Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Kuitwa kazini

    Report Post
    Page 1 of 2 12 LastLast
    Results 1 to 20 of 26
    1. #1
      zema21's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 483
      Rep Power : 456
      Likes Received
      142
      Likes Given
      100

      Default Kuitwa kazini

      Wakuu,
      Juzi jumatatu nimetumiwa sms ikinielekeza nikacheki kwenye email yangu kuna mail nimetumiwa inayohusu maelekezo ya ajira katika kampuni ya GBM (GLOBAL BUSNESS MACHINE) niliingia kwenye email yangu nikakuta maelekezo yaliyoonyesha kuwa katika kikao walichokaa "tulipo hotel" nimekuwa miongoni mwa watu waliochaguliwa kupata ajira katika kampuni hiyo..Hivyo jumatatu ya tar 23.7.2012 natakiwa kufika eneo la mikocheni karibu na chuo cha bima zilipo ofisi za kampuni hiyo kwa ajili ya certificate verification. Ikaongeza kuwa nifike na academic transcript, cheti cha kuzaliwa, na work permit kama mim sio mtanzania. Pia mahitaji mengine ni kulipa sh 30,000/= kwa ajili ya training itakayofanyika baada ya certificate verification (itafanyikia kcc Nairobi). Malipo yalitakiwa yafanyika kabla ya tar 18.7.2012 kupitia mpesa(wakaweka na namba za malipo) Wakuu nilifurahi nikasema Mungu amejibu maombi yangu ya kupata ajira. Nikafunga safari kuelekea mikocheni kutafuta ofisi za kampuni bila mafanikio kwani hakuna aliwahi kuisikia kampuni hiyo pale. Nilimpigia huyo aliyenitumia sms mara kadhaa haikupokelewa, baada ya masaa mawili alinipigia, nikajitambulisha akaniuliza nipo wapi nikamjibu mwenge. Akaniambia kuwa ofs zao zipo mwanza. Nikamwuliza mbona walisema ofisi zao zipo dar? Akanambia dar wana representative wao. Nikamwomba namba ya simu ya huyo repr akanipa nikajaribu kupiga siku nzima hazipatikani...nimejaribu kumpigia yule jamaa ili nimwambie namba alizonipa hazipatikani lakn hapatikan pia nayeye kutwa nzima!
      Wakuu nishaurini nilipie hizo 30,000/= manake jioni ndo deadline..!?

    2. RukaaJuu Final

    3. #2
      Doyi's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 4th December 2011
      Posts : 238
      Rep Power : 505
      Likes Received
      38
      Likes Given
      14

      Default Re: Kuitwa kazini

      kaka usilipe hao ni matapeli walishaliza watu wengi sana.hyo hela kama vip katoe sadaka au fanya mambo yako mengine
      anin-gift and nathan yusto like this.

    4. #3
      Pitz's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th February 2011
      Posts : 4,969
      Rep Power : 1411
      Likes Received
      519
      Likes Given
      48

      Default Re: Kuitwa kazini

      Kama hyo elfu 30 umeiokota watumie,ila kama umeivujia jasho ucfanye hvo.

    5. #4
      Mwanawalwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th May 2012
      Posts : 327
      Rep Power : 417
      Likes Received
      89
      Likes Given
      53

      Default Re: Kuitwa kazini

      Quote By Doyi
      kaka usilipe hao ni matapeli walishaliza watu wengi sana.hyo hela kama vip katoe sadaka au fanya mambo yako mengine
      one for the lord

    6. CAY
      #5
      CAY's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th January 2011
      Posts : 462
      Rep Power : 515
      Likes Received
      84
      Likes Given
      26

      Default Re: Kuitwa kazini

      Kama unahamu ya kutapeliwa tuma.Kuanzia lini watu wanalipia training ya kazi ambayo wanaenda kumfanyia mwajiri?Akili kichwani ndg yangu!

    7. Miaka 50

    8. #6
      MR.LEO's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 10th June 2012
      Posts : 129
      Rep Power : 375
      Likes Received
      21
      Likes Given
      1

      Default

      Mdau,hii dunia imeshaharibika kabisa,mimi yamenitokea juzi nilitaka kutapeliwa laki mbili tena walikua wanamtumia mdada!
      Kilichosaidia ni huduma ya mteja ya M-PESA!

    9. #7
      Aggrey86's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 26th June 2011
      Posts : 696
      Rep Power : 0
      Likes Received
      80
      Likes Given
      88

      Default Re: Kuitwa kazini

      Wapuuzi hao Matapeli achana nao!

    10. #8
      zema21's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 483
      Rep Power : 456
      Likes Received
      142
      Likes Given
      100

      Default Re: Kuitwa kazini

      Duuh! Wakuu nawashukuru kwa msaada wenu wa kimawazo!
      Nilipata wasiwasi ndiyo maana nikaamua kutafuta ofisi zao pasipo mafanikio!

    11. #9
      happiness win's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th August 2011
      Posts : 1,187
      Rep Power : 628
      Likes Received
      442
      Likes Given
      141

      Default Re: Kuitwa kazini

      Hiyo 30,000 kanunue kuku mzuriiiiiii kisha mrosti na umle kwa raha zako ili akupe nguvu ya kupiga magoti na kumuomba Mungu akupe kazi ya uhakika. Achana na Matapeli.
      webondo likes this.

    12. #10
      zema21's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 483
      Rep Power : 456
      Likes Received
      142
      Likes Given
      100

      Default

      Quote By happiness win
      Hiyo 30,000 kanunue kuku mzuriiiiiii kisha mrosti na umle kwa raha zako ili akupe nguvu ya kupiga magoti na kumuomba Mungu akupe kazi ya uhakika. Achana na Matapeli.
      asante

    13. #11
      panadol's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 11th February 2012
      Posts : 352
      Rep Power : 0
      Likes Received
      42
      Likes Given
      0

      Default Re: Kuitwa kazini

      Kaka matapeli hao usijejaribu kutuma pesa,wameshaliza sana watu!

    14. #12
      Maundumula's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th November 2010
      Posts : 4,976
      Rep Power : 3107
      Likes Received
      1359
      Likes Given
      5719

      Default Re: Kuitwa kazini

      Bwana Mangushi nakupa pole sana.

    15. #13
      UKWELIWANGU's Avatar
      Member Array
      Join Date : 11th August 2011
      Posts : 83
      Rep Power : 410
      Likes Received
      4
      Likes Given
      13

      Default Re: Kuitwa kazini

      Quote By zema21
      Wakuu,
      Juzi jumatatu nimetumiwa sms ikinielekeza nikacheki kwenye email yangu kuna mail nimetumiwa inayohusu maelekezo ya ajira katika kampuni ya GBM (GLOBAL BUSNESS MACHINE) niliingia kwenye email yangu nikakuta maelekezo yaliyoonyesha kuwa katika kikao walichokaa "tulipo hotel" nimekuwa miongoni mwa watu waliochaguliwa kupata ajira katika kampuni hiyo..Hivyo jumatatu ya tar 23.7.2012 natakiwa kufika eneo la mikocheni karibu na chuo cha bima zilipo ofisi za kampuni hiyo kwa ajili ya certificate verification. Ikaongeza kuwa nifike na academic transcript, cheti cha kuzaliwa, na work permit kama mim sio mtanzania. Pia mahitaji mengine ni kulipa sh 30,000/= kwa ajili ya training itakayofanyika baada ya certificate verification (itafanyikia kcc Nairobi). Malipo yalitakiwa yafanyika kabla ya tar 18.7.2012 kupitia mpesa(wakaweka na namba za malipo) Wakuu nilifurahi nikasema Mungu amejibu maombi yangu ya kupata ajira. Nikafunga safari kuelekea mikocheni kutafuta ofisi za kampuni bila mafanikio kwani hakuna aliwahi kuisikia kampuni hiyo pale. Nilimpigia huyo aliyenitumia sms mara kadhaa haikupokelewa, baada ya masaa mawili alinipigia, nikajitambulisha akaniuliza nipo wapi nikamjibu mwenge. Akaniambia kuwa ofs zao zipo mwanza. Nikamwuliza mbona walisema ofisi zao zipo dar? Akanambia dar wana representative wao. Nikamwomba namba ya simu ya huyo repr akanipa nikajaribu kupiga siku nzima hazipatikani...nimejaribu kumpigia yule jamaa ili nimwambie namba alizonipa
      hazipatikani lakn hapatikan pia nayeye kutwa nzima!
      Wakuu nishaurini nilipie hizo 30,000/= manake jioni ndo deadline..!?

      achana na hawo jamaa matapeli hawafai

    16. #14
      Mzalendo JR's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th June 2012
      Posts : 907
      Rep Power : 532
      Likes Received
      277
      Likes Given
      213

      Default Re: Kuitwa kazini

      Wizi ushakua ajira in DSM
      "Happiness is what you think, what you say, and what you do are in harmony"

    17. #15
      webondo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2012
      Location : Chini ya mwembe
      Posts : 1,167
      Rep Power : 589
      Likes Received
      178
      Likes Given
      381

      Default Re: Kuitwa kazini

      Pole sana, ni matapeli wakubwa hao, bora ukatoe sadaka hiyo 30,000/=

    18. #16
      ITEGAMATWI's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 26th January 2012
      Posts : 1,672
      Rep Power : 0
      Likes Received
      424
      Likes Given
      828

      Default Re: Kuitwa kazini

      Kama unahamu ya kuitoa hiyo 30,000/=Tsh nakushauri bora uwapoze wafiwa na majeruhi wa Ajali ya Boti.

    19. #17
      mummyjimmy's Avatar
      Member Array
      Join Date : 13th May 2011
      Posts : 13
      Rep Power : 408
      Likes Received
      3
      Likes Given
      2

      Default Re: Kuitwa kazini

      Hao we ni wezi kakangu usilipe mi yashanikuta hayo .

      Quote By zema21
      Wakuu,
      Juzi jumatatu nimetumiwa sms ikinielekeza nikacheki kwenye email yangu kuna mail nimetumiwa inayohusu maelekezo ya ajira katika kampuni ya GBM (GLOBAL BUSNESS MACHINE) niliingia kwenye email yangu nikakuta maelekezo yaliyoonyesha kuwa katika kikao walichokaa "tulipo hotel" nimekuwa miongoni mwa watu waliochaguliwa kupata ajira katika kampuni hiyo..Hivyo jumatatu ya tar 23.7.2012 natakiwa kufika eneo la mikocheni karibu na chuo cha bima zilipo ofisi za kampuni hiyo kwa ajili ya certificate verification. Ikaongeza kuwa nifike na academic transcript, cheti cha kuzaliwa, na work permit kama mim sio mtanzania. Pia mahitaji mengine ni kulipa sh 30,000/= kwa ajili ya training itakayofanyika baada ya certificate verification (itafanyikia kcc Nairobi). Malipo yalitakiwa yafanyika kabla ya tar 18.7.2012 kupitia mpesa(wakaweka na namba za malipo) Wakuu nilifurahi nikasema Mungu amejibu maombi yangu ya kupata ajira. Nikafunga safari kuelekea mikocheni kutafuta ofisi za kampuni bila mafanikio kwani hakuna aliwahi kuisikia kampuni hiyo pale. Nilimpigia huyo aliyenitumia sms mara kadhaa haikupokelewa, baada ya masaa mawili alinipigia, nikajitambulisha akaniuliza nipo wapi nikamjibu mwenge. Akaniambia kuwa ofs zao zipo mwanza. Nikamwuliza mbona walisema ofisi zao zipo dar? Akanambia dar wana representative wao. Nikamwomba namba ya simu ya huyo repr akanipa nikajaribu kupiga siku nzima hazipatikani...nimejaribu kumpigia yule jamaa ili nimwambie namba alizonipa hazipatikani lakn hapatikan pia nayeye kutwa nzima!
      Wakuu nishaurini nilipie hizo 30,000/= manake jioni ndo deadline..!?

    20. #18
      BAGAH's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th January 2012
      Posts : 4,363
      Rep Power : 8786
      Likes Received
      954
      Likes Given
      1418

      Default Re: Kuitwa kazini

      sa kama ndio unatafta kazi elfu 30 unatoa wap?

    21. #19
      zema21's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 483
      Rep Power : 456
      Likes Received
      142
      Likes Given
      100

      Default

      Quote By BAGAH
      sa kama ndio unatafta kazi elfu 30 unatoa wap?
      wao wanataka ulipe hawajui utakapoipata cha msingi uwalipe!
      Hakuna dhambi kubwa kama hii ya ku-take advantage kwa shida ya mwenzio ili kunufaika

    22. #20
      Gwangambo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th June 2012
      Location : Mabwepande
      Posts : 1,113
      Rep Power : 569
      Likes Received
      263
      Likes Given
      86

      Default Re: Kuitwa kazini

      Liwalo na liwe, fanya maamuzi magumu.
      WATANZANIA KUMCHAGUA JK, TUMEPAKA WANJA WA PILIPILI.

    Page 1 of 2 12 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...