Habar wadau waJF....Naomba niulze kwa yoyote mwenye kujua malipo ya sensa,mana naona huku nilipo ata majina hayajabandikwa!
Habar wadau waJF....Naomba niulze kwa yoyote mwenye kujua malipo ya sensa,mana naona huku nilipo ata majina hayajabandikwa!
jamani mbona ela ni nyingi sana,mbona amna huruma na nchi yenu,laki saba naa kwa kichwa kimoja,je nchi nza kuna wasimamizi na makarani wangapi,na nyie mnakubali kupokea tu amna ata uchungu,mmekaa tu kulalamika na posho,za wabunge, pamoja na posho za viongozi wengine hili la,kwenu mbona mnakaa kimya,??nyie wa wapi?
Ndg yng Mcheza Karate mbona nilikuPM nikaku2mia email hujanikumbuka kuni2mia barua hiyo mkuu!!Msaada wko plz.
Akili za kuambiwa, changanya na zako...
Hivi makarani ni 100 tu au? Ukiwa na akili angalau kidogo utagundua serikali hii ya kwetu haiwezi kuwalipa kiasi hicho cha fedha. Ngoja nikwambie kwa nini:
Kata ya Makuburi (Ubungo) ina mitaa mitano na makarani 250, sasa jenga picha kuwa wilaya ya kinondoni ina kata 19. 19 x 250 x 550,000 = 2,612,500,000
Sasa hiyo ni kuwalipa makarani tu, bado vifaa, usafiri na gharama zingine za usimamizi na hapo nimechukulia kiwango cha chini cha taarifa zako. Zidisha mara wilaya zote za nchi hii halafu utapata majibu.
Acheni kudanganyana, karani wa sensa analipwa 15,000 kwa siku
By the time a man comes to realize that his father was right, he usually has a son who think he is wrong.
Without doubt the greatest injury....was done by basing morals on myth, for sooner or later myth is recognized for what it is, and disappears. Then morality loses the foundation on which it has been built.
Hebert Louis Samuel (1870 - 1963)
English Statesman and writer
By the time a man comes to realize that his father was right, he usually has a son who think he is wrong.
Ivi izi nauli kuna ambao wanataka kuchakachua watu hawatoi
Sasa kwenye retirement kama haujawapa ela ya nauli iyo ela utasema imetumika kufanya nini!
Wizi wa kijinga sana huu kama kuna wahusika humu habari ndo iyo wapeni watu haki yao au kwa sababu ni walimu ndo mnataka kuwazika
Aliyelalamika alikuwa mwalimu ndo maana nikaquote
WB Tanzania lead economist Jacques Morisset said the GDP doubled in 10 years, but it has failed to produce any significant decline in poverty levels.
[email protected] naomba copy ya hyo barua mheshimiwa.tafadhali.
Dodoso fupi wanalipwaje?
Jamani hili zoezi la sensa sioni kama litafanikiwa. Kwanza limeshakuwa deal. Kwakisingizio cha kwamba walimu walikuwa wamegoma, wamechukuliwa walimu wachache tu pamoja na vijana wa vijueni/mitaani. Wanapatikanaje, hakuna anayejua. Sitaki kusema mengi lakini muda sio mrefu serikali itaumbuka tu katika zoezi hili. Njoo kwenye semina ya madodoso ujionee vituko
Malipo yako hivi kwa dodoso kubwa ni mia sita na kwa ndogo ni mia tano
Hali ngumu sana kwa makarani....twaweza kufa kwa njaa hakuna pesa kabisaaaa.serikali haijajiandaa vya kutosha..hizo bilion 140 sioni faida zake.
Follow Us Here