vp jaman hivi ajira za customer cares kwenye mitandao yetu ya cm zinakwendaje? Airtel wapo na spanco, ila kupata balaa, cjui tigo voda na zantel hali ikoje. Wana jamvi tujuzane kuhusu hz position.
vp jaman hivi ajira za customer cares kwenye mitandao yetu ya cm zinakwendaje? Airtel wapo na spanco, ila kupata balaa, cjui tigo voda na zantel hali ikoje. Wana jamvi tujuzane kuhusu hz position.
Ok
Thanks for info imebaki chance moja tu voda hope Obama umenipata
hawa NFT CONSULT wako wapi hebu tujuzeni wakuu
Jamani tuambiane hzo za voda,customar care.
sasa mkuu unachagua kazi?jamani vip bado cv zinapokelewa?
cjawaelewa kabisa kuhs hizo kaz za c-care na manyanyaso,nijuzen fresh mana hata mimi cna kaz
jaman mi npo tayar kunyanyasika niunganisheni na hao jamaa nltma cv yang erolink kuptia email had leo kimya
Ukitaka kujuwa utamu wa ngoma ingia ucheze najuwa una shauku ya kufanya kazi kwenye kampuni kubwa yenye jina but hizo kazi hasa zakupokea simu yani call center ajent ni noma usiombe coz mwisho wa siku utaondoka mwenyewe sababu unafanya kazi 8 hrs one hour ndo lakupumzika na u can not cheat coz una log in kwenye system na everthing unachofanya kwenye deski lako it is recorded pindi ukiwa kazini so ni kama mfungwa coz idle time ni kama miujiza ikitokea maybe ukiingia usiku kuanzia saa sita ndo idle time inapatikana pia utajapata matatizo ya masikio coz ya mionzi ya hear phone unazoweka 7 hrs ukiwa unafanya kazi so to me sikishauri coz hata experience utakayoipata haiwezi kukusaidia ktk competition in any new job pia isitoshe hizi human resource sokution agent zimeharibu maslahi sana coz mshahara mtu analipwa mpaka 270,000 kwa mwezi mfano nasikia airtel wanalipwa hivyo hao wanaopokea simu but kama vipi jaribu then utapima
je hao zantel malipo yao yakojee wakuu msaada kidgo...
hahaha spanco to be honest salary nasikia lak 2 na nusu am not so sure ki hiv tutafika. Kweli ?????waajir fikirien,
Mshahara wa kuanzia laki na nusu, unakua unafanya kazi masaa manne kwa siku for 3 month, ukionyesha upo serious unaaamishiwa kwenye masaa nane unapanda hadi 270,000 per month, u stay there in probation for 6 month ukionyesha u still serious unakua permanent employed mshahara unapanda hadi kwenye 350,000 , cha msingi ni juhudi zako and i support them spanco coz watanzania ni watu wa ajabu we r not hardworkers at all, mtu anataka apokee mshahara while kazi hafanyi,Mtu anataka apokee mshahara wakati kwa mwezi ana ED Kumi za uwongo mtupu hakuna kuumwa kichwa wala mafua, mtu anataka apokee mshahara mwisho wa mwezi wakati mda wote yupo busy facebook while attending customers,,, Cha msingi cha kufahamu pale spanco kuna watu mnapokea simu sawa mnafanya kazi wote masaa nane lakini mwisho wa mwezi wanaondoka hadi na 1 million as Basic Salary
Recruiter mkubwa wa Tigo kwa sasa ni NFT Consult na sio Spanco.....ukitaka Zantel, peleka CV pale Infinity ambao miezi michache iliyopita walikuwa wanafanya kazi na Tigo lakini kwa hivi sasa Tigo wame-base sana kwa NFT Consult!! Kama ni Customer Care Representation (Not Call Centre Agent), NFT Consult(for Tigo) wanalipa vizuri kidogo coz' basic salary ni kama Sh. 645,000/= na ukifika monthly target(sales target) u can get more than tht!
I am a free thinker! It's only my free thinking that leads me, to what am commenting. Thus, I've no doubt that today I can be your fellow but tomorrow your enemy, and the agent between us being my comments!! So, If today we agree with cheers, tomorrow we'd not disagree with jeers!
Co ishu hyo kazi ni kimeo!
Nataka kazi ya call center nani nimtumie cv? Hao spanco na infinity na nft hawana emails? Tuwekeeni tuapply!
NFT wapo Mikocheni kwa Nyerere....ukishashuka pale just ask wale madereva wa tax wa pale watakuelekeza tu. Spanco wapo Kinondoni Morocco Airtel Building, Infinity Communications wapo Kinondoni/Mikocheni Ursino Estate....kama unatokea town, teremka Morocco kisha nenda mbele hadi unavuka traffic lights za pale Morocco as if unaenda mwenge....ukishavuka tu hayo mataa, chukua first turning to the right(hiyo ndo Ursino Rd) kisha fuata hiyo bara bara up to nearly 500m na mkono wako wa kulia utakuta bango la Infinity....huo mtaa ni maarufu kama Mikocheni kwa JK! Erolink, fuata hayoo maelekezo ya kwenda Infinity from Morocco Traffic Lights....so, wakati Infinity unachukua firts turning to the Right, Erolink unachukua first turning to the Left...i.e, kulia unaelekea Infinity, kushoto unaelekea Erolink.
Mind: NFT mainly for Tigo
Infinity mainly for Zantel na Tigo kidogo
Spanco mainly fo Airtel
Erolink for Voda.
I am a free thinker! It's only my free thinking that leads me, to what am commenting. Thus, I've no doubt that today I can be your fellow but tomorrow your enemy, and the agent between us being my comments!! So, If today we agree with cheers, tomorrow we'd not disagree with jeers!
Follow Us Here