Jamani hawa jamaa walitangaza nafasi za kazi mwezi June na deadline ilikuwa june hyo tar 18. Vp kuna yeyote mwenye taharifa kuhusu hawa watu?
Jamani hawa jamaa walitangaza nafasi za kazi mwezi June na deadline ilikuwa june hyo tar 18. Vp kuna yeyote mwenye taharifa kuhusu hawa watu?
,,,Give a man a fish and you feed him for a day; teach him to fish and you feed him forever,,,
Ninazo; walishafunga applications!!!!!
The future of this country is being jeopardized by the intellectual slavery of our top leaders
Mi mwenyewe nshatega mackio mpaka yanauma!!!!!!
Follow Us Here