Ckuwah kuimagn kuwa unaweza kunyang'anywa kaz hv hv, nilipata kaz kwny kampun moja ya cm cha ajabu cku ya kuanza training 2kaambiwa 2fanye interview jaman kazi hzi, kumbe walishatuchakachua.
Ckuwah kuimagn kuwa unaweza kunyang'anywa kaz hv hv, nilipata kaz kwny kampun moja ya cm cha ajabu cku ya kuanza training 2kaambiwa 2fanye interview jaman kazi hzi, kumbe walishatuchakachua.
Mkuu usikate tamaa,iko siku mambo yatanyooka,pole sana!
Pengine uliitwa interview ya pili ukafikiri unaitwa kazini si unajua mambo ya kingereza tena.
Labda ulikuwa mzito au ulifail kucatch up kwenye training,anyway wakati mwingine utapata.
Sema ni kampuni gani coz mi nina kisa na AIRTEL mdau kuna mdada alinipokonya kazi tam ni HR hapo anaitwa.....
"Happiness is what you think, what you say, and what you do are in harmony"
pole sana mjomba.
Huwezi jua pengine umeepushwa na "ngoma" huko kazini. si unajua tena mahusiano makazini.
,,,,,,,,Jisachi
jaman maisha haya mpaka lin, pole bwana na karibu tena kijiweni,ipo tutaandamana mpaka wanako lala maana huku ofini wameshkuwa sugu
TIGO hao,
inawezekana walijua kuwa wale waliokwenda interview walichakachua hivyo wakataka kuhakikisha kama kweli hao watu wameingia kihalali, ndo hivyo tena yakawakuta...
Haya yote ni ubatili mtupu, hakuna jipya hapa duniani!
Yaani ulipata kazi kabla ya intavyuu?
Kichuguuu: Nyumba inayohifadhi mchwa na nguchiro kwa pamoja bila mkwaruzo
Follow Us Here