidiwa.
aya,ni kweli nilipotea mana mmh mtandao mkubwa kweli kweli,
Follow Us Here