Habari wakuu,
naombeni msaada. nimeitwa kwenye interview BHC wamesema itakua ni written na pia discussion ya roles za hiyo kazi. naombeni mnipe angalau mwanga kuwa huwa inakuaje. plz plz nifumbueni macho wakuu. i ril need that job.
thank you.
Habari wakuu,
naombeni msaada. nimeitwa kwenye interview BHC wamesema itakua ni written na pia discussion ya roles za hiyo kazi. naombeni mnipe angalau mwanga kuwa huwa inakuaje. plz plz nifumbueni macho wakuu. i ril need that job.
thank you.
msaada plz?
So far ninavyojua kazi za Chancery Support officer zinachezea hapa. . . planning and organising diplomatic events, coordinating travel logistics, setting up meetings; maintaining contact databases, taking minutes of meetings and drafting standard letters,
Maswali yatakuwa kwenye competence ya mtu kwenye hizo kazi. Uwezo wa kujiamini na good communication skills because hii ni kazi ambayo utakua unakutana na diplomats wakubwa kwenye vikao na unatakiwa ujue sawia wanachosema na kunote down.. .
Planning skills is another important skill you should have. . .
Nyingine ni uwezo wa kuwa smart, presentable, suti zikukae. . .kama huna mwili nenda gym ukipata kazi hii. . .thats all I know. . .kama umeipenda gonga like.
hujasem a kazi yenyewe unahitaji ushauri alafu acha uvivu google inatusaidia sana soma kwa bidii usikose kazi
Kosea njia utaelekezwa,lakini usikosee mtu wakuoa /kuolewa naye,vinginevyo majuto yatakuwa sehemu ya maisha yako.tuliza kichwa unapochagua mwenzi wa maisha.
Walikuwa kwamba ni formal au informal interview??
Good guys,nawashukuru sana kwa mchango wenu.
Follow Us Here