Habari JF
Nafasi za field katika hotel Arusha na Zanzibar
Kama umemaliza kozi ya Basic Certificate in Hotel Management na hujapata field, tafadhari wasiliana nami kupitia [email protected] au ni PM humu, field inachukuwa miezi 3, gharama ni 200,000 inajumuisha nauli, malazi na chakula kwa muda wote wa miezi 3.
Mhimu: Kiingereza na hakuna chochote tutakubaliana kabla ya mimi kujihakikishia walau unaweza kuwasiliana kwa kiingereza.
Nawasilisha

Reply With Quote


Follow Us Here