jana mda wa saa saba jamaa yangu alipigiwa kuripoti leo saa mbili asubuhi,je ni kwamba wameanza kuita waombaji wa dar mikoani baadaye? anayejua anipe ripoti
jana mda wa saa saba jamaa yangu alipigiwa kuripoti leo saa mbili asubuhi,je ni kwamba wameanza kuita waombaji wa dar mikoani baadaye? anayejua anipe ripoti
Nashindwa Kuelewa....Yupo
Mwanangu M1 2liomba Nae
Iyo Kazi Jana Naye Kaitwa....Au
NDo Utaratibu Wao,Ngoja 2subiri
2one! Na Kwann Wasitoe Majina
Ktk Media Kama Tacc Zingine?
2subiri Bana Mana Ata Me
Nliomba!
huyo jamaa yako alikuwa na fani gani? make wangu alikuwa dereva,na amenipa ripoti soon kuwa walioitwa hata 50 hawafiki,
Ninaposoma na kuona hii suspense mliyonayo wakati huu, naumia sana moyoni sema tu uwezo sina. Poleni jamani ila yana mwisho haya mtafanikiwa uvumilivu muhimu!
“If you can not get what you love, then love what you have”
ajira imekuwa taabu lakini hauwezi amini kwamba nao hawa jamaaa walikua maskin kama sisi ila wametugeuka
Follow Us Here