Jamani mwenye taarifa,juu ya short list kwa walio fanya application za afisa tarafa na WEOsince may up to date.
Jamani mwenye taarifa,juu ya short list kwa walio fanya application za afisa tarafa na WEOsince may up to date.
Kuwa mwenye subira..bado!
Mkuu sikukatishi tamaa hila andika ushaumia kwa serikali usikute watu washalamba mishaara miwili na wanaendelea na kazi chunguza mjomba utabaini tu.
Mbona mapema sana mkuu,kuna nafasi nyingi ambazo walitangaza siku nyingi kama attorney general Chambers na shortlist bado?.
Tulieni wala msiwe na papara kwani mvumilivu hula mbivu na kama hipo,hipo tu liliopangwa na mungu mwanadamu hawezi kulipangua watabana mwisho wataachia!
uuuuuuuuuuuwiiiiiiii! mi naamini bado hawajaita kwani kama wameita kinyemela chozi langu litaweza kuilaani tume hii na haitachukua time itavunjwa, ni heri waite wazi nami nisiwepo kuliko kuita secret halafu mi cpo. kitanuka na............ duuh! hebu semeni kweli wameita au tunataniana?
kuweni na subira wadau hii wiki inaweza icpte pipoz zikaitwa kwenye mainterview
toka May mbado.....?
Follow Us Here