vp wakuu mliopo Arusha mjini hiyo nafasi ya sensa vp, wameshatoa majina.?
vp wakuu mliopo Arusha mjini hiyo nafasi ya sensa vp, wameshatoa majina.?
bado kaka ikiwa tayari tutajuzana stay tuned
Tulieni nyie, tutayatoa Jumamosi kuna mambo hayajakamilika!
kwenye form si kuna namba zako utapigiwa simu usiogope
Usa-river wamelitoa majina jana, vip kuhusu Arusha mjini wakuu?
Vip kuhusu leo jombii, hujazinyaka newz zzote?
wandugu vp! Hamjatembelea wale jamaa wa sensa. Ebu mtujuze.
Wanasema majina mpaka alihamisi.
Majina yameshatoka nendeni manispaa kuangalia
jamani madiwani wamechakachua majina. F4 apata degree akosa.
Follow Us Here