Kesho nina nterview kwa simu kwa nafasi ya kazi ya kimataifa, ni position nzuri kiimaslahi na naahidi nikipata jf lazima nitoe laki mbili kama mchango wangu.
Kesho nina nterview kwa simu kwa nafasi ya kazi ya kimataifa, ni position nzuri kiimaslahi na naahidi nikipata jf lazima nitoe laki mbili kama mchango wangu.
Nakutakia kila la Heri, Mwenyezi Mungu akutangulie ufanikiwe.
Kila la kheri
"Education is something that remain in your head after forgeting what you learn at school"
Mungu akusaidie uipate.
Am prayin 4 u.
Mungu akutangulie .
God will be with you and we ar praying for you.
Mimi nakushauri hivi ukipata, badala ya kutoa laki mbili jf, lete laki huku, na laki moja ingine peleka sadaka kwa Mungu wako, na hiyo sadaka uinenee haja ya moyo wako na Mungu aishiye Mbinguni atakutazama na kukujalia sana.
Tumia simu nzuri inayosikika fresh maana hizi lugha nazo.........
mungu akubariki upate hiyo kazi.
kama sim yako ni china kama wangu azima hata kwa marafik zako sim ambayo inaweza kaa na chaji mda mrefu, coz ikizima wakati shoo inaendelea inaweza kukupunguzia cdt,
wish u all the best
Nashukuru kwa wote walionipa motyo na kuniombea lakini sioni kama kuna tegemeo maana jamaa wanataka mtu anayejua kifaransa vizuri na kazi ni Kinshasa DRC.
Kila la heri
Usikate tamaa.
Kama wameshafika kukuita hadi katika usaili. Hiyo ni hatua njema tayari.
Interview is nothing but confidence, hope you will make it as per Psalm 119:99
Follow Us Here