2Saidiane jaman kwa wale ambao maofic yao wanapokea watu wa field, mana binafc nimeangaika mpka.., na likizo ndo inaisha ivyo..
2Saidiane jaman kwa wale ambao maofic yao wanapokea watu wa field, mana binafc nimeangaika mpka.., na likizo ndo inaisha ivyo..
sasa dogo hujasema unasoma nini?wapi? level gani? n.k
utasaidiwaje sasa hata kama kun watu wenye uwezo hapa!
dah eti dogo!!, aya bwana.... Ndo nimemaliza 2nd year, nasoma bachelor of commerce in accounting.. Hope nimejieleza vya kutosha mkubwa
dogo jiajiri mwenyewe mbona mnapenda sana mteremko
kma waweza chukua izo barua zko tuma mikoan kwny makampun tofaut achana na dar es salaam...
Tatizo vijana wengine wa field mnakuja maofisini na masuruali yanawaporomoka ndio maana sehemu nyingine wanaona wasichukue tu.
Mkuu Maundumula huoni hata kiswahili alichoandika?? upuuzi mtupu!!
Never Judge any one because you never know how their life is and what they are going through
nakumbuka sisi wakati tunasoma chuo, mambo ya field yalikuwa yanafanywa na utawala sie ni kuripoti tuu! coz sidhani kama now mtu unaweza kwenda bungeni eti kuomba kufanya field, ila mimi nilifanya zote mbili pale! hongera sana kwa uongozi mzuri wa chuo chetu during that time naona siku hizi mambo yamebadilika mpaka mnajitafutia
"The past is a rich resource on which we can draw in order to make decisions for the future, but it does not dictate our choices. We should look back at the past and select what is good, and leave behind what is bad".Nelson Mandela<!--EndFragment-->
Tatizo lenu mnataka mkiwa field mlipwe ......na wengi wenu mnataka Dar tu....na kama likizo inaisha basi malizia likizo urudi chuo
Maisha yetu ni mafupi lazima tuyatete kwa namna yeyote ile!
Jikaze wewe mbona mimi bodi hainitambui,na niwiki yangu ya 7 katika field.Na nipo mkoa ambao ndugu zangu hawapo kabisa(siyo hawapo karibu) na natarajia wiki ijayo nimalize.
Wacha kulalamika,na silipwi hata senti,The way unavolialia shida hata ukipewa kazi watatumia madhaifu yako.
Kwanza inaonekana hujazoea shida,endelea kutafuta field za karibu na ndugu zako. Hao ndugu kama wanakupenda hawajui kuna MPESA?TGOPESA?
Ushaniuzi kwanza,unataka useme wewe ndo wakwanza kusoma?
Follow Us Here