nawashukuru sana wote mliochangia thready yangu mmeonekana mko makini sana
nawashukuru sana wote mliochangia thready yangu mmeonekana mko makini sana
Last edited by happy amos; 4th July 2012 at 21:22.
nazani huyu dada hayupo sawa kichwani cz akili tmamu awez kuweka iki alichocoment kwenye thrd anacheza na mawazo yetu...
Unamdanganya mwenzio. Kukamatwa inawezekana tena ni rahisi mno kuliko unavyofukiria. Au umesahau wale waliokamatwa na mamlaka ya vitambulisho vya taifa???!!
Stori iko kama hivi:
Cheti kina serial number, index number, jina na mwaka.
Hivyo vingine unaweza ukajitahid ukafoji na usikamatwe. Ila ishu iko ktk serial number. Kwa mfano, mwaka 2011 serial number zimeanzia 2222 na kuishia 3333. Kwa hiyo cheti chochote kitakachokuwa nnje ya namba hizo, hicho ni feki. Yaani ukipewa cheti namba 2221 au 3334 kwa mwaka 2011, hicho ni feki. Ila cheti hiki cha namba 3334 kinaweza kuwa orijino kwa mwaka 2012. Tatizo litakuja ktk majina ya mwanafunzi, jinsia na masomo/combinations husika.
So, serikali kupitia necta haijahamua kukamata vyeti feki, ikiamua ni rahis sana.
MIMI SIMO! MIMI SIMO! IKO SIKU NA WEWE UTAKUWEMO!
(I'M NOT CONCERNED! I'M NOT CONCERNED! ONE DAY YOU WILL BE CONCERNED!)
Kwa serikali tuliyonayo hayo ni mambo ya kawaida mbona wengi wapo ifm, cbe n.k.
WASIWASI NDIO AKILI !
Ahsante kwa kutupa dili kwani wengine tunalipwa salary za bure.Sasa ngoja tufanyie kazi maake naona umetulahisishia kazi labda uwe unadanganya au unafanya kautan kupima watu.Kama ni kweli ni wewe au rafiki yako mwambie tutamnasa na wala hatuna haraka.POLE....
Kuna uwezekano unalosema likawa ni kweli kutokana na uozo wa nchi yetu hii ila uko katika risk kubwa sana, japo nina wasiwasi kama kweli walivipeleka wizarani kwani hao watu wa vyuoni nao wahuni wanaenda kuviangalia kwenye jua tu kama vina alama ya twiga ila simply kwa wizarani lazima wangegundua kwani matokeo yangekufunga.
Wewe ni raia mwema ila sema tu kuna mtu umeamua kumlengesha, kwa wewe kijifanya ndio yeye , inakubalika hiyo lazima tuwaumbue hili elimu ziheshimiwe
NAIPINGA CCM SI KWA SABABU NAICHUKIA BALI KWA SABABU NATAKA KUFAIDI NEEMA ZILIZOWEKWA NA MUNGU KATIKA TANZANIA YETU.
happy amos tena bora ungekaa kimya kuna mama mkwe wangu namletaga hapo nikija ntaongea na mratibu haiwezekani mtu una cheti feki still unaruhusiwa kufanyia majaribio kwa binadamu,hold tight im on my way
asa unaomba ushauri wa nn kama unajua unachokifanya? be serious wewe
unachosema ni kweli, tulianza mbali, kuvisha majoho watoto wanao hitimu chekechea, tukagawiana udaktari, tunanunua digree online, mtu anasema, nipe $1500, nitakupa masters, $3200 phd. tunajiona wajanja
leo happy amos anatangaza kununua cheti bila woga. jana mangi wa ukweli alitangaza kuwa amepoteza cheti, anataka achonge kingine hataki kutumia barua za necta, zina mkera. upande mwingine tunaingia kwenye jumuiya za watu makini- EAC, wakenya wanaofanya kazi usiku na mchana , wanao umiza kichwa kuona na kutumia fursa. sisi tunafanya upuuzi huu. tujiandae kuwa watumwa , kama hivi ndivyo tumeamua kufanya
Nikitaka cha uprofesa walikuambia ni sh ngapi? msimtishe binti wa watu.mbona mjengoni kuna mipasho siku hizi, wamesomea wapi?Hasa ile ya komba aliyosema waende wotemilembe. kasoro m4c.
Follow Us Here