Wanahitajika walimu wawili kutoka kenya wenye diploma au uwezo wa kufundisha olevelm.
Mshahara mzuri.
Piga number 0713-810857
Email:[email protected]
Wanahitajika walimu wawili kutoka kenya wenye diploma au uwezo wa kufundisha olevelm.
Mshahara mzuri.
Piga number 0713-810857
Email:[email protected]
Je mimi Mtanzania niliyeko huku Kenya..naruhusiwa kuapply au unataka raia wa Kenya.
Yaani wenyewe kwa wenyewe tunabaguana?
Unafikiri wakenya wakiwa wanaajiri watasema wanahitaji Mtanzania tu??
"Makalio ya sufuria hayaogopi moto"
Olevelm ? Meaning.
Kuweni wazalendo, wakenya wananini hasa! Binafsi nimefundishwa na malecturer wakenya hakuna tofauti na wakwetu. Mbona watanzania wenye diploma ya ualimu ni wengi sana hapa!
Kwani kakwambia anataka vyeti vyako. Yeye kasema anataka wakenya. Huwezi jua yawezekana anataka watu walio more practical kwa hilo nitamtetea.
Sisi tuna tabia moja chafu sana, tunaabudu mivyeti na ndio maana hata hapa jamvini si nadra kusikia mtu akiuliza mshahara wa graduate ni sh ngapi. Hatuulizi mshahara wa uwajibikaji fulani ni sh ngapi.
Pale wizara ya maliasili kuna PhD kama njugu lkn utalii wa ndani ni almost sifuri. Wanapanda mashangingi kwenda na kurudi nyumbani bila ubunifu wa kazi. Hatuna ubunifu kichwani, tuna vyeti tu. Tusiteteane ujinga. Kila mwenye firm yake ameianzisha kwa lengo la kupata faida na sio kuajiri watu wa kwao
By the time a man comes to realize that his father was right, he usually has a son who think he is wrong.
yapata miaka mitatu sasa hata huja receiv like hata moja>???
haya baadae utawahitaji walimu kutoka sumbawanga
kwa nini wakenya? kwan hakuna watanzania wanaoweza kufundisha hiyo kitu!
au unataka uweke ada kubwa baada ya matangazo kua waalim ni kimataifa kumbe wanawaspoil tu watoto wetu instead ya kuwapa taaluma na kuwafundisha kujitambua.
Follow Us Here