jaman mimi nmemaliza form six mwaka huu cna kazi yeyoye kwa hyo nilkwa nahtaji kazi wakati wa sensa,na jinsi ya kuapply ...mwenye info zozote anifahamishe!!!!!!
jaman mimi nmemaliza form six mwaka huu cna kazi yeyoye kwa hyo nilkwa nahtaji kazi wakati wa sensa,na jinsi ya kuapply ...mwenye info zozote anifahamishe!!!!!!
Nenda website ya TBS ndo kuna full info.
Tafuta humu kuna thread inaelezea mambo yote,
Mwisho tarehe 25/7.Nenda kachukue form wilayani au ukadownload kwenye website yao fasta.
Last edited by Mama Mdogo; 25th July 2012 at 19:01.
Anyone who has never made a mistake has never tried anything new - Albert Einstein
No problem can be solved from the same level of consciousness that created it - Albert Einstein
Nenda Office za afisa mtendaji kuna form utapewa jaza.
Wadau me naomba kuuliza aliyepata kiwango cha malipo cha uhakika anijuze mana wengne wanadai ni 10000 kwa ck,wngne elf35 kwa cku.Nipen uhakika mkuu.Hafu kwa aliye dar-kinondon twapeleka wapi mana cjui ofc zilipo.MSAADA PLZ!!
goodmorning Africa
30000 tu.kwa cku.
Kwani form zapokelewa wapi ndg?mna me napeleka kwa mtendaji wa mtaa anchukua na kuhifadhi anadai watazipeleka kata then tar 29 kata ndo watatoa majina.Hiyo ipo sawa kweli mana nahofia isijekuwa uchakachuzi waanzia hapo.Nijulishen wadau,,
kumekucha
Nenda kajaze fomu maalum na uambatanishe na vyeti vyako, na pitisha mtendaji wako
Hii sensa nayo inaweza kuborongwa kama kawaida ya uborongaji unaofanywa na Serikali DHAIFU, na Watanzania chungu nzima kulalamika kwamba hawakuhesabiwa.
Let your graceful words fly out into the World, carried on winds of courage, imagination and joy. Let them inspire others to step into action
Jaza section I ya fomu ya maombi ya kazi ya muda katika sensa ya watu na makazi 2012 items 1 hadi 8 halafu unaipeleka kwa kwa Mwajiri au kwa Mtendaji wa Kijiji/Mtaa ajaze section IIA e au IIB kwa uthibitisho. Mwajiri au Mtendaji wa Kijiji/Mtaa akishajaza kukuthibitisha, ichukue uipeleke Mwenyewe makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya husika, usikubali kuiacha kwa Mwajiri au Mtendaji wa Kijiji/Mtaa, haitapelekwa katika muda muafaka au haitapelekwa, utachakachuliwa. Ukifika huko baada ya kukubaliwa utapewa Fomu_ya_KUKUBALI_Kazi-SENSA na utajaza!!! Amka!!!!
Anyone who has never made a mistake has never tried anything new - Albert Einstein
No problem can be solved from the same level of consciousness that created it - Albert Einstein
Follow Us Here