JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Ajira JWTZ

  Report Post
  Page 1 of 2 12 LastLast
  Results 1 to 20 of 22
  1. Lakuchumpa's Avatar
   Member Array
   Join Date : 28th March 2012
   Posts : 73
   Rep Power : 498
   Likes Received
   12
   Likes Given
   2

   Default Ajira JWTZ

   Good news kwa wale wote mlokua na shahuku ya kwenda monduli. Nafasi za professional wa kujiunga na jwtz ni mwezi wa tisa. Get ready kuchapa mwendo. Hii ni kutokana na chanzo changu cha habar sababu na mi ni mmoja wa wahanga

  2. DOOKY's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th December 2011
   Posts : 361
   Rep Power : 874
   Likes Received
   46
   Likes Given
   8

   Default Re: Ajira JWTZ

   Nilidhani unaweza hizo nafasi kajipange mkuu

  3. Remote's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th May 2011
   Posts : 12,537
   Rep Power : 118916266
   Likes Received
   3526
   Likes Given
   1916

   Default Re: Ajira JWTZ

   kwani wanaojiunga jwtz ni wahanga?
   saimon111 likes this.

  4. URASSA THE DON's Avatar
   Member Array
   Join Date : 12th October 2010
   Posts : 70
   Rep Power : 574
   Likes Received
   7
   Likes Given
   3

   Default Re: Ajira JWTZ

   Quote By Lakuchumpa View Post
   Good news kwa wale wote mlokua na shahuku ya kwenda monduli. Nafasi za professional wa kujiunga na jwtz ni mwezi wa tisa. Get ready kuchapa mwendo. Hii ni kutokana na chanzo changu cha habar sababu na mi ni mmoja wa wahanga
   sijakuelewa nafasi zimeshatoka embu fafanua tu japo we ni muhanga

  5. mwita ke mwita's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th August 2010
   Posts : 2,564
   Rep Power : 0
   Likes Received
   439
   Likes Given
   352

   Default Re: Ajira JWTZ

   Poa mzeeeee


  6. Mkiliman's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th June 2011
   Posts : 891
   Rep Power : 708
   Likes Received
   211
   Likes Given
   54

   Default Re: Ajira JWTZ

   Quote By Lakuchumpa View Post
   Good news kwa wale wote mlokua na shahuku ya kwenda monduli. Nafasi za professional wa kujiunga na jwtz ni mwezi wa tisa. Get ready kuchapa mwendo. Hii ni kutokana na chanzo changu cha habar sababu na mi ni mmoja wa wahanga
   Poor reporting or else hopeless style of giving information: Always be focused with intention to give fruitful information and not to make derogatory as you have done......can you tell us (readers) your private source upon the truth of your post.."? Huna uhakika na unachosema na zaidi ni kuwapa hope wenzio ambao wanahitaji kujiunga na jeshi. Taratibu za jeshi haziko rahisi kama unavyojaribu kusema hapa; hivi unajua kuwa sio lazima kila mwaka kuwe na professional recruitment??? Kama ni wanajeshi wameshapata kutoka level za O' level na Advanced...na walifanya recruit ya ndani kwa wasomi wa huko jeshini; na ikitokea wakahitaji basi itakuwa kiasi kidogo cha wataalam...lakini sio kusema exactly mwezi wa tisa, huo ni uwongo na ushauri ni kwamba ni bora kuendelea kufanya bidii ya kufanya kazi au kutafuta nafasi zingine na ikitokea jeshini wanatangaza nafasi za wasomi unaweza kuacha huko uliko na kuomba jeshini....but be careful ktk kuacha kazi yako.

  7. CHIEF MP's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th July 2011
   Posts : 926
   Rep Power : 85900546
   Likes Received
   291
   Likes Given
   263

   Default

   Poor reporting or else hopeless style of giving information:Always be focused with intention to give fruitful information and not to make derogatory as you have done....can you tell us (readers) your private source upon the truth "GUD ADVICE MKUU"

  8. BUCHANAGANDE's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th September 2011
   Posts : 1,384
   Rep Power : 789
   Likes Received
   285
   Likes Given
   75

   Default Re: Ajira JWTZ

   Hizi nafasi hazina tija kwa MLALA HOI maana SIKU HIZI WANAPEANA WAO KWA WAO TU Ndo MAANA hata UTENDAJI WA KAZI UNAPUNGUA KILA KUKICHA KWA HII IDEOLOGY YA KUPEANA PEANA.

  9. mjombo's's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st October 2011
   Location : D'SALAAM
   Posts : 492
   Rep Power : 605
   Likes Received
   79
   Likes Given
   52

   Default Re: Ajira JWTZ

   yu hav to display hizo nafas, so wbeta turn back ukajipange

  10. inoxidable onyenyo's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 12th July 2012
   Posts : 2
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Ajira JWTZ

   So mchakato wa application unaendaje?

  11. zubedayo_mchuzi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd September 2011
   Location : ELitrea-kismayu-DRC
   Posts : 4,740
   Rep Power : 71428
   Likes Received
   1046
   Likes Given
   62

   Default Re: Ajira JWTZ

   foget abt this.

  12. Askari wa miguu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th December 2011
   Posts : 332
   Rep Power : 565
   Likes Received
   108
   Likes Given
   19

   Default

   Quote By zubedayo_mchuzi View Post
   foget abt this.
   fafanua....

  13. MESHACK KILUMILE's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 15th July 2012
   Posts : 1
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Ajira JWTZ

   Mchakato Kwani Ukoje Huko I Like So Much Soldies

  14. zubedayo_mchuzi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd September 2011
   Location : ELitrea-kismayu-DRC
   Posts : 4,740
   Rep Power : 71428
   Likes Received
   1046
   Likes Given
   62

   Default

   Quote By Askari wa miguu View Post
   fafanua....
   Kuna uzi nimeutoa nafikiri umeuona,ila msikate tamaa na sasa hv hakuna direct TMA,LAZIMA UANZE KURUTI,NDO UKUMBANE NA USAILI NDIPO UENDE TMA...

  15. kikaragosi's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 14th November 2010
   Location : Rock city
   Posts : 112
   Rep Power : 577
   Likes Received
   10
   Likes Given
   8

   Default Re: Ajira JWTZ

   Ebwana mi mwenyewe nasubiria kwa hamu,bado kwenda kujipima ukimwi 2 nijijue mapemaaaaaaaaaa

  16. Butho Mtenzi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th February 2011
   Posts : 314
   Rep Power : 603
   Likes Received
   20
   Likes Given
   1

   Default Re: Ajira JWTZ

   Twatishana saana!

  17. MDAU JR's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th March 2011
   Posts : 394
   Rep Power : 617
   Likes Received
   54
   Likes Given
   25

   Default Re: Ajira JWTZ

   Quote By Lakuchumpa View Post
   Good news kwa wale wote mlokua na shahuku ya kwenda monduli. Nafasi za professional wa kujiunga na jwtz ni mwezi wa tisa. Get ready kuchapa mwendo. Hii ni kutokana na chanzo changu cha habar sababu na mi ni mmoja wa wahanga
   Kwenye red, how?
   LAA ILAHA ILLALLAH MUHAMMADUR RASULULLAH

  18. Kichuguu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th October 2006
   Location : Popote Porini
   Posts : 7,968
   Rep Power : 9270284
   Likes Received
   2664
   Likes Given
   1705

   Default Re: Ajira JWTZ

   Afadhali aisee kama wametanganza basi nitaenda kutayarisha application yangu kwa sababu mimi ninaitaka sana ile nafasi ya Shimbo; nitaomba moja kwa moja kuwa mimi ninataka kuwa Chief of Staff wa JWTZ.
   Kichuguuu: Nyumba inayohifadhi mchwa na nguchiro kwa pamoja bila mkwaruzo

  19. Askari wa miguu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th December 2011
   Posts : 332
   Rep Power : 565
   Likes Received
   108
   Likes Given
   19

   Default

   [QUOTE=Kichuguu;4252248]Afadhali aisee kama wametanganza basi nitaenda kutayarisha application yangu kwa sababu mimi ninaitaka sana ile nafasi ya Shimbo; nitaomba moja kwa moja kuwa mimi ninataka kuwa Chief of Staff wa JWTZ.[/QUOTE
   wewe umeckia wapi wametangaza mkuu?

  20. Gagurito's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th February 2011
   Location : Gangilonga....
   Posts : 5,600
   Rep Power : 9948549
   Likes Received
   755
   Likes Given
   728

   Default Re: Ajira JWTZ

   Hizo nafasi zije TUKAANDIKISHWE!


  Page 1 of 2 12 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...