leo nimerudisha ile form ya kuomba kazi ya sensa.daaah!!!nilicho kikuta huko,yani watu ambao tayari wana ajira zao nao eti wamepeleka maombi yao.jamani si mtuachie hata na sisi ambao hatuna job tujaribu bahati zetu,kazi yenyewe ni ya mwezi mmoja tu,au ndo mnataka watu tuwe vibaka huku mitaani?

Reply With Quote

Follow Us Here