Kampuni ya simu za mkononi Zantel inatangaza nafasi za kazi katika idara ya mauzo/sales. Mafunzo yatatolewa kwa watakao kuwa tayari kufanya kazi. Sifa na vigezo vya muombaji ;1 awe na umri kati ya miaka 18-40, 2 ajue kusoma na kuandika. Tafadhali ukisoma tangazo hili mwambie na mwingine. Kwa maelezo zaidi piga namba 0652758939. KARIBUNI SANA

Reply With Quote

Follow Us Here