Mwenye taarifa atujuze, vijana tupo tayari kuvaa gwanda! Ni tarehe ngapi vile?
Mwenye taarifa atujuze, vijana tupo tayari kuvaa gwanda! Ni tarehe ngapi vile?
hii ndio tanzania ya magamba King Kong III. Jeshini form four waliofeli, mashuleni walimu waliofeli, wauguzi wanaenda pia waliofeli (atleast D biology).......inatisha sana maana tunatengeneza taifa lisilokua na mwelekeo
Daily News halisomwi tandale kwa mtogole - MPOKI
jwtz mzuka sanaa vyeo vya kumwaga form6 nyota2,wakati policeform6 ukoplo,magereza nakoform6 ukoplo,form6 kimbilien jwtz
Kweli jeshi limeanza course week ya 2 sasa na ni wataalamu tu ndio maana course ya ni Arusha monduli. Watatangaza tena ila kwenda ni mwakani.
mjiandae kwenda kudundwa na malawi,anapiga za chembe balaa,ziwa lote lao lile,mtachapwa then mnadumbukizwa ziwani mkaliwe na mamba,chezea jeshi wewe,huko ni ukakamavu tu no ubradhamen
Mnatuchanganya tu jamani .......................! watu tunangojea watangaze afu mnasema watu tayari wako depo..........!???? mbna hamueleweki...............!
Guys, plz naomba kufahamishwa, kwa waliomaliza vyuo na wanasubiri graduation on octoba, novemba e.t.c mwaka huu..wanayo fursa? n if yes how r dey gona b recognized as graduates coz hawana vyet?
Hivi JWTZ hawana website?. Haya pelekeni ***** wenu huko..
A question that sometimes drives me hazy: am I or are the others crazy?
jipangeni sio mnataka kukimbilia jeshi sababu mtaa umekushinda jiangalie kama una interest pagumu humu mwenyewe nilisota
kama mtu anataka jeshi ni vizuri apewe nafasi sio kwa sababu amekosa ajira ingekuwa hivyo watu wengi wangeenda
Kwa taarifa nilizonazo proffessional wamechukuliwa mwezi wa 6 na sasa wapo mafunzoni kwa miezi 6 mimi mwenyewe nmepewa taarifa na mkuu mmoja wakambi hapa Kigoma,ila wakianza mchakato tena tutapeana taarifa wakuu
Follow Us Here