Jaman tujuzane ndugu yangu maana nasikia dsm wao kimesanuka tangu jana vp watu wa moshi kila nikienda ofisi ya mtendaji hayupo tushirikiane kupeana taarifa katika hili
Jaman tujuzane ndugu yangu maana nasikia dsm wao kimesanuka tangu jana vp watu wa moshi kila nikienda ofisi ya mtendaji hayupo tushirikiane kupeana taarifa katika hili
Moshi hakuna dalili mpaka tym hii.
Duu hali ni tete kesho lazima nishuke manispa
Nimeambiwa watatoa majina j4 sasa zoez c walisema litaanza j3? What happen jaman ebu tujuzane kwa wanaojua manspaa wanadai kuna mabadiliko yametokea ila hawajasema ni nini
jaman nauliza vp kama ujatokea knye usail? Kuna chance ya kusaidiwa?
Jaman na wilaya ya hai ni lini?
na wilaya ya rombo lini?
Moshi mjini wameyaweka jana usiku ila kilichotokea mtajionea wenyewe.
Duu ebu tudokeze japo mkuu maana wengne ndo tunajipanga kwenda kuangalia
Jaman kwa wale warombo majina yamewekwa?
Follow Us Here