Mwenye taarifa atujuze, vijana tupo tayari kuvaa gwanda! Ni tarehe ngapi vile?
Mwenye taarifa atujuze, vijana tupo tayari kuvaa gwanda! Ni tarehe ngapi vile?
Kama ni gwanda, zinauzwa chadema
Haya wa kwenda mjiandae kwenda... Itakuwa mwezi wa 10.
Hivi Jeshini kuna wataalamu? Kuna kitu gani walishawahi gundua chenye manufaa? Maana majeshi ya wenzetu huko usa ndio technology inapoanzia sijui kwa hapa kwetu ebu tujuzeni.
Ungekua unalijua jesh vizur usingeuliza swal hlo@king
dr we unajua au wajua kushushua tu
Jeshi la TZ hamna kitu, uvumilivu wa wananchi unawafanya desperate job seekers kukimbilia huko! Ngoja sekeseke la Chadema Kuchukua nchi 2015 liingie uone watu watakavyoukana ujeshi kama ilivyokuwa libya.
hivi procedure hua zikoje?? i wanna go too....
haya wale wa jwtz nafasi wametangaza makao makuu tayari ila kwa wenye course ya udaktari na engineering tu...wengine hapana kwa mwaka huu
mi nina miaka 33,na ndo nimetoka chuo naweza kuajiriwa jwtz kweli?naomba kufahamishwa tu
Professionals JWTZ wameshaanza trainning wiki ya pili sasa wewe unasubiri nini? wapo makambi mbalimbali watakuwa huko miezi sita
Hivi vyeo vya jwtz vinakuwaje?
Follow Us Here